T the muter JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 1,347 Reaction score 1,828 Oct 10, 2015 #981 Jamaa kauliza swali zuri watu wanaandika ya kwao tu.
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,047 Oct 10, 2015 #982 aretasludovick said: Mbona wote wanapingana kama Netanyahu na Abbas? Click to expand... Wala hawapingani,sheria zingine zimewekwa na wanadamu na wakazikuza
aretasludovick said: Mbona wote wanapingana kama Netanyahu na Abbas? Click to expand... Wala hawapingani,sheria zingine zimewekwa na wanadamu na wakazikuza
muxar JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,645 Reaction score 1,337 Oct 10, 2015 #983 is it true that destiny can't be changed?..I thought that the reason of prayers was to play roles in changing the destiny.
is it true that destiny can't be changed?..I thought that the reason of prayers was to play roles in changing the destiny.
mzawa098 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2013 Posts 253 Reaction score 210 Oct 10, 2015 #984 Pritty wa joseph said: Wala hawapingani,sheria zingine zimewekwa na wanadamu na wakazikuza Click to expand... Laiti kama Waumini wote wa dini wangekua wanawaza hivi ningeshawishika kidogo na huyo Mungu, lakini mbona umemwacha Krishna na Buddha?
Pritty wa joseph said: Wala hawapingani,sheria zingine zimewekwa na wanadamu na wakazikuza Click to expand... Laiti kama Waumini wote wa dini wangekua wanawaza hivi ningeshawishika kidogo na huyo Mungu, lakini mbona umemwacha Krishna na Buddha?