Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
ugumu hapa unatokana na mimi kwenda mbali zaidi kutaka kuelewa saikolojia ya mungu....
(yaani mungu ananichukuliaje mimi kulingana na wengine?). wakati Christians believe God apenda watu wote. Meanwhile Allah asema fight and kill non belivers. So tukienenda kwa Christians tutapata shida kuwa na majibu. Tukienenda kwa dini ya muhammad jibu litakuwa rahis.
"Mungu ananichukuliaje mimi"--ndio inaenda kueleza kama wewe umeandikiwa kupotea yanini kujitaabisha wakati umeandikiwa kupotea na mwishowe utapotea haijalishi umetenda mema kiasi gani, umetoa zaka, sadaka kiasi gani..So sad.. Lakini kama umeandikiwa mbingu, basi pengine hata utende mabaya kiasi gani hopefull utaipata mbingu one day yes...Because God knows our destinies. and our future is already marked.We cant change it...may be we are fulfilling the prophecy
Unaona ilivyo ngumu lakini?
Kwa nini mungu amuandikie kiumbe kupotea?
Wakati ana uwezo wa kumuandikia kutopotea?
Si tunaambiwa mungu huyu ni "the most merciful"?
Sasa inakuwaje "the most merciful" amuandikie kiumbe wake kupotea kwa namna ambayo huyo kiumbe hawezi kuibadikisha? Wakati mungu huyu sna uwezo wa kumuandikia kiumbe ssipotee bila kupungukiwa kitu? Mungu gani mwenye roho mbaya ya kubania viumbe wake kama huyu?
Sasa kiumbe akipotea, kwa sababu kandikiwa kupotea na mungu kwa.namna.ambayo kiumbe huyo hawezi kuibadilisha, sikunya.hukumu.mungu atamhukumu kiumbe.huyu kwa kupotea?
Na kumpeleka motoni?
Hata kama mungu mqenyewe ndiye aliyemuandikia kupotea kwa namna ambayo kiumbe hawezi kuibadikisha?
Fikra hizi zina mantiki kweli?
Au ni fikra za kufikirika tu za kuhusu mungu asiyekuwepo?