Wakenya hawaishi vituko aiseee...juzi hapa walikuwa wana-vote nchi itakayoongoza kiuchumi Africa kwa miaka ijayo..hahaaaaa haaaaa hizi elimu za mkoloni ni hatari kwa afya ya akili!
Hiyo ilikuwa ni live poll twitter, tena CNN ndio waliibuka nayo sio wakenya. Wao wenyewe ndio waliwaeleza watazamaji wao na watu kule twitter wachague kati ya Kenya, Ethiopia, South Africa na Nigeria.