If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Hakuna mwenye ubongo wenye uwezo wa kufikia kiwango kinachotakiwa kunikasirisha hapa.

Kunikasirisha inabidi ufikie uwezo fulani wa akili, ambao sijauona bado hapa.

Do not mistake a passionate reply for anger.
Mbona sasa ulimweka Ishmael kwenye Ignore List kama huwezi kukasirika?
 
Last edited by a moderator:
Mhh! Mkuu kwa hiyo wote humu ni vilaza? Kwa uwezo upi ulionao wa akili hadi udhani hakuna mwenye ubongo huo?

Mara ujiite mystery,mara sijui kitu gani. Kitu gani kipya au cha tofauti ulichonacho ili kudhani uko tofauti?maana kama ni kuhoji uwepo wa mungu wewe sio wa kwanza kuleta hoja hiyo,na wewe umekua ukikopi hoja zile zile zilizoulizwa toka mwanzo na kuziuliza hapa,kipi cha tofauti ulichonacho hadi uone wengine humu wana bongo ndogo?

Nadhani una tatizo la kusahau,nikukumbushe. Kwenye mada ya free idia ya something from nothing. Mkuu wa chuo alikuuliza/alikuomba umtoe Ishmael kwenye ignore list,ukajibu ukasema amekukasirisha huwezi kumtoa,alafu leo unakuja kusema hakuna wa kukukasirisha humu..

Afadhali umemkumbusha huyo jamaa na sijui ametumia vigezo gani kusema hivyo, ilikuwa kwenye mada ya Atheism Debunked jamaa akajifanya amekasirika akaanza kudai kwamba hawezi kujadili na mtu ambaye hana adabu, ila yeye hizi ligha anazotumia hapa sijui ni za heshima na adabu!? Mara aite watu majina ulivyosema hapo juu...
 
Vizuri kunikumbusha,nimechanganya mafaili,ilikua kwenye mada ya atheism debunked ya ishmael. Shukrani kwa kuweka kumbukumbu sawa.

Leo mtu anasema hivi,kesho anasema vile. Sifa moja wapo ya watu waongo ni kujisifu/majisifu. Waswahili husema ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.

Kuna kundi la watu wanaitwa/wanajiita militant atheists,ni shida kujadiliana nao,wana dharau,matusi,kejeli,majisifu na kuona wao wanajua kila kitu,kujiona wana akili sana,jamaa ni mmoja wao,ni shidaaaaaaaaa kujadiliana nao..
 
Kuna kundi la watu wanaitwa/wanajiita militant atheists,ni shida kujadiliana nao,wana dharau,matusi,kejeli,majisifu na kuona wao wanajua kila kitu,wana akili sana,jamaa ni mmoja wao,ni shidaaaaaaaaa kujadiliana nao..
hawa watu ndio shida yao hiyo nawaona wengi sana humu wanajiona wana akili sana, kuna mmoja anaitwa 1701 alisema kabisa watu wanaoamini Mungu hawana akili kwenye ile mada yake ya who create god? Lakini ukiangalia uwezo wake ni mdogo hata katika kujenga hoja, sasa hiyo kudharau watu wanaoamini Mungu ni msingi wa Imani yao ya Atheism!?
 
Last edited by a moderator:
Itakuwaje laws of physics zenye limits na kufuata logic zimthibitishe mungu asiye na limit wala kufuata logic?

Mungu anayeweza kuthibitika kwa laws of physics ni mungu kweli au physical phenomena tu?

Laws of physics zitathibitishaje omnipotence, omnipresence, omni benevolence and omniscience?

This is what I was trying to ask Ishmael

ishamel you say God is above logic and did things that defied logic. How do you as a human begin to understand/describe that which defies logic?

He is like this. He likes this. He will do this. All that shows we can understand God.

If God is incomprehensible, all that you say about God remains just that, what you say, and its by your own terms. And anybody will be able to say anything. wakina Kiranga can say he might as well not exist but still created the universe!!!!!! he defies logic.

The reason you believe in God in the first place is because you find it logical. Then from there everything is illogical???

should i say, Ishmael you are the first Christian I met online that doesnt accept that logic is part of God. The others agree that "higher" in Isaya 55:9 means transcends but not violates. That is plausible. But then from there we diverge again.

Ishmael anzisha kanisa. utapata wengi.....
 
Last edited by a moderator:
Vizuri kunikumbusha,nimechanganya mafaili,ilikua kwenye mada ya atheism debunked ya ishmael. Shukrani kwa kuweka kumbukumbu sawa.

Leo mtu anasema hivi,kesho anasema vile. Sifa moja wapo ya watu waongo ni kujisifu/majisifu. Waswahili husema ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.

Kuna kundi la watu wanaitwa/wanajiita militant atheists,ni shida kujadiliana nao,wana dharau,matusi,kejeli,majisifu na kuona wao wanajua kila kitu,kujiona wana akili sana,jamaa ni mmoja wao,ni shidaaaaaaaaa kujadiliana nao..

Si kweli.
 
images

Si unaona?? Ni nini hiki?
 
hawa watu ndio shida yao hiyo nawaona wengi sana humu wanajiona wana akili sana, kuna mmoja anaitwa 1701 alisema kabisa watu wanaoamini Mungu hawana akili kwenye ile mada yake ya who create god? Lakini ukiangalia uwezo wake ni mdogo hata katika kujenga hoja, sasa hiyo kudharau watu wanaoamini Mungu ni msingi wa Imani yao ya Atheism!?

There are only three options to explain our existence,
1. Believe in God,
2. Agnosticism which states their may be a God but I haven't found proof.
3. Atheism where one will state he knows God does not exist..

Kwenye hizo option 3 kila mtu asimamie ya kwake.. Kuamini moja na kuona wengine waliobakia ni wajinga ni ujuha na upumbavu.

Yawezekana mtu unamzidi kila kitu,intellect,fiziki,mali,nk tofauti tu akishaamini hakuna Mungu anajiona ana akili kukuzidi au kuliko wengine.

Hizi ni imani,na ni mambo binafsi ya mtu kwa hiyo wewe kua na imani flani hakukufanyi uonekane mwenye akili kuliko wengine walio kinyume chako.

Mimi huwa nawaweka kundi moja atheists,mbwa,kuku,kiazi,jiwe,fisi,nguruwe nk. Kwa sababu wote hawaamini uwepo wa Mungu. Inapokuja imani/hoja ya kutokuwepo/kutokuamini Mungu,mbwa=atheist.
 
Last edited by a moderator:
Wewe nimekwambia soma bandiko langu lote vizuri.
The second Law of Thermodynamics
imetumika kuelezea kuwapo kwa Muumba na kupinga evolution. Kwa hiyo wanao amini evolution na kuwa hakuna Muumba ndio ulitakiwa kuwaambia hivyo kama mimi nilivyo wambia.

Kwa hiyo ukishapinga evolution tayari umeshathibitisha kuwepo kwa mungu?
 
Mhh! Mkuu kwa hiyo wote humu ni vilaza? Kwa uwezo upi ulionao wa akili hadi udhani hakuna mwenye ubongo huo?

Mara ujiite mystery,mara sijui kitu gani. Kitu gani kipya au cha tofauti ulichonacho ili kudhani uko tofauti?maana kama ni kuhoji uwepo wa mungu wewe sio wa kwanza kuleta hoja hiyo,na wewe umekua ukikopi hoja zile zile zilizoulizwa toka mwanzo na kuziuliza hapa,kipi cha tofauti ulichonacho hadi uone wengine humu wana bongo ndogo?

Nadhani una tatizo la kusahau,nikukumbushe. Kwenye mada ya free idia ya something from nothing. Mkuu wa chuo alikuuliza/alikuomba umtoe Ishmael kwenye ignore list,ukajibu ukasema amekukasirisha huwezi kumtoa,alafu leo unakuja kusema hakuna wa kukukasirisha humu..

Wapi nimeandika amenikasirisha?

Kusema mtu hana adabu na sina haja ya ku deal naye si kusema amenikasirisha.

Na sijaona.wa kunikasirisha bado, kwa sababu it will take more than an.online encounter kunikasirisha.

By tye way, everyone embodies a certain degree of a mystery, especially hapa onkine.

So.if you felt that description.if myself insulted you in any way, it is largely due to your own inferiority complex.
 
Last edited by a moderator:
Mbona sasa ulimweka Ishmael kwenye Ignore List kama huwezi kukasirika?

Non sequitur.

Kwanza sijaandika.kwamba sowezi kukasirika, nimeandika.sinaona mwenye uwezo wa kunikasirisha hapa.

Get it right. I hope you know the difference.

Kitoto kidogo kilicho a nuisance kinachopost picha za ajabu bila kujibu hoja unaweza kukiweka kwenye ignore list kwa sababu ni.nuisance na huna muda wa kupoteza nacho.

Hamna kukasirika hapo, ni ku apporrion cycles appropriately tu.
 
Last edited by a moderator:
Uchokozi gani tena housegirl kipi unakataa kuhusiana na jamaa nikuletee uthibitisho?

No.
Ni swali tu la kuprovoke mtu.

Throughout threads kama hizi, naona misemo kama
"mbona amekimbia?"
"hana lolote atakuja kubwabwaja tu"
"that girl" (refering to a man)
"we kijana/mtoto sikiliza"
"haniwezi"
na hio ya kwako "mbona umekasirika"
etc

yani ilimradi umshushie heshima/umPut down/umkasirishe
 
Last edited by a moderator:
There are only three options to explain our existence,
1. Believe in God,
2. Agnosticism which states their may be a God but I haven't found proof.
3. Atheism where one will state he knows God does not exist..

Kwenye hizo option 3 kila mtu asimamie ya kwake.. Kuamini moja na kuona wengine waliobakia ni wajinga ni ujuha na upumbavu.

Yawezekana mtu unamzidi kila kitu,intellect,fiziki,mali,nk tofauti tu akishaamini hakuna Mungu anajiona ana akili kukuzidi au kuliko wengine.

Hizi ni imani,na ni mambo binafsi ya mtu kwa hiyo wewe kua na imani flani hakukufanyi uonekane mwenye akili kuliko wengine walio kinyume chako.

Mimi huwa nawaweka kundi moja atheists,mbwa,kuku,kiazi,jiwe,fisi,nguruwe nk. Kwa sababu wote hawaamini uwepo wa Mungu. Inapokuja imani/hoja ya kutokuwepo/kutokuamini Mungu,mbwa=atheist.

Kama hizi ni imani na mambo binafsi.mbona umekuja kutuhubiria hadharani hapa?

Mbona kaanisani wanapiga kengele na msikitini wanapiga adhana?

Ina maana hawajui kwamba ni imani binafsi? Mbona wanafanya mambo in the public sphere?
 
Sio kweli kivipi? Au wapi sio kweli?

kusema group moja linajiona kuliko lingine.

LOL, nafikiri ni thread hii hii, mtu kaja kashusha paragraph yake, akasema "everyobe receives the holy spirit". Ishmael akamjibu "no only those who receive christ get the holy spirit". nilicheka.

mtu anaweza akaja akasema Ishmael anajiona ye ndo kapendelewa saaana hes more closer to God than everyone else etc

Inshort hamna mtu mwenye Imani yake anayejiona sio bora kuliko wengine. atatumia hata maandiko....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom