IDU watakao jumuia ya kimataifa kupuuza Uchaguzi wa Tanzania

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Samia sio mjinga kubuni tume feki ya maridhiano ndani ya siku 100. Hii ni Kwa sababu anajua kushinda uchaguzi ni kitu kimoja na kuongoza taifa lenye mshikamano ni kitu kingine.

IDU ni muunganiko wa vyama vya Africa,ulaya na America,,kitendo Chao cha kusema jumuia ya kimataifa zipuuze uchaguzi wa Tanzania sio jambo jema Kwa taifa

Kwa upande wa Diaspora wamejipanga Samia akija Marekani either kwenye ziara za kawaida au vikao vya UN atakutana na Civil disobedience kama aliyokutana nayo September 2021 hadi akapitishwa jikoni kwenye ubalozi wa Tanzania Marekani.

Kila raheri Samia

 
Mbona Tayari uchaguzi umepuuzwa!
 
Mbona Tayari uchaguzi umepuuzwa!
Ila kwakweli kama cahdema wangeingia huyu mama angelazwa kwa presha maana hana sera mambo anayosema petty petty ambayo kashindwa kifanya ndaninya miaka 4 halafu anataka eti ayafanye siku 100 akipewa tena.

NB:Chadema tutawaunga mkono hadi mwisho kukataa siasa za kiini macho
 
Mother soon route zake za ndege zitakata.Atakua anaenda tu Paje..,mchambawima basi...
Internationals promoters wa democracy wanamsusa!!
 
Makamu mwenyewekiti wa hiki chama ni Lissu?
 
Makamu mwenyewekiti wa hiki chama ni Lissu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…