If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Then why there is judgment day,according to your books? .Or why did he judged Adam and Eve if he knew everything before

Ebu fikiria (according to my Holy Book) kwa makini haya maswali yaliyoelekezwa kwa Adam: 'Je! umekula wewe matunda ya mti niliyokuagiza usiyale?.... Nini hili ulilofanya?'

Mkuu, sasa kama Mwenyezi Mungu alijua mapema kuwa Adam & Hawa wangefanya hivi, sa mbona anawauliza maswali haya? Kulikuwa kuna ulazima wowote wa Muumba kuuliza maswali wakati majibu yanajulikana?
 
Then why there is judgment day,according to your books? .Or why did he judged Adam and Eve if he knew everything before

Free Ideas!

Kama ilivyo siku ya kuzaliwa, siku ya kufa, basi siku ya hukumu pia ipo' thus according to the books, and my self. Hata vitabu visingesema, ningesema mimi.

Tumepewa uhuru wa kuchagua Njia iliyonjema kwetu sote, na kwa kila njia umeonyeshwa mwisho wake, Umeonyeshwa mwanzo wake, Umekumbushwa na watu wema kuhusu habari za Mwenyezi mungu, Umefundishwa namna ya kuishi kama muumini wa Mwenyezi Mungu, umepewa na uwezo wa kuishinda dhambi' hayo na mengine mengi mazuri, bado Uzingue kisha uulize kwann kuna adhabu?

Nikumegee siri kidogo, Mwenyezi Mungu ndie Mwl. Wa kwanza duniani, wengine wote wame copy toka kwake, mifumo mingi ya kiutawala duniani wamekopy mambo mengi toka kwa Mwenyezi Mungu japo wao watakataa, na wapo wanaotumia vibaya.

Fikiri kwanza kisha niulize, kama hujaelewa.
 
Mkuu uoni kuwa huyu mbakaji atakuwa ameonewa tu ikiwa issue nzima ni involuntary action?
ha ha ha ha , Definitely ..what can i say...some how i think sheria inalenga ku-consider maumivu kwa mbakwaji.. kupitia psychological defects, risks za magonjwa n.k.
 
ha ha ha ha , Definitely ..what can i say...some how i think sheria inalenga kumfeva mbakwaji.. kupitia psychological defects, risks za magonjwa n.k.

Mkuu, ebu fafanua maana bado sijakupata vizuri.
 
Free Ideas!

Kama ilivyo siku ya kuzaliwa, siku ya kufa, basi siku ya hukumu pia ipo' thus according to the books, and my self. Hata vitabu visingesema, ningesema mimi.

Hujajibu swali kwamba kwa nn kuwe na siku ya hukumu kama anajua kila kitu hata yajayo?.Atafaidika nini na hukumu?.Je mungu huyo mwenye nguvu zote na uwezo wote ameshindwavkuyaepusha haya yote?.Kwa nn maovu yanetendeka machoni pake?.Alishindwa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani?.Ukisema mungu atatuhukumu navuta picha kwamba mungu ni binadamu kama sisi(ana hasira,chuki,majivuno,mipango,na malengo).haileti picha eti mungu mnaemwelezea ana uwezo wote amekaa kitini anahuku watu,4 what?,then what after?.Huu ni uoga wa kutumia akili zenu vizur.

Free Ideas!
Tumepewa uhuru wa kuchagua Njia iliyonjema kwetu sote, na kwa kila njia umeonyeshwa mwisho wake, Umeonyeshwa mwanzo wake,

Sasa kama tumepewa uhuru hukumu inatoka wapi?,Unajua maana ya uhuru?.Okay basi kama tuko huru kuchagua mi nimechagua mabaya,sasa kwa nn anihukumu?.Huoni hizo ni hadithi za kutunga kuogopeshana.?
Free Ideas!
Umekumbushwa na watu wema kuhusu habari za Mwenyezi mungu, Umefundishwa namna ya kuishi kama muumini wa Mwenyezi Mungu, umepewa na uwezo wa kuishinda dhambi' hayo na mengine mengi mazuri, bado Uzingue kisha uulize kwann kuna adhabu?

Kwa nini nikumbushwe?.Kwa nini mimsome mungu darasani.Kwa nn binadam mwenzangu anieleze habar za mungu kwa nn nisimjue natural kama kwel anahusika na uwepo wangu hapa duniani?

Free Ideas!
Nikumegee siri kidogo, Mwenyezi Mungu ndie Mwl. Wa kwanza duniani,

Umejuaje?,nani kakwambia?
Free Ideas!
wengine wote wame copy toka kwake, mifumo mingi ya kiutawala duniani wamekopy mambo mengi toka kwa Mwenyezi Mungu japo wao watakataa, na wapo wanaotumia vibaya.

Sio kwel.Niambie kwa nini mungu ametupa vitabu ambavyo vinasapoti utumwa!?.Sisi binadamu tukauzui utumwa kwa kuona ni ukiukwaji wa haki za binadamu!.Je mungu hakujua hilo,je nikisema sisi tunaakili kuliko mungu utakataa?
Mungu alisahau?.mungu wako ni katili?.
Free Ideas!
Fikiri kwanza kisha niulize, kama hujaelewa.
Nimekuelewa kijana nijibu hayo maswali kisha tuendelee,,karibu
 
Mkuu, ebu fafanua maana bado sijakupata vizuri.
i mean katika ubakaji; kuna mhathirika (victim) na mtenda kosa.

ili sheria ionyeshe kutenda haki, inabidi ionyeshe kumjali victim:
Kama ubakaji umefanywa ni vizuri haki ikatendeka kumfeva mwathirika. mfano:
mwathirika anaweza kuwa mtoto mchanga(baby), binti mdogo(toddler), msichana mdogo(Lass), mwanamke wa kwenye ndoa, bibi kizee etc
sasa ili kusimamia sheria na sheria nyinginezo zenye kuhusiana kama vile sheria kuhusu child abuse, haki za mwanamke,haki za mtoto wa kike, na haki za binadamu, ni vizuri kukawepo adhabu kali kwa wabakaji ili iwe fundisho kwa wengine wasitende kosa hilo.

Kuepusha Watu kujichukulia sheria mikononi:
ikiwa haki haijamfave mhanga ni wazi yanaweza yakatokea mauaji na visasi katika jamii. Either kati ya ndugu wa mhathirika na mbakaji. Ama victim na mtenda kosa.

na hiii ni muhimu kwasababu mtenda kosa aliinjoy lakini mtendewa aliumizwa pengine.

Adhabu inasaidia kutibu matatizo ya kisaikolojia:
vizuri wakiweka sheria zinazoweza kuzuia madhara ya kimwili na ya kisaikolojia.- Kama kuhisi kudhalilika, kujiona hana thamani, Kujiua,
madhara ya kimwili ni kama, kifo, magonjwa -sexual transmited diseases(STD) majeraha,. nk. na ya kisaikolojia ni mabaya na makubwa zaidi pia yanahitaji kutibiwa.
 
Christian is the court of human sacrifice! Its not the religion that repute the human sacrifice !No!
Its a kind of Religion that celebrates the single human sacrifice as a whole factor,they say"God loves the World that he gave his only son""!john 3:16.This is PETTY.It doesn't make any sense that someone must suffer n die in oder to let others enter into gods kingdom!,

We come from people who used to bury children under the foundations of the buildings as offering to their imaginary god.,Hebu fikilia yaani watu wanazika watoto wakiume wakiwa wazima wakati wa kujenga misingi ya nyumba ili mungu asije liangusha jengo!.Huyu mungu ni yupi?.This is the source of the people who wrote the bible!.you just think about it af nambie huyu mungu mungu gani?.
 
Unafikiri kwa jinsi ya kibinadamu; Mungu amekupa wewe option ya kumfuata au kinyume chake; the choice is yours. Kujua kwamba alijua mapema kuwa utakengeuka na alipashwa kunusuru kiumbe chake huo ni upuuzi maana ulipewa free will kuchagua njia sahihi wewe mwenyewe.
Labda useme hivyo kuwa nafikiri kibinadamu. Sioni logic ya kuumba watu ukawapenda halafu ukawapa 'free will' na kuruhusu mitego ambayo wakinasa unawachoma na wakati huo huo unajua kabisa kuwa flani atanasa...niwaache wasio fikiri kibinadamu...
 
Christian is the court of human sacrifice! Its not the religion that repute the human sacrifice !No!Its a kind of Religion that celebrates the single human sacrifice as a whole factor,they say"God loves the World that he gave his only son""!john 3:16.This is PETTY.It doesn't make any sense that someone must suffer n die in oder to let others enter into gods kingdom!We come from people who used to bury children under the foundations of the buildings as offering to their imaginary god.,Hebu fikilia yaani watu wanazika watoto wakiume wakiwa wazima wakati wa kujenga misingi ya nyumba ili mungu asije liangusha jengo!.Huyu mungu ni yupi?.This is the source of the people who wrote the bible!.you just think about it af nambie huyu mungu mungu gani?.

free ideas, Hata hapo pagans walichokifanyana wanavyoendelea kufanya ni aibu, hatiwezi kukataa jambo moja..sometimes dini inaweza kuchanganyika na tamaduni za watu...
Lakini wewe unajiita free thincker lakini hata hiyo enlightenment ndogo uliyonayo imetokana na ukristo unaoihamasisha iwepo lasivyo kama ungeendelea kuwa kama ulivyo ungekuwa kiumbe wa ajabu. civilization ya duniani ime-flourish kutokana na huo Ukristo.

Angalia Ishmael ameorodhesha wanasayansi wa kikristo wengi tu. Most religions and world culture were more savage, Christianity is exceptional. Christians is the one which shaped this world to a better place to live. The rest of religions failed to accept new ideas. Christians perceive God as a loving God.
Just imagine hata huo Utumwa ni christians reasoning iliyozuia usiendelee.

Angalia karne ya 21,mfano
hapa chini kisha jiulize kwenye kabila ulilotoka kitu gani kingekuzuia kuwa mporipori kama hili kabila??Kama sio Christians view of God.
hii ya kukata mikono wanawake kabila la dani lililoko indonesia. inapotokea mtu kafariki kama ishara ya kuonyesha huzuni!!
bizarre-cultural-practices-finger-cutting.jpg

7 Bizarre Cultural Practices
 
Em fikilia,if god is kind and loves us why did he gave us the book which supports slavery ?.The book which allows others to kill others for their own purpose ?.

Its hard to believe that we live in the Universal that ruled by unseen mystery Yahweh!.

Just take a time to think about the Muslim young men who blow themselves up convinced that they are agencies of God's will!.On other hand the Christians have nothing to say about their behavior than that they are praying to a wrong God!,so in simple manner is that if the young Muslim men had a right god,it means what they do could be good and blessed !.This is stupidity!
 
Em fikilia,if god is kind and loves us why did he gave us the book which supports slavery ?.The book which allows others to kill others for their own purpose ?.

Its hard to believe that we live in the Universal that ruled by unseen mystery Yahweh!.

Just take a time to think about the Muslim young men who blow themselves up convinced that they are agencies of God's will!.On other hand the Christians have nothing to say about their behavior than that they are praying to a wrong God!,so in simple manner is that if the young Muslim men had a right god,it means what they do could be good and blessed !.This is stupidity!

Pole sana!
 
Huyu kakazania hoja ya pesa akidhani ina mashiko...nishamwambia hapo juu kwamba pesa ni means ya exchange tu and has nothing to do with someone's belief bado haelewi!!
Ndio maana nawaambia kuwa maiga sana logic za watu mkidhani ni rahisi km ushoga au kuvaa nguo.Logic inatengenezwa within the constraints za Axioms na princiapal zake>Km ilivyo kutafuta hela kwa njia halali kunavyowasumbua wengine hadi wanaamu kupora,wanaamua kujirahisi etc,ila wengine wanazitafuta na kuzipata ktk watu wenye kukesha kuwangia wengine wasifanikiwe km waswahili.Ndio tofauti zetu, tusio waswahili na waswahili...HiZo Pesa huwa unazilia viapo sana, ama ktk office za serikali ulizopewa ajira, ama ktk kushughudia kitu kwa hela, ila zina miungu ktk alama na malengo,zina kila spirit unayoikubali na unayoikataa...nao wanapigana vita ktk umiliki wake.
 
Nani asiye taka pesa hapa DUNIANI. ACHA UONGO NA UKAFIR BANA. Kwanini Mnatumia pesa zilizo andikwa "IN GOD WE TRUST" na nyie mnasema HAMKUBALI kuwa kuna Mungu? WHY USING OUR MONIES.
dollar-bill.12860305_std.jpg
Haha..tena ndio hela anayosema ina thamani kuliko nyingine...hajui IN GOD WE TRUST NDIO mojawapo ya sababu ya nguvu yake.
 
When God creates us, He already knows how we were going to use that free will, certainly. Free will does not stop being free b'se God knows what 'll happen. Free will is a divine spark. He doesn't simply design us as robots but creates as thinking being able of doing good or evil. Ref: John 5:29, 'Those who have done good will rise to live, and those who have done evil will rise to be condemned'. In Short we can change our destiny.
Wape Somo... wanadhani Bible kusoma na watu wapole na walio HURU basi ina makosa au ni ya kubuni au imepotoshwa.Hili ni somo mpaka kwa wale walio ktk dini ila hawana uhuru.
 
Hakuna kipya hapa!,Nitaujibu huu uzi kwa kifupi ka ifuatavyo. 1.Kwanza kuwepo kwa neno"IN GOD WE TRUST",katika noti ya marekani halisababishi mimi(Atheist )nisiitumie.Kwanza lazima ujue Atheism sio DINI,ukishajua hivyo hutauliz aswali kama hilo. Hapa namaanisha kwamba mfano,mwislam niarufuku kwenda kanisani na kusali ama mkrito kwenda mskitin kusali.Sisi hatuko hivyo .Atheism IS THE COMMON SENSE. 2.Kutumika kwa bandiko lile halituondolei chohote maana sisi sio dini na hatuko kurumbana ama kugombea kitu(afuasi wala maslahi,We are the best thinkers).Na ndio maana 96% ya kila kitu duniani tunaendesha sisi(scientists ). 3.Ukitaka tusitumie dola ya marekani eti kwa sababj ina neno,"IN GOD WE TRUST",Basi mwambie Papa(baba yenu mtakatifu) atoe zile mike zote pale Vatican,na pia atumie majani ya migomba kuhifadhi Documents zake badala ya Laptops ambayo ni kazi ya scientists mnaowapinga.Kisha mwambie akitaka kwenda kwao Argentina ama popote katika safari ya kikazi asitumie ndege bali aende kwa miguu ama ngamia au mwanapunda. Pia mwambie shekhe mkuu wa pale mecca ama medina,awe anatumia ngamia kwenda misri sio ndege!. Mbona mnataka kukata tawi mlilokalia? Nyie wazima kweli? Kuna siku niliwauliza swali kwba mnbie matatizoatatu ambayo dini imeyatatua mapaka sasa hakuna aliyenijibu zaidi ya blah blah!!,
Uancheza kweli wewe, atheist wengi hawana mchango ktk dunia zaidi ya maanagamizi.Atheism imemwaga damu duniani kuliko.Ujamaa na ukomunist umeua sana wati USSR,China,Burma,North Korea, etc. Kwa taarifa yako Atheism ni dini , na ina involve IMANI kuliko science.Atheism ni dini kwa vile ina principal na way zilizo na pattern wanayoifuata wengine na kuwaongoza kisiasa, kimitizamo na maisha + IMANI KUWA HAKUNA MUNGU. Kuamini HAKUNA si kwamba HAKUNA IMANI. Kwa taarifa yako ktk wanasayansi wakubwa duniani wengi walikuwa na ndio waliopo na wataendelea kuwa wanaomwamini Mungu na Uvumbuzi wao ni maono na ufunuo.Wale brothers wa US waliogundua ndege walikuwa wkaristu wazuri,Isaach Newton, Blaise Pascal, Achimedes etc, Hata Albert Eistein alikuwa mcha Mungu na alitofautiana na watu kwa jinsi watu walivyokuwa na fikra ndogo kuhusu Mungu aliye mkuu, aliandika philosophy tena ile Phylosophy ya Imani.Kwake Yeye alimwangalia Mungu tofauti na Newton km walivyongalia Matter na Physics tofauti na Newtons.Newtona liangalia physics kwa vitu vinavyokwenda speed chini ya si mwanga tuu sauti, na dunia yake hivyo hivyo.Km Yesu alivyoangalia Sheria za Mungu tofauti na Moses , km Ulivyo Ukristu Leo ulivyo Tofauti na Uislam ktk kungalia Wema wa Mungu, mahusiano ya Mungu na Binadamu, na kipi Muhimu ktk mahusiano ya Mungu na binadamu,waislam kwao dini ni Muhimu kuliko aspecs nyingine zinampa utukufu Mungu na kumpatia ukombozi Binadamu. Wanasayansi wakubwa kila siku wanamsifu Mungu...wakati atheist na darwin followers wapo busy na IT IS BELIEVED THAT SO ....AND SO LIVED SO AND SO MILLIONS OF YRS,AND SO AND OS WAS THE ANCESTOR OF CURRENT >>SO AND SO.
 
Christian is the court of human sacrifice! Its not the religion that repute the human sacrifice !No! Its a kind of Religion that celebrates the single human sacrifice as a whole factor,they say"God loves the World that he gave his only son""!john 3:16.This is PETTY.It doesn't make any sense that someone must suffer n die in oder to let others enter into gods kingdom!, We come from people who used to bury children under the foundations of the buildings as offering to their imaginary god.,Hebu fikilia yaani watu wanazika watoto wakiume wakiwa wazima wakati wa kujenga misingi ya nyumba ili mungu asije liangusha jengo!.Huyu mungu ni yupi?.This is the source of the people who wrote the bible!.You just think about it af nambie huyu mungu mungu gani?.
The issue ni kwamba upo too naive , hadi unadhani una free thinking/ideas. Logic yako ina base wapi?Umeweze descredit theology behind na logic kabla ya kuleta kaswali kako? "Utakuwa unapata shida sana dunia ya Leo kusikia Eti mla masikio Suarez anauzwa hela nyingi kiasi cha Liverpool kununu wachezaji wazuri sana wengi na hela ikabaki"......in the Bible .Hata wayahudi na ubishi wao,ujanja wao wa kusimamisa issue..walijikuta wakiwaita wenzao kuwa ni wajinga sana ,kwa kutojua kuwa wanahitaji kumtoa mtu mmoja ili wengine wapone.....Wakakiri hivyo ingawa hawakujua kuwa Kiri yao ilimaanisha zaidi ya ukombozi kwa Kaisari..Utapata shida shida sana kusikia ktk Meli wapo waliokuwa wakitupa watu ktk maji ili Meli ipone dhoruba,....utaumia zaidi kusikia kuwa HATA WAZAMIAJI(HAWA HAWANA DINI ,ILA WANAHITAJI TESTER) ktk nchi zenje uzio wa umeme nao huwa humtoa mmoja kafara ili kujua km muda huo umeme umezimwa ili wapite wengi salama...Umejiuliza km Mwanao anapokula hela ya watu akiwaahidi kuolewa nao inakuweje wenye hela wakija juu?umewahi jiuliza mwanao akishikwa ktk nchi ambayo sheria yao ni kuua na huna nia ya kuvunja haki ili kumuokoa ila unapenda mwanao awe huru?Halafu wanaodai wanataka na RIBA?Umewahi jiuliza nini kinamfa furaha adui anayependa kujikweza na kudhalilisha wengine anapenda zaidi kwa asiye mpenda....yupo tayari kuwaachia vibarua km mke wa fulani atalala nae, km mtoto wa mshindani wake anaanguka ,mbele ya mwanae,...Muarabu kaachia mengi sana kwa fahari ya kumbadili dini mkristu mmoja maarufu, KWANINI SHETANI ASIWE NA RAHA KUMDHALILISHA YESU NA KUWAACHIA BINADAMU ....hujasoma ktk majaribio shetani alikuwa akimwambia nini?
 
Labda useme hivyo kuwa nafikiri kibinadamu. Sioni logic ya kuumba watu ukawapenda halafu ukawapa 'free will' na kuruhusu mitego ambayo wakinasa unawachoma na wakati huo huo unajua kabisa kuwa flani atanasa...niwaache wasio fikiri kibinadamu...
Wapo wanaojua kuwa mke anayemuoa ipo siku ataliwa tena sana, na wengine wanajua kabisa nani anakwenda mla.Km waajuavyo kuwa binti zao nao.Ila bado wanazaa,na wanawapenda watoto wao.Si kwamba hawawezi fanya kitu ,ila ktk mazingira unayompa mwingine uhuru na kuheshimu time slot uliyompa huna haki ya kumwingilia halfu bado uje muhukumu.Theology inaniambia kuwa Adamu alichokubali kwa ushawishi wa Shetani ni UHURU KWA KUJIAMULIA.CCM leo imechukua uhuru wa watu kujiendeleza,kufikiri ..na sasa haiwezi waletea maendelea bado inadai kuwa serikalini watu wenyewe na si kila kitu ni serikali.Mungu hawezi kuwa hivyo.
 
Uancheza kweli wewe, atheist wengi hawana mchango ktk dunia zaidi ya maanagamizi.Atheism imemwaga damu duniani kuliko.Ujamaa na ukomunist umeua sana wati USSR,China,Burma,North Korea, etc.

Dini haimwagi damu?.Nini kinatikotea Mashariki ya kati?.Niambie matatizo matatu tu ambayo dini imetatua hapa duniani?
Kwa taarifa yako Atheism ni dini , na ina involve IMANI kuliko science.Atheism ni dini kwa vile ina principal na way zilizo na pattern wanayoifuata wengine na kuwaongoza kisiasa, kimitizamo na maisha + IMANI KUWA HAKUNA MUNGU. Kuamini HAKUNA si kwamba HAKUNA IMANI.

Nahisi hujui maana ya Atheist!.Na hata kama ingekuwa Dini,haimaanishi Kuna mungu!
Kwa taarifa yako ktk wanasayansi wakubwa duniani wengi walikuwa na ndio waliopo na wataendelea kuwa wanaomwamini Mungu na Uvumbuzi wao ni maono na ufunuo.

Ufunuo na maono maana yake nini.Huwezi kuelewa kitu bila kusoma ama kufanya uchunguz.Katika sayansi hatutumii neno ""imani ".
Wale brothers wa US waliogundua ndege walikuwa wkaristu wazuri,Isaach Newton, Blaise Pascal, Achimedes etc, Hata Albert Eistein alikuwa mcha Mungu. Wanasayansi wakubwa kila siku wanamsifu Mungu.

Hata kama waliamini katika dini na mungu haimaanishi yupo!.
..wakati atheist na darwin followers wapo busy na IT IS BELIEVED THAT SO ....AND SO LIVED SO AND SO MILLIONS OF YRS,AND SO AND OS WAS THE ANCESTOR OF CURRENT >>SO AND SO.

Bora Atheist tunatafuta kwa kufanya uchunguzi wa kina kuliko Nyie mlioambiwa mungu yupo mkaridhika!.Nakuuliza tena nambie matatizo mawili tu amabyo dini imewahi kuyatatua.
 
Dini haimwagi damu?.Nini kinatikotea Mashariki ya kati?.Niambie matatizo matatu tu ambayo dini imetatua hapa duniani? Nahisi hujui maana ya Atheist!.Na hata kama ingekuwa Dini,haimaanishi Kuna mungu! Ufunuo na maono maana yake nini.Huwezi kuelewa kitu bila kusoma ama kufanya uchunguz.Katika sayansi hatutumii neno ""imani ". Hata kama waliamini katika dini na mungu haimaanishi yupo!. Bora Atheist tunatafuta kwa kufanya uchunguzi wa kina kuliko Nyie mlioambiwa mungu yupo mkaridhika!.Nakuuliza tena nambie matatizo mawili tu amabyo dini imewahi kuyatatua.
Ndio nakuambia bado unakua...Ndio maana nakuambi unadhani dini Lazima iamini uwepo wa Mungu, au mungu au chochote km budha.Dini ina mfumo wa maisha,unaoongozwa na imani.Kwa taarifa yako km issue ni dini badi Atheism ,inaweza kuwa inashindana na uislam ktk dini kuliko Ukristu.Ukristu si dini kihivyo. Naona unaleta siasa ,dini ktk Sayansi.Mini ni muumini mkuwa wa sayansi sasa hivi blah blah unaleta zinanitia kichefuchefu...Darwinism imejaa "It is Believed" na kulazimisha vitu unscientific kufundishwa km kweli,hadi wana lobby ktk mshule na secondary dini yao ifundishwe bila kuhojiwa..wakati bado wapo ktk theory.Umejiuliza kwanini wanallazisha vitu huku wakikimbizana kutafuta evidence baadaye na bado hawajapata?eti wanatafuta link kati ya binadamu na Sokwe KWA KUTUMIA MFUPA MMOJA...BILA KUTUAMBIA KM HAUKUWA WA MNYAMA KILEMA AU BINADMAU KILEMA.EVEOLUTION THEOREM ..Imajaa CHANCES tupu.Kila kitu kipo ktk probability ya 1/billionth kutokea.wakati ushahidi wao wenyewe wa maeneo mengine unawatuambia kuwa nature ina eveidence kubwa ya survival ktk wingi au probability kubwa.Yaani probability ya wewe kuzaliwa babako alipiga bao lenye mbengu millions, ili binadamu na wanyama wengine ni kuzaana sana, kukimbia hatari na kurithi kizazi kilichpita.ndio maana hawajatupa taarifa ya GOD PARTICLE ktk LAB YA ULAYA...
 
Back
Top Bottom