If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Wanasayansi wapo biased hawaamini ktk mungu. Hivyo basi kuwategemea wao kuleta ukweli itakuwa tunajidanganya. Ila tujiulize hii mifuko ya rambo, magari, piki piki, simu, pc nk hakuna aliyevitengeneza vimetokea tu naturalally, kama yupo aliye vitengeneza basi nasi yupo aliyetutengeneza. Mungu

na nani aliyemtengeneza mungu?
 
Sema.MWENYEZI MUNGU NI mm0ja tu,Hakuzaa wala hakuzaliwa,Na hakuna anayefanana naye hata mmoja.
 
If God knows your future you can not change your destiny beyond limitation of Gods'knowledge.
Hope God has limit as well.
 
Naomba nifafanue kwa niaba ya mleta mada,
Kama kwa mfano anajua(Mungu)kwamba itanyesha, hakuna atakayebadili hilo, ni lazima itanyesha.
Kama anajua kuwa Eiyer utaenda motoni, hata upige swala tano, moto uko palepale.Je uelewa huu ni sawa?
Ufafanuzi tafadhali.
Amekuelewa kweli huyu mtu wa imani pasipo kuuliza? 😁
 
Unajua maana ya kukataa kumkubali Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako?

Maana yake wewe unakana huruma ya Mungu ya kuuokoa ulimwengu baada ya dhambi kuingia duniani

Ni sawa na wewe uamue kwenda kumlipia mwanao fedha alizokopa ili asipelekwe jela,lakini ili zile pesa zipokelewe kule unakoenda kuzilipa inatakiwa tu kauli ya mwanao kukubali wewe mzazi wake kumlipia na watazipokea na kumfutia mwanao mashitaka,yeye anakana na kudai kuwa hataki hilo

Unadhani nini kitatokea kama sio kuja kukamatwa na kipelekwa jela?

Hivi unaweza kuuliza "hivi unadhani kama mwanangu akikana kukubali mimi kumlipia fedha anazodaiwa ataenda jela kweli" wakati unajua kabisa majibu yake?

Ili umpate Yesu hutakiwi kulipa hela wala hataki chochote cha kidunia kutoka kwako bali yeye anataka kukuepusha la laana ya milele,alijitoa bila wewe kuomba bali ni kwa upendo wake tu ili wewe usiaibike milele,mkubali tu na utaona maisha yako yakibadilika kuanzia sasa na utazijua siri nyingi sana za Mungu ambazo kuna watu wanakesha JF kuzitafuta,na utazipata bila kulipia hata senti moja

Welcome to the Kingdom of God!
kwa kauli yako hapa inaonyesha upendo wa Mungu ni conditional si ndiyo?
 
Kuna mambo mawili katika dini
1. Imani
2. Elimu

Imani unaamini heri na shari kavipanga mungu

Elimu
Unaamini heri kapanga mungu na Shari kapanga shetani

Turejee kisa cha nabii ayubu
 
Back
Top Bottom