Hebu msome Yesu hapa. Hivi alikuwa anamaanisha nini?
*sigh*
what are you fussing about?? kisa kuuliza "mbona hutoi your ideas?" kwani nilivyoomba idea zako nilijua wewe ni Aristotle?
kwahiyo ningeulizaje labda? b'se nimewaza ni wangapi zaidi wamenielewa kimakosa!!!!!
hapo nilipo bold underline, yaani hapo unamaana kwamba yale mawazo yote unayoyatoa ni ya kwako mwenyewe! ndio maana nilikuambia safi sana... haukuishia hapo hapo nilipoweka red dah! aisee unamaanisha kwa maana nyingine sijui hata ninachofanya nipo kushabikia tu! halafu hapo kwenye blue ndio ukaua kabisa kwa kushangaa...EXACTLY. hata concept ya [a world where death is impossible+world where death is impossible] is difficult for some people to grasp.
hivi Mkuu wa chuo mbona sionagi unatoa mawazo yako? we ni kulike tu na kuquote watu na kuwashabikia!!!! its weird dude
If God knows everything, then you can't really change your future. It's pre-written.
But there's free will. So, you can choose or not to go to hell?
Also, when a man impregnates a woman is he forcing God to produce a new soul?
Unapenda sana ishmael awe/aanzishe kanisa? Naona mara kadhaa ukimwambia hilo jambo.
Hata wewe unaweza kuanzisha kanisa,kuna atheist churches nyingi sasa duniani,anzisha lako hapa Tanzania,utapata waumini wengi housegirl.
wala usitilie shaka uwezo wangu. ni mara ya pili hii unaniambia hivyo. you dont see that u might be the one witg the problem?
mfano uliotoa unaonyesha kabisa kuwa HUELEWI NACHOSEMA. na sidhani kama tutaelewana leo. labda siku nyingine
wewe unasema sijui kwanini duniani kuna uovu as a conclusion kwa kutoelewa logic yangu.
swali lako la kwanini nataka kujua, NIMEKUJIBU. nimesema I wanted to know God's nature/attributes
Mie nimewaaza wee,ndio nimeona niulize hivi,ila msiniseme eti mswahili anauliza swali juu ya swali..nauliza hivi,wewe mtoa mada umesema Mungu ndiye huona future,hivyo keshajua everything,then unatuuliza sie viumbe kama tunaweza kubadili destiny,sasa unatuuliza sie kwani ni Mungu?si umuulize huyo Mungu aliyekwishaona mwisho?sie tunawezaje kubadili destiny yetu ilhali hatujaijua bado?sisi tunaishi tukiitengeneza destiny yetu hatua kwa hatua,na mapito hayo ya "hatua kwa hatua" yana maana kubwa kwetu,Mungu anaona mwisho,ila mie nadhani kuona huko hakutumii kubadili destiny zetu,tunazitengeneza wenyewe God doesn't change anything.Vinginevyo kama angeutumia uwezo wake huo kubadili destiny zetu,basi hata shetani asingeasi maana angetafutiwa dawa mapemaa,au ndio tuseme destiny ya shetani ni uasi?well,ni sawa but still yeye shetani kaitengeneza mwenyewe,not God.mie nimeona hivyo tuu,hayo maoni yangu na maswali magumu sitaki.hizi mada nyingine ngumu bhana,ah!
Ishmael I was really looking forward to you quoting me scriptures to back up you ill behaviour. tunaweza kuanza kuquotiana hapa tukaona how the bibe backs us both.
Proverbs 12:18 There is one whose rash words are like sword thrusts, but the tongue of the wise brings healing
(you are not doing any good insulting non beleivers)
Romans 14:1 As for the one who is weak in faith, welcome him, but not to quarrel over opinions.
Luke 6:27-36 .........pray for
those who mistreat you.
Whoever hits you on the
cheek, offer him the other
also......
(isnt calling your fellow a dog mistreating them?)
Mathew 5:43-48.........For if
you love those who love
you, what reward have
you? Do not even the tax-
gatherers do the same?
(if your father was a non beleiver would you call him a dog? would you call your fellow christian a dog?)
Luke 6:27-36 And
just as you want people to
treat you, treat them in the
same way.
(how would you like it if a muslim called you a dog?)
But love your enemies, and do good, and lend, expecting nothing in return and your reward will be great
(just because people do not receive well the gospel doesnt give you the right to mistreat them)
James 4:11,12......... There is only one lawgiver and judge,
he who is able to save and to destroy.
But who are you to judge your
neighbor?
(leave the name calling to God Jesus)
Wenzako waooooote wamesha kimbia, waite waje kujibu maswali na vihoja vyao walivyo vianzisha na kuwanshida.Pfuuuuubwahahahahahha!
By Kiranga
Kabla ya kuniambia mungu ananipenda, tafadhali thibitisha kwamba yupo.
By Kiranga
Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.
By Free ideas
God is a complicated entity which requires a much more certificated explanation ..........
It can't be better than this.
By Kiranga
Sitaki kuamini, nataka kujua.
Sijashindwa kuthibitisha uwepo wangu, wewe ndiye umeshindwa kutaja framework na margin of error.
Uthibitisho wowote ambao hauna defined domain/ framework and margin of error ni ubatili.
By Kiranga
I can barely tolerate it for practical reasons linked to it's current inescapable nature as pointed above. That is, in order to eradicate it, one has to barely accommodate it, and converge towards it's gradual eradication methodically.
Experimentation, peer review and observation in a corrective and critically reflective culture (the opposite of faith) would eventually converge towards less belief and more knowledge.
That is how science advances.
By Kiranga
I am allergic to belief.
I would rather know, thank you very much.
HUYOOOOO kesha anza kuonyesha tatizo katika UONGO WAKE WA ALLERGY
By Kiranga
Inherently I do not have a problem with faith.
....
Here is where some choose to have total faith in an invisible god while others choose to have only a minimal amountn of faith based on.rationality and gradually converge towards knowledge.
Nontheism Lies, Misconception, Misrepresenting BUSTED AND DEBUNKED
NON THEISTS COMMON ARGUMENT
HERE IS THE ANSWER FROM THE SAME PERSON
ANOTHER REPLY FROM A NON THEIST
ARGUMENT THAT NON THEISTS DON'T APPLY FAITH IN THEIR LIFE
HAPA SASA ANAONYESHA KUKUBALI IMANI KWA KUPINGA MADAI YAKE YA AWALI
HAPA ANASEMA KUWA YUPO ALLERGIC NA BELIEF
HAPA CHINI ANAFANYA FLIP FLOP NA KUKUBALI FAITH
NDUGU ZANGUNI,
Mimi sina la zaidi au la kuongeza, leo mmesha muelewa kuwa jamaa ni FLIP FLOP na SI MALI KITU, Ndio maana anatumia IGNORE LIST katika Debate.
Majibu mmesha yapata kuwa huyo Non Theist si Mali kitu
Hii ni ndoano, umeimeza mwenyewee lazima uikimbie. Pole sana mfuata dini ya darwin.Kwa.sababu tunahambua ukweli na hadithi zisizo na ukweli.
Kwa sababu wewe ndiye uliyejibuzana nami hapa kama mtetezi wa uwepo wa mungu.
ha ha sawa mkuu..mbona umejibu kwani wewe ni mungu?
Let me give you this: Proverbs 27:5-6King James Version (KJV)
5 Open rebuke is better than secret love.
6 Faithful are the wounds of a friend; but the kisses of an enemy are deceitful.
Pfuuuuubwahahahahahha!