It's about Kenya. Acha ufala.
Achana na Huyo mbweha,,, baada ya mods kufunga uchafu wake wote hana pa kutuchafulia hewa tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's about Kenya. Acha ufala.
Hiyo ilikuwa ni live poll twitter, tena CNN ndio waliibuka nayo sio wakenya. Wao wenyewe ndio waliwaeleza watazamaji wao na watu kule twitter wachague kati ya Kenya, Ethiopia, South Africa na Nigeria.Wakenya hawaishi vituko aiseee...juzi hapa walikuwa wana-vote nchi itakayoongoza kiuchumi Africa kwa miaka ijayo..hahaaaaa haaaaa hizi elimu za mkoloni ni hatari kwa afya ya akili!
Napiga hesabu kama ingekuwa ni hiyo Tz ingekuwa kwa hiyo poll hatungepumua miaka karibu ushirini hivi.Hiyo ilikuwa ni live poll twitter, tena CNN ndio waliibuka nayo sio wakenya. Wao wenyewe ndio waliwaeleza watazamaji wao na watu kule twitter wachague kati ya Kenya, Ethiopia, South Africa na Nigeria.
Kwa hiyo nawe ukapigia Kenya awe mshindi,mungu atuepushe na akili hizi aiseeHiyo ilikuwa ni live poll twitter, tena CNN ndio waliibuka nayo sio wakenya. Wao wenyewe ndio waliwaeleza watazamaji wao na watu kule twitter wachague kati ya Kenya, Ethiopia, South Africa na Nigeria.