Kenya 2022 IEBC wamealika Kwaya za Dini lakini Kaswida hawapo, hii siyo sawa warekebishe

Kenya 2022 General Election
Kaswida za siku hizi karibia zote ni nyimbo, kwa hivyo sio muhimu kabisa, na wala sio jambo ambalo labda limebagua dini, ni katika furaha tu, haina haja kwa upande wangu.
Wenyew wanaziita ladha
 
Mbona Tanganyika 79% ni Christian lakini hatuwabugui ndugu zetu WaIslam wasijisikie upweke.
Sensa ya mwaka gani mkuu?

Waislam wenzetu wanaoa wake hadi wanne na hawana habari na mambo ya uzazi wa mpango huku wakristo wakioa mke mmoja na kuzaa mtoto mmoja ama watatu.

Hadi hapo bado unadanganyika huko kanisani kwamba wakristo ni wengi? Hata akili ya kawaida tu haikuongozi?

Nikutajie mikoa michache tu iliyoshamiri uislam halafu ufanye tathimini tena na hoja yako.

Dar, Lindi, Mtwara, Tanga, Morogoro, Zanzibar yote nakadhalika. Bado huoni tofauti?
 
Utin
Shairi la Ebenezer!
Lyrics

Umbali tumetoka, na mahali tumefika (Thus far we have come from, and where we are now)...
Utunzi wa marehemu Anjela chibalonza. Moja ya nyimbo za gospel naikubali
 
Sensa ya mwaka gani mkuu?

Waislam wenzetu wanaoa wake hadi wanne na hawana habari na mambo ya uzazi wa mpango huku wakristo wakioa mke mmoja na kuzaa mtoto mmoja ama watatu.

Hadi hapo bado unadanganyika huko kanisani kwamba wakristo ni wengi? Hata akili ya kawaida tu haikuongozi?

Nikutajie mikoa michache tu iliyoshamiri uislam halafu ufanye tathimini tena na hoja yako.

Dar, Lindi, Mtwara, Tanga, Morogoro, Zanzibar yote nakadhalika. Bado huoni tofauti?
Nenda kanda ya ziwa Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Tabora, Kagera, Mara, Singida, Bado kazikazini Arusha, kilimanjaro, Manyara, tukija Mbeya, Dodoma, Iringa, Songea Niishie hapo tu katika mikoa hiyo uislamu ninauhakika tuna asilimia 10% imezidi sana 20% kwa Dar na Morogoro peke ake tupo pasu kwapasu 50% kwa 50%. Mikoa kama Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara hii mkoa wakristo wana 10% au 20% kwa zanzibar pekee waislamu wapo 95% ama 90% nakuoa kwetu wake wanne bado wakiristo wanatugalagaza
 
Tanga nayo itategemea ila baadhi ya wilaya wakristo wengi. Sema nini wakristo ni wengi Tanzania kuliko waislam sema wakristo hawana kuwabagua watu kwa imani zao
 
Tangu zoezi la uhakiki lianze hadi leo pale Bomas tumeshuhudia Kwaya mbalimbali zikiinjilisha ikiwemo Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Tanzania.

Lakini hatukuwaona waimbaji wa Kaswida.

Nadhani next time IEBC waliangalie Hili ili kupata Baraka za kutosha kama taifa

cc: Msaga Sumu - Nairobi Kenya
We ni mkenya wa county ya wapi bwa shee?
 
Tangu zoezi la uhakiki lianze hadi leo pale Bomas tumeshuhudia Kwaya mbalimbali zikiinjilisha ikiwemo Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Tanzania.

Lakini hatukuwaona waimbaji wa Kaswida.

Nadhani next time IEBC waliangalie Hili ili kupata Baraka za kutosha kama taifa

cc: Msaga Sumu - Nairobi Kenya
hapo wakristo wamefurahiii!
 
Back
Top Bottom