Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Then why there is judgment day,according to your books? .Or why did he judged Adam and Eve if he knew everything before
Then why there is judgment day,according to your books? .Or why did he judged Adam and Eve if he knew everything before
ha ha ha ha , Definitely ..what can i say...some how i think sheria inalenga ku-consider maumivu kwa mbakwaji.. kupitia psychological defects, risks za magonjwa n.k.Mkuu uoni kuwa huyu mbakaji atakuwa ameonewa tu ikiwa issue nzima ni involuntary action?
ha ha ha ha , Definitely ..what can i say...some how i think sheria inalenga kumfeva mbakwaji.. kupitia psychological defects, risks za magonjwa n.k.
Free Ideas!
Kama ilivyo siku ya kuzaliwa, siku ya kufa, basi siku ya hukumu pia ipo' thus according to the books, and my self. Hata vitabu visingesema, ningesema mimi.
Free Ideas!
Tumepewa uhuru wa kuchagua Njia iliyonjema kwetu sote, na kwa kila njia umeonyeshwa mwisho wake, Umeonyeshwa mwanzo wake,
Free Ideas!
Umekumbushwa na watu wema kuhusu habari za Mwenyezi mungu, Umefundishwa namna ya kuishi kama muumini wa Mwenyezi Mungu, umepewa na uwezo wa kuishinda dhambi' hayo na mengine mengi mazuri, bado Uzingue kisha uulize kwann kuna adhabu?
Free Ideas!
Nikumegee siri kidogo, Mwenyezi Mungu ndie Mwl. Wa kwanza duniani,
Free Ideas!
wengine wote wame copy toka kwake, mifumo mingi ya kiutawala duniani wamekopy mambo mengi toka kwa Mwenyezi Mungu japo wao watakataa, na wapo wanaotumia vibaya.
Nimekuelewa kijana nijibu hayo maswali kisha tuendelee,,karibuFree Ideas!
Fikiri kwanza kisha niulize, kama hujaelewa.
i mean katika ubakaji; kuna mhathirika (victim) na mtenda kosa.Mkuu, ebu fafanua maana bado sijakupata vizuri.
Labda useme hivyo kuwa nafikiri kibinadamu. Sioni logic ya kuumba watu ukawapenda halafu ukawapa 'free will' na kuruhusu mitego ambayo wakinasa unawachoma na wakati huo huo unajua kabisa kuwa flani atanasa...niwaache wasio fikiri kibinadamu...Unafikiri kwa jinsi ya kibinadamu; Mungu amekupa wewe option ya kumfuata au kinyume chake; the choice is yours. Kujua kwamba alijua mapema kuwa utakengeuka na alipashwa kunusuru kiumbe chake huo ni upuuzi maana ulipewa free will kuchagua njia sahihi wewe mwenyewe.
Christian is the court of human sacrifice! Its not the religion that repute the human sacrifice !No!Its a kind of Religion that celebrates the single human sacrifice as a whole factor,they say"God loves the World that he gave his only son""!john 3:16.This is PETTY.It doesn't make any sense that someone must suffer n die in oder to let others enter into gods kingdom!We come from people who used to bury children under the foundations of the buildings as offering to their imaginary god.,Hebu fikilia yaani watu wanazika watoto wakiume wakiwa wazima wakati wa kujenga misingi ya nyumba ili mungu asije liangusha jengo!.Huyu mungu ni yupi?.This is the source of the people who wrote the bible!.you just think about it af nambie huyu mungu mungu gani?.
Em fikilia,if god is kind and loves us why did he gave us the book which supports slavery ?.The book which allows others to kill others for their own purpose ?.
Its hard to believe that we live in the Universal that ruled by unseen mystery Yahweh!.
Just take a time to think about the Muslim young men who blow themselves up convinced that they are agencies of God's will!.On other hand the Christians have nothing to say about their behavior than that they are praying to a wrong God!,so in simple manner is that if the young Muslim men had a right god,it means what they do could be good and blessed !.This is stupidity!
Pole sana!
Ndio maana nawaambia kuwa maiga sana logic za watu mkidhani ni rahisi km ushoga au kuvaa nguo.Logic inatengenezwa within the constraints za Axioms na princiapal zake>Km ilivyo kutafuta hela kwa njia halali kunavyowasumbua wengine hadi wanaamu kupora,wanaamua kujirahisi etc,ila wengine wanazitafuta na kuzipata ktk watu wenye kukesha kuwangia wengine wasifanikiwe km waswahili.Ndio tofauti zetu, tusio waswahili na waswahili...HiZo Pesa huwa unazilia viapo sana, ama ktk office za serikali ulizopewa ajira, ama ktk kushughudia kitu kwa hela, ila zina miungu ktk alama na malengo,zina kila spirit unayoikubali na unayoikataa...nao wanapigana vita ktk umiliki wake.Huyu kakazania hoja ya pesa akidhani ina mashiko...nishamwambia hapo juu kwamba pesa ni means ya exchange tu and has nothing to do with someone's belief bado haelewi!!
Haha..tena ndio hela anayosema ina thamani kuliko nyingine...hajui IN GOD WE TRUST NDIO mojawapo ya sababu ya nguvu yake.Nani asiye taka pesa hapa DUNIANI. ACHA UONGO NA UKAFIR BANA. Kwanini Mnatumia pesa zilizo andikwa "IN GOD WE TRUST" na nyie mnasema HAMKUBALI kuwa kuna Mungu? WHY USING OUR MONIES.
Wape Somo... wanadhani Bible kusoma na watu wapole na walio HURU basi ina makosa au ni ya kubuni au imepotoshwa.Hili ni somo mpaka kwa wale walio ktk dini ila hawana uhuru.When God creates us, He already knows how we were going to use that free will, certainly. Free will does not stop being free b'se God knows what 'll happen. Free will is a divine spark. He doesn't simply design us as robots but creates as thinking being able of doing good or evil. Ref: John 5:29, 'Those who have done good will rise to live, and those who have done evil will rise to be condemned'. In Short we can change our destiny.
Uancheza kweli wewe, atheist wengi hawana mchango ktk dunia zaidi ya maanagamizi.Atheism imemwaga damu duniani kuliko.Ujamaa na ukomunist umeua sana wati USSR,China,Burma,North Korea, etc. Kwa taarifa yako Atheism ni dini , na ina involve IMANI kuliko science.Atheism ni dini kwa vile ina principal na way zilizo na pattern wanayoifuata wengine na kuwaongoza kisiasa, kimitizamo na maisha + IMANI KUWA HAKUNA MUNGU. Kuamini HAKUNA si kwamba HAKUNA IMANI. Kwa taarifa yako ktk wanasayansi wakubwa duniani wengi walikuwa na ndio waliopo na wataendelea kuwa wanaomwamini Mungu na Uvumbuzi wao ni maono na ufunuo.Wale brothers wa US waliogundua ndege walikuwa wkaristu wazuri,Isaach Newton, Blaise Pascal, Achimedes etc, Hata Albert Eistein alikuwa mcha Mungu na alitofautiana na watu kwa jinsi watu walivyokuwa na fikra ndogo kuhusu Mungu aliye mkuu, aliandika philosophy tena ile Phylosophy ya Imani.Kwake Yeye alimwangalia Mungu tofauti na Newton km walivyongalia Matter na Physics tofauti na Newtons.Newtona liangalia physics kwa vitu vinavyokwenda speed chini ya si mwanga tuu sauti, na dunia yake hivyo hivyo.Km Yesu alivyoangalia Sheria za Mungu tofauti na Moses , km Ulivyo Ukristu Leo ulivyo Tofauti na Uislam ktk kungalia Wema wa Mungu, mahusiano ya Mungu na Binadamu, na kipi Muhimu ktk mahusiano ya Mungu na binadamu,waislam kwao dini ni Muhimu kuliko aspecs nyingine zinampa utukufu Mungu na kumpatia ukombozi Binadamu. Wanasayansi wakubwa kila siku wanamsifu Mungu...wakati atheist na darwin followers wapo busy na IT IS BELIEVED THAT SO ....AND SO LIVED SO AND SO MILLIONS OF YRS,AND SO AND OS WAS THE ANCESTOR OF CURRENT >>SO AND SO.Hakuna kipya hapa!,Nitaujibu huu uzi kwa kifupi ka ifuatavyo. 1.Kwanza kuwepo kwa neno"IN GOD WE TRUST",katika noti ya marekani halisababishi mimi(Atheist )nisiitumie.Kwanza lazima ujue Atheism sio DINI,ukishajua hivyo hutauliz aswali kama hilo. Hapa namaanisha kwamba mfano,mwislam niarufuku kwenda kanisani na kusali ama mkrito kwenda mskitin kusali.Sisi hatuko hivyo .Atheism IS THE COMMON SENSE. 2.Kutumika kwa bandiko lile halituondolei chohote maana sisi sio dini na hatuko kurumbana ama kugombea kitu(afuasi wala maslahi,We are the best thinkers).Na ndio maana 96% ya kila kitu duniani tunaendesha sisi(scientists ). 3.Ukitaka tusitumie dola ya marekani eti kwa sababj ina neno,"IN GOD WE TRUST",Basi mwambie Papa(baba yenu mtakatifu) atoe zile mike zote pale Vatican,na pia atumie majani ya migomba kuhifadhi Documents zake badala ya Laptops ambayo ni kazi ya scientists mnaowapinga.Kisha mwambie akitaka kwenda kwao Argentina ama popote katika safari ya kikazi asitumie ndege bali aende kwa miguu ama ngamia au mwanapunda. Pia mwambie shekhe mkuu wa pale mecca ama medina,awe anatumia ngamia kwenda misri sio ndege!. Mbona mnataka kukata tawi mlilokalia? Nyie wazima kweli? Kuna siku niliwauliza swali kwba mnbie matatizoatatu ambayo dini imeyatatua mapaka sasa hakuna aliyenijibu zaidi ya blah blah!!,
The issue ni kwamba upo too naive , hadi unadhani una free thinking/ideas. Logic yako ina base wapi?Umeweze descredit theology behind na logic kabla ya kuleta kaswali kako? "Utakuwa unapata shida sana dunia ya Leo kusikia Eti mla masikio Suarez anauzwa hela nyingi kiasi cha Liverpool kununu wachezaji wazuri sana wengi na hela ikabaki"......in the Bible .Hata wayahudi na ubishi wao,ujanja wao wa kusimamisa issue..walijikuta wakiwaita wenzao kuwa ni wajinga sana ,kwa kutojua kuwa wanahitaji kumtoa mtu mmoja ili wengine wapone.....Wakakiri hivyo ingawa hawakujua kuwa Kiri yao ilimaanisha zaidi ya ukombozi kwa Kaisari..Utapata shida shida sana kusikia ktk Meli wapo waliokuwa wakitupa watu ktk maji ili Meli ipone dhoruba,....utaumia zaidi kusikia kuwa HATA WAZAMIAJI(HAWA HAWANA DINI ,ILA WANAHITAJI TESTER) ktk nchi zenje uzio wa umeme nao huwa humtoa mmoja kafara ili kujua km muda huo umeme umezimwa ili wapite wengi salama...Umejiuliza km Mwanao anapokula hela ya watu akiwaahidi kuolewa nao inakuweje wenye hela wakija juu?umewahi jiuliza mwanao akishikwa ktk nchi ambayo sheria yao ni kuua na huna nia ya kuvunja haki ili kumuokoa ila unapenda mwanao awe huru?Halafu wanaodai wanataka na RIBA?Umewahi jiuliza nini kinamfa furaha adui anayependa kujikweza na kudhalilisha wengine anapenda zaidi kwa asiye mpenda....yupo tayari kuwaachia vibarua km mke wa fulani atalala nae, km mtoto wa mshindani wake anaanguka ,mbele ya mwanae,...Muarabu kaachia mengi sana kwa fahari ya kumbadili dini mkristu mmoja maarufu, KWANINI SHETANI ASIWE NA RAHA KUMDHALILISHA YESU NA KUWAACHIA BINADAMU ....hujasoma ktk majaribio shetani alikuwa akimwambia nini?Christian is the court of human sacrifice! Its not the religion that repute the human sacrifice !No! Its a kind of Religion that celebrates the single human sacrifice as a whole factor,they say"God loves the World that he gave his only son""!john 3:16.This is PETTY.It doesn't make any sense that someone must suffer n die in oder to let others enter into gods kingdom!, We come from people who used to bury children under the foundations of the buildings as offering to their imaginary god.,Hebu fikilia yaani watu wanazika watoto wakiume wakiwa wazima wakati wa kujenga misingi ya nyumba ili mungu asije liangusha jengo!.Huyu mungu ni yupi?.This is the source of the people who wrote the bible!.You just think about it af nambie huyu mungu mungu gani?.
Wapo wanaojua kuwa mke anayemuoa ipo siku ataliwa tena sana, na wengine wanajua kabisa nani anakwenda mla.Km waajuavyo kuwa binti zao nao.Ila bado wanazaa,na wanawapenda watoto wao.Si kwamba hawawezi fanya kitu ,ila ktk mazingira unayompa mwingine uhuru na kuheshimu time slot uliyompa huna haki ya kumwingilia halfu bado uje muhukumu.Theology inaniambia kuwa Adamu alichokubali kwa ushawishi wa Shetani ni UHURU KWA KUJIAMULIA.CCM leo imechukua uhuru wa watu kujiendeleza,kufikiri ..na sasa haiwezi waletea maendelea bado inadai kuwa serikalini watu wenyewe na si kila kitu ni serikali.Mungu hawezi kuwa hivyo.Labda useme hivyo kuwa nafikiri kibinadamu. Sioni logic ya kuumba watu ukawapenda halafu ukawapa 'free will' na kuruhusu mitego ambayo wakinasa unawachoma na wakati huo huo unajua kabisa kuwa flani atanasa...niwaache wasio fikiri kibinadamu...
Uancheza kweli wewe, atheist wengi hawana mchango ktk dunia zaidi ya maanagamizi.Atheism imemwaga damu duniani kuliko.Ujamaa na ukomunist umeua sana wati USSR,China,Burma,North Korea, etc.
Kwa taarifa yako Atheism ni dini , na ina involve IMANI kuliko science.Atheism ni dini kwa vile ina principal na way zilizo na pattern wanayoifuata wengine na kuwaongoza kisiasa, kimitizamo na maisha + IMANI KUWA HAKUNA MUNGU. Kuamini HAKUNA si kwamba HAKUNA IMANI.
Kwa taarifa yako ktk wanasayansi wakubwa duniani wengi walikuwa na ndio waliopo na wataendelea kuwa wanaomwamini Mungu na Uvumbuzi wao ni maono na ufunuo.
Wale brothers wa US waliogundua ndege walikuwa wkaristu wazuri,Isaach Newton, Blaise Pascal, Achimedes etc, Hata Albert Eistein alikuwa mcha Mungu. Wanasayansi wakubwa kila siku wanamsifu Mungu.
..wakati atheist na darwin followers wapo busy na IT IS BELIEVED THAT SO ....AND SO LIVED SO AND SO MILLIONS OF YRS,AND SO AND OS WAS THE ANCESTOR OF CURRENT >>SO AND SO.
Ndio nakuambia bado unakua...Ndio maana nakuambi unadhani dini Lazima iamini uwepo wa Mungu, au mungu au chochote km budha.Dini ina mfumo wa maisha,unaoongozwa na imani.Kwa taarifa yako km issue ni dini badi Atheism ,inaweza kuwa inashindana na uislam ktk dini kuliko Ukristu.Ukristu si dini kihivyo. Naona unaleta siasa ,dini ktk Sayansi.Mini ni muumini mkuwa wa sayansi sasa hivi blah blah unaleta zinanitia kichefuchefu...Darwinism imejaa "It is Believed" na kulazimisha vitu unscientific kufundishwa km kweli,hadi wana lobby ktk mshule na secondary dini yao ifundishwe bila kuhojiwa..wakati bado wapo ktk theory.Umejiuliza kwanini wanallazisha vitu huku wakikimbizana kutafuta evidence baadaye na bado hawajapata?eti wanatafuta link kati ya binadamu na Sokwe KWA KUTUMIA MFUPA MMOJA...BILA KUTUAMBIA KM HAUKUWA WA MNYAMA KILEMA AU BINADMAU KILEMA.EVEOLUTION THEOREM ..Imajaa CHANCES tupu.Kila kitu kipo ktk probability ya 1/billionth kutokea.wakati ushahidi wao wenyewe wa maeneo mengine unawatuambia kuwa nature ina eveidence kubwa ya survival ktk wingi au probability kubwa.Yaani probability ya wewe kuzaliwa babako alipiga bao lenye mbengu millions, ili binadamu na wanyama wengine ni kuzaana sana, kukimbia hatari na kurithi kizazi kilichpita.ndio maana hawajatupa taarifa ya GOD PARTICLE ktk LAB YA ULAYA...Dini haimwagi damu?.Nini kinatikotea Mashariki ya kati?.Niambie matatizo matatu tu ambayo dini imetatua hapa duniani? Nahisi hujui maana ya Atheist!.Na hata kama ingekuwa Dini,haimaanishi Kuna mungu! Ufunuo na maono maana yake nini.Huwezi kuelewa kitu bila kusoma ama kufanya uchunguz.Katika sayansi hatutumii neno ""imani ". Hata kama waliamini katika dini na mungu haimaanishi yupo!. Bora Atheist tunatafuta kwa kufanya uchunguzi wa kina kuliko Nyie mlioambiwa mungu yupo mkaridhika!.Nakuuliza tena nambie matatizo mawili tu amabyo dini imewahi kuyatatua.