If Current Growth Rate Remains Constant, Tanzania Will Overtake Kenya GDP in 2038

Hujajibu swili, how many times Kenya has experience negative growth compare to Tanzania? Kama hujuwi tuambie tuu.
 
Hujajibu swili, how many times Kenya has experience negative growth compare to Tanzania? Kama hujuwi tuambie tuu.

Even with our negative growth, the gdp gap continues to increase. This trend will continue for many years. 2 years of slowed growth, then 5 years of super growth.
 
Even with our negative growth, the gdp gap continues to increase. This trend will continue for many years. 2 years of slowed growth, then 5 years of super growth.
I get it, you don't know anything about negative growth. But for the benefit of us who thinks differently from your theory, tell us when did Kenya had (as you call it) "super growth". Not even five, let's say for three consecutive years? The key word here is super the likes of China or Ethiopia 10%. Because 0% to 7% isn't enough to decrease the level of unemployment or lift people out of poverty.

 
Ww kenge unasema lazy wakati muda huo huo mnaishi kwenye vibanda na uhakika wa milo 3 kwa siku hakuna , chakula mnategemea kutoka huku afu huwez kufanisha Kenya na Tz .kwa maisha ya raia mmoja mmoja wakenya mna maisha magumu zaid kuliko hata bongo
 
Nyie manyang'au tu Taifa limejaa ukabila na kubaguana hadi leo yaani mjaluo na mkikuyu hawez kuivaa hivyo hivyo makabila mengine. Ishu ya kuhusu uchumi kwa usimamiz uliopo sasa lazima twende mbali zaidi yenu maana tuna rasimali za kutosha
 
Ww kenge unasema lazy wakati muda huo huo mnaishi kwenye vibanda na uhakika wa milo 3 kwa siku hakuna , chakula mnategemea kutoka huku afu huwez kufanisha Kenya na Tz .kwa maisha ya raia mmoja mmoja wakenya mna maisha magumu zaid kuliko hata bongo
tumewashinda kwa yote....pumbavu mkubwa...bongo ndio nini? a backward country...better Rwanda is trying...watu wa bombadier...😀😀😀😛😛😛 idiot
 


Saa zingine wee huongea kama mwehu. Hizi what do Tanzanians own in Dar yenye unatupea kisomo on how we should have our own? Especially the black Tanzanians? And who told you Kenya's economy is dependent on multinationals?
 
Kwa hivo wewe ushakua Mungu unajua drought itaaffect tu Kenya huku Tanzania ikibakia salama? Ushajua mito itakauka tu Kenya huku ya Tanzania ikiwa sawa?
 
It is the real gdp growth rate, inflation is accounted unlike the Tanzanian figures where by you've grown by 7% and above since 2013 but the gdp change in those years was just $3.5bn.

And the growth rate did reduce to 6.1% in 2011 from 8.4% in 2010. But your fall was even larger from an all time high of 8.5% in 2007 to just 5.6% the next year so you are better placed explaining causes of such a drop.

Na nikiongelea multinationals I mean the Kenyan ones. Whatever the crisis, the Kenyan multinationals will never leave. There's hardly any sector completely dominated by foreign bigwigs
 
But someone do this maths for me ..

In 2015 Tz GDP was 48bn
And has maintained her growth at 7%

Kenya GDP was 63bn Maintaining her growth at 5.6%

How comes in 2017 Kenya GDP is 75bn and Tz's 51bn??
 
Ww kenge unasema lazy wakati muda huo huo mnaishi kwenye vibanda na uhakika wa milo 3 kwa siku hakuna , chakula mnategemea kutoka huku afu huwez kufanisha Kenya na Tz .kwa maisha ya raia mmoja mmoja wakenya mna maisha magumu zaid kuliko hata bongo

Chakula tunategemea kutoka Tanzania? Do you give it to us for free.
The little food we get from Tanzania we buy. The same way desert countries like UAE buy food from us and other agricultural countries.
 
But someone do this maths for me ..

In 2015 Tz GDP was 48bn
And has maintained her growth at 7%

Kenya GDP was 63bn Maintaining her growth at 5.6%

How comes in 2017 Kenya GDP is 75bn and Tz's 51bn??

Simple: CCM exaggerating figures. Labda growth ni 2%.
 

Is there a standard definition of Super?
Wewe unapenda dwelling on non-issues. For most countries growing at 1 or 2% or even shrinking, they would consider a growth rate of 6% super.
Alafu who told you 0-7% is not enough to lift people from poverty.
As long as GDP growth is higher than population growth rate, it is enough if you sustain it for many years. Kenya has been growing at that range for the past 15 years, and the per capita has moved from $400 to $1500.
 
But someone do this maths for me ..

In 2015 Tz GDP was 48bn
And has maintained her growth at 7%

Kenya GDP was 63bn Maintaining her growth at 5.6%

How comes in 2017 Kenya GDP is 75bn and Tz's 51bn??
It's because they're for the growth of nominal gdp, not real gdp. Kuna vitu zaitwa inflation na currency devaluations. The 2 are usually not factored in when calculating nominal gdp ndio maana.

Wakisema Tz ya kua kwa 7%, na tuseme mlikua mwauza 1000 tonnes za chuma, yamaanisha Kuna ongezeko la kutengeneza vyuma hadi 1070tonnes. Lakini shilingi ya Tanzania imeshuka nguvu kwa 5%. Hio yamaanisha Kuna upungufu wa hela mlizokua mwapata kwa kuuza kila Tani ya chuma by 5% so the real growth in money received (gdp) from trade in steel is just 2%

Na ukiangalia the currencies of both Kenya and Tanzania, the Kenyan one has been more stable
 
Good point. GDP is a measure of consumption and not well being. Just a bloody number.
 
I think the only Lazy here are Kenyans,

Why?
1.Tz has been feeding Kenya for Decades.

2.Kenya has been ruled by the Same incompetent Gikuyu thugs/Land grabbers and Public funds thieves since her Independence.

3. 50% of Kenya's Income is consumed by 2% Kenyans. That means even your Huge GDP is meaningless to the poor.

4.
The list is too long.
 

Where does laziness come to play in your analysis?
1. Kenya has been feeding UAE for years, Kenya has been providing breakfast to the UK for decades.
2. Kenya went to the dogs during Moi's time... a Kalenjin. It is since Kibaki's time (a kikuyu) that we have been giving you sleepless nights.
3. The modern world is more unequal than ever, and not just Kenya. In the world, the 1% have more wealth than the remaining 99%.

Tanzanians are generally slow with no work ethics.
 

Feeding who? With what?? Mirungi?

next time before boasting of your shity GDP u must understand your Lovely Kenya is the only middle income country that can not guarantee Food to her people.
Number of Kenyans going hungry doubles to three million

Laziness came from the comment I tagged..


Huwezi niambia kitu mimi!
 


Usibishane na hawa wajinga. Sisi tunaproject nyingi mno about to start. Next year tunaanza kuexport uranium.

Mradi wa nickel ni zaidi ya $3bn, kiwanda cha mbolea mtwara ni $3bn, tuko katoka hatua za mwisho kuanza kujenga LNG plant Mtwara $30bn hapo atujaanza export gas.

Waacheni wajifurahishe, na pia hatujaanza kuwasabsides wakulima wetu na kuwa na advance irrigation scheme.

Sisi sio saizi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…