If few tall structures were enough to make Nairobi a city, Then all 31 regions of Tz are cities by Kenyan standards

If few tall structures were enough to make Nairobi a city, Then all 31 regions of Tz are cities by Kenyan standards

Why should we panic?. Ama tupanic because of this😂😂View attachment 838119
This photo was probably taken five years ago! Let me give you a slightly better version
1200px-Dsm_city.jpg
 
nimegundua jamaa hawawezi kutupuuza😀😀😀😀😀.

tuna waendesha tunavyotaka,yaani mtu akiamua saa hii atupie uzi wowote tu,wanakuja na mapovu.
hahahaha....hahahaha.
 
hii density ndugu yake ni hongkong,sio africa humu.
It's like I take a photo sehemu ya Eastlands Nairobi density ya apartments ipo tena sana, nyie washamba., if that view can be lifted up slightly tu, tutajionea ukweli ulioko.
 
bus terminal sio kipimo cha maendeleo humu maybe huko kwenu tu
Hee we jamaa vp? Yaani mgeni akija hajui wapi apande bas useme ni maendeleo? Ubungo ni terminal kubwa East na Central Afrika kote nimeenda nimejionea. Tupe sifa yetu hata kidogo babu
 
Nani ako na wakati wa kukaa idle akingonja bus...ati bus...jiji la biashara buda..hakuna kuwaste time ovyo ovyo
Hahaa, sasa huko kwa biashara unaenda kwa mguu au nchi yenu kila mmoja ana private car? Njooni Tz muone Udart mjifunze.
 
Hee we jamaa vp? Yaani mgeni akija hajui wapi apande bas useme ni maendeleo? Ubungo ni terminal kubwa East na Central Afrika kote nimeenda nimejionea. Tupe sifa yetu hata kidogo babu
zipo hizo bus terminal ila tuseme tu hazijakuwa modernized ila zipo tu...unataka kuniambia kuwa watu huku Kenya huwa hawasafiri au unasema nini? palipo usafiri lazima kuwe na bus terminal...kisha hata leo tukaamua kujenga bus terminal ya kisasa huwezi kumwona mkenya akisherehekea sababu hio sio kipimo cha maendeleo humu...hivyo ni vitu vya kawaida tu
 
zipo hizo bus terminal ila tuseme tu hazijakuwa modernized ila zipo tu...unataka kuniambia kuwa watu huku Kenya huwa hawasafiri au unasema nini? palipo usafiri lazima kuwe na bus terminal
Ooh kumbe umekubali kuwa zenu bado za 20th Century sie tuko 21st. Sawa ukiona umezidiwa kubali kushindwa. Asante kujitambua na kuwa muwazi na mzalendo kwa nchi yako[emoji3]
 
Ooh kumbe umekubali kuwa zenu bado za 20th Century sie tuko 21st. Sawa ukiona umezidiwa kubali kushindwa. Asante kujitambua na kuwa muwazi na mzalendo kwa nchi yako[emoji3]
ndio maana mpo nyuma kimaendeleo na washamba sana...wewe hapo unaona kuwa bus terminal ni jambo la kujipigia kifua...smh afrika bado...hivyo ni vitu vya kawaida baba...pengine uniambie airports, electric trains, malls na miundo mbinu zingine za kisasa...si bus terminal bro😀😀 ndio maana kuna wenzako walienda kuzindua lift mkoani mbeya...hivi unawafaham??..ukuta mnamwita rais aje azindue...ndege inapowasili toka ng'ambo mnafanya siku kuwa kama holiday.... Kenya vitu kama bus terminal, lift hata hatushughuliki...tunaachia nchi ndogo ndogo kama nyie
 
Kwani hauna gari buda ama unategemea brt ikupeleke tandale
Sina. Kwani Nairobians wote na wale wa Kibera (the largest slum in Africa) wana private cars hawahitaji kupanda matatu? Usidhani naongea kwa kudhania tu, naijua vizuri sana Nairobi. Ni mji wa wala mirungi, chang'aa na makahaba tu.
 
Back
Top Bottom