deezekiels
Member
- Mar 20, 2014
- 42
- 3
Habari wana jf, naomba msaada wa taarifa za gharama, mahali na hatua zote za kupata international english language test certificate ( IELT) na passport.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! Kwangu IELT ni rahisi zaidi kuliko TOEFL....ila ungecheki mwenyewe uzuri unaweza kufanya mazoezi mtandaoni kabla ya kufanya pepa halisi. Kama una simu ya Android unaweza download apps zote mbili za mitihani na kuona ipi rahisi na ipi ngumu
Ok asante wana jf, pia napenda mnijuze kuhusu passport unaomba idadi ya nchi unazotarajia kwenda au inatolewa kwa nchi ngapi?