Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Mbona sasa ulimweka Ishmael kwenye Ignore List kama huwezi kukasirika?Hakuna mwenye ubongo wenye uwezo wa kufikia kiwango kinachotakiwa kunikasirisha hapa.
Kunikasirisha inabidi ufikie uwezo fulani wa akili, ambao sijauona bado hapa.
Do not mistake a passionate reply for anger.
Mhh! Mkuu kwa hiyo wote humu ni vilaza? Kwa uwezo upi ulionao wa akili hadi udhani hakuna mwenye ubongo huo?
Mara ujiite mystery,mara sijui kitu gani. Kitu gani kipya au cha tofauti ulichonacho ili kudhani uko tofauti?maana kama ni kuhoji uwepo wa mungu wewe sio wa kwanza kuleta hoja hiyo,na wewe umekua ukikopi hoja zile zile zilizoulizwa toka mwanzo na kuziuliza hapa,kipi cha tofauti ulichonacho hadi uone wengine humu wana bongo ndogo?
Nadhani una tatizo la kusahau,nikukumbushe. Kwenye mada ya free idia ya something from nothing. Mkuu wa chuo alikuuliza/alikuomba umtoe Ishmael kwenye ignore list,ukajibu ukasema amekukasirisha huwezi kumtoa,alafu leo unakuja kusema hakuna wa kukukasirisha humu..
Afadhali umemkumbusha huyo jamaa na sijui ametumia vigezo gani kusema hivyo, ilikuwa kwenye mada ya Atheism Debunked jamaa akajifanya amekasirika akaanza kudai kwamba hawezi kujadili na mtu ambaye hana adabu, ila yeye hizi ligha anazotumia hapa sijui ni za heshima na adabu!? Mara aite watu majina ulivyosema hapo juu...
hawa watu ndio shida yao hiyo nawaona wengi sana humu wanajiona wana akili sana, kuna mmoja anaitwa 1701 alisema kabisa watu wanaoamini Mungu hawana akili kwenye ile mada yake ya who create god? Lakini ukiangalia uwezo wake ni mdogo hata katika kujenga hoja, sasa hiyo kudharau watu wanaoamini Mungu ni msingi wa Imani yao ya Atheism!?Vizuri kunikumbusha,nimechanganya mafaili,ilikua kwenye mada ya atheism debunked ya ishmael. Shukrani kwa kuweka kumbukumbu sawa.
Leo mtu anasema hivi,kesho anasema vile. Sifa moja wapo ya watu waongo ni kujisifu/majisifu. Waswahili husema ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Kuna kundi la watu wanaitwa/wanajiita militant atheists,ni shida kujadiliana nao,wana dharau,matusi,kejeli,majisifu na kuona wao wanajua kila kitu,wana akili sana,jamaa ni mmoja wao,ni shidaaaaaaaaa kujadiliana nao..
Itakuwaje laws of physics zenye limits na kufuata logic zimthibitishe mungu asiye na limit wala kufuata logic?
Mungu anayeweza kuthibitika kwa laws of physics ni mungu kweli au physical phenomena tu?
Laws of physics zitathibitishaje omnipotence, omnipresence, omni benevolence and omniscience?
Vizuri kunikumbusha,nimechanganya mafaili,ilikua kwenye mada ya atheism debunked ya ishmael. Shukrani kwa kuweka kumbukumbu sawa.
Leo mtu anasema hivi,kesho anasema vile. Sifa moja wapo ya watu waongo ni kujisifu/majisifu. Waswahili husema ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Kuna kundi la watu wanaitwa/wanajiita militant atheists,ni shida kujadiliana nao,wana dharau,matusi,kejeli,majisifu na kuona wao wanajua kila kitu,kujiona wana akili sana,jamaa ni mmoja wao,ni shidaaaaaaaaa kujadiliana nao..
hawa watu ndio shida yao hiyo nawaona wengi sana humu wanajiona wana akili sana, kuna mmoja anaitwa 1701 alisema kabisa watu wanaoamini Mungu hawana akili kwenye ile mada yake ya who create god? Lakini ukiangalia uwezo wake ni mdogo hata katika kujenga hoja, sasa hiyo kudharau watu wanaoamini Mungu ni msingi wa Imani yao ya Atheism!?
Uchokozi gani tena housegirl kipi unakataa kuhusiana na jamaa nikuletee uthibitisho?uchokozi
Si kweli kuhusiana na nini?Si kweli.
Si kweli.
Wewe nimekwambia soma bandiko langu lote vizuri.
The second Law of Thermodynamics
imetumika kuelezea kuwapo kwa Muumba na kupinga evolution. Kwa hiyo wanao amini evolution na kuwa hakuna Muumba ndio ulitakiwa kuwaambia hivyo kama mimi nilivyo wambia.
Mhh! Mkuu kwa hiyo wote humu ni vilaza? Kwa uwezo upi ulionao wa akili hadi udhani hakuna mwenye ubongo huo?
Mara ujiite mystery,mara sijui kitu gani. Kitu gani kipya au cha tofauti ulichonacho ili kudhani uko tofauti?maana kama ni kuhoji uwepo wa mungu wewe sio wa kwanza kuleta hoja hiyo,na wewe umekua ukikopi hoja zile zile zilizoulizwa toka mwanzo na kuziuliza hapa,kipi cha tofauti ulichonacho hadi uone wengine humu wana bongo ndogo?
Nadhani una tatizo la kusahau,nikukumbushe. Kwenye mada ya free idia ya something from nothing. Mkuu wa chuo alikuuliza/alikuomba umtoe Ishmael kwenye ignore list,ukajibu ukasema amekukasirisha huwezi kumtoa,alafu leo unakuja kusema hakuna wa kukukasirisha humu..
Mbona sasa ulimweka Ishmael kwenye Ignore List kama huwezi kukasirika?
Uchokozi gani tena housegirl kipi unakataa kuhusiana na jamaa nikuletee uthibitisho?
Si unaona?? Ni nini hiki?
There are only three options to explain our existence,
1. Believe in God,
2. Agnosticism which states their may be a God but I haven't found proof.
3. Atheism where one will state he knows God does not exist..
Kwenye hizo option 3 kila mtu asimamie ya kwake.. Kuamini moja na kuona wengine waliobakia ni wajinga ni ujuha na upumbavu.
Yawezekana mtu unamzidi kila kitu,intellect,fiziki,mali,nk tofauti tu akishaamini hakuna Mungu anajiona ana akili kukuzidi au kuliko wengine.
Hizi ni imani,na ni mambo binafsi ya mtu kwa hiyo wewe kua na imani flani hakukufanyi uonekane mwenye akili kuliko wengine walio kinyume chako.
Mimi huwa nawaweka kundi moja atheists,mbwa,kuku,kiazi,jiwe,fisi,nguruwe nk. Kwa sababu wote hawaamini uwepo wa Mungu. Inapokuja imani/hoja ya kutokuwepo/kutokuamini Mungu,mbwa=atheist.
Sio kweli kivipi? Au wapi sio kweli?