If he's not getting it at home, he's surely getting it somewhere else???

Shishi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
1,242
Reaction score
42
My friends and I were having a gal talk abt men and sex. They are married wajua napata shule sio kutoka JF tu LOL😉. sasa mmoja wao the hubby had been working in Sudan so they wd meet every 1 or 2 months...and of course alikuwa hata amenunua chachandu for those days.. sasa bwana amerudi kenya... anataka kila siku, mazoea yale ya zamani yameisha. sasa she is starting to feel like its a chore that u have to do, whether u like it or not... just because kama hapati kwako basi atapata kwengine...lazima iwe ni kila siku??? sasa imekuwa ni ule mtindo wa 'ukimaliza funika' just to please him. si huu ndio mwanzo wa matata!!!
 
highlighted--unamaanisha nini hapo Shishi? Mimi sijaelewa
 
Mwambie kama awezi kushika mpini kila siku asubiri jamaa aende Mombasa street kama hatarudi tena na akirudi atakuwa ameshaharibika manake atakuwa anataka na ile idara ya upenuni tiGO. Manake nasikia huko hawana nidhamu kabisa unapewa samaki unaambiwa charge ni moja tu, sio kama hapa bongo nasikia malipo ya idara hizi mbili ni tofauti kabisa
 
highlighted--unamaanisha nini hapo Shishi? Mimi sijaelewa

Ahhhhhhhhhhhhh we nawe Sipo kweli haupo, hufahamu hiyo phrase? muulize Fidel atakuwa lazima anifahamu!
 
.....mmmnnh, 'ukimaliza funika', 😕😕😕 ...kubirua, kupindua, kugeuza,🙄
 
Sipo!... maanayake ww endelea mwenyewe ukimaliza utaniambia mie nimechoka sishughuliki....hahahahahhahaa..
 
My friends and I were having a gal talk abt men and sex. They are married wajua napata shule sio kutoka JF tu LOL😉. sasa mmoja wao the hubby had been working in Sudan so they wd meet every 1 or 2 months...and of course alikuwa hata amenunua chachandu for those days.. sasa bwana amerudi kenya... anataka kila siku, mazoea yale ya zamani yameisha. sasa she is starting to feel like its a chore that u have to do, whether u like it or not... just because kama hapati kwako basi atapata kwengine...lazima iwe ni kila siku??? sasa imekuwa ni ule mtindo wa 'ukimaliza funika' just to please him. si huu ndio mwanzo wa matata!!!

ikifikia hapo ni tatizo tena, hapana tutafanya pale ninapojickia/anapojickia/tukiwa wote kwenye mudi, kama ni kupata kwa mwingine akumbuke condom tu, mana starehe kwangu icgeuke mateso/adhabu, na hii kitu ukifanyiwa kwa kulazimisha bwana haina ladha hata kidunchu, utaambulia vimichubuko tu.
 
highlighted--unamaanisha nini hapo Shishi? Mimi sijaelewa

hahahah dogo kumbe bado mdogo kabisa, hapo anamanisha ila hali kwamba anampa mtanange kama wajibu lakini yeye hayupo pale na yeye, so inakuwa kama kummwambia shughulika ukimaliza 'funika chakula' hicho..hakuna hamu ya kuendelea kwa upande wa mke wala ile kuonyesha manjonjo kama ilivokuwa mwanzo.....ni sawa na kwenda jikoni ukakuta chakula kwenye sahani ukala kiasi chako, kisha ukafunika kwa 'matumizi ya baadaye'....upo hapo?
 
Nikirudi kwenya mada, mi nadhani hapo ni sualala kuadjust tu jamani, haoni kama mumewe alimiss kwa muda mrefu,, sasa kinachomshinda ni nini hata kama anataka kila siku (ambayo haiwezekani kwa mwanamke manake nadhani kuna mambo ya MP Nk)

mi nilidhani amngefurahi kuwa sasa wanafaidi matunda ya uhuru kumbe anataka waendelee as if yuko sudan tena? Tatizo ni nini?
 
Sipo!... maanayake ww endelea mwenyewe ukimaliza utaniambia mie nimechoka sishughuliki....hahahahahhahaa..

...😱 mungu wangu!!!

...hata mimi niliachwa 'solemba' hapo, duuuh! mungu aniepushie wa aina hiyo!
 
na kimbelembele chote hicho, kumbe huna copy! mm inakuwa kama wajib tu...yaani faidi ukitosheka funika nataka kulala mwenzako!
 
..."Sahani iliyofunikwa, kilichomo kimesitirika." ... 🙂
 
Kaizer umenifurahisha hapo.......wafaidi matunda ya uhuru. Exactly!!

inamaana jamaa alikuwa anafanyaje huko sudani? coz hakuna kitu kama kulipizia kwa sababu ulikosa siku nyingi. a week tu na sio kila siku unarudi normal. na kabla ya kwenda sudani alikuwa mara moja kwa mwezi? au kila siku. Hii sasa kali!! he will surely get it somewhere else!!
 
highlighted--unamaanisha nini hapo Shishi? Mimi sijaelewa

Ashakum si matusi. Sipo, unafunuliwa ufanye na mama anakwambia ukisharidhika na vile ulivyofunuliwa basi uvifunike. Huu msemo unatumika sana pale ambapo participation ya mama inakuwa ni ZERO kabisa kutokana na sababu moja au nyingine.
 
sio matusi kabisa...normal stuff

unafunuliwa.... mmmm hiyo kali
 
Nikirudi kwenya mada, mi nadhani hapo ni sualala kuadjust tu jamani, haoni kama mumewe alimiss kwa muda mrefu,, sasa kinachomshinda ni nini hata kama anataka kila siku (ambayo haiwezekani kwa mwanamke manake nadhani kuna mambo ya MP Nk)

mi nilidhani amngefurahi kuwa sasa wanafaidi matunda ya uhuru kumbe anataka waendelee as if yuko sudan tena? Tatizo ni nini?

Kila siku ataweaza mimi nilimwachiaga wangu akachemsha baaada ya wiki kama 3 hivi. Ila mziki wake ulikiwa heavy. Huyo wako labda anatumia dawa za kuongeza nguvu, nijuavyo mimi wanaume huchoka sana kuliko sisi.
 
sio matusi kabisa...normal stuff

unafunuliwa.... mmmm hiyo kali

Naam Shishi au vinginevyo...utaona message "Access denied" na ukitaka kuchukua kwa nguvu utaambiwa umemrape hapo biff linakuwa kubwa zaidi.
 
Kila siku ataweaza mimi nilimwachiaga wangu akachemsha baaada ya wiki kama 3 hivi. Ila mziki wake ulikiwa heavy. Huyo wako labda anatumia dawa za kuongeza nguvu, nijuavyo mimi wanaume huchoka sana kuliko sisi.

Correct kabisa katika hali ya kawaida,, lakini kama ni mwanaume anayeijua shughuli yake basi hata mwanamke atachoka pia, lakini sio kuchoka kivile,, actually mtakuwa mnatamani kila wakati mkipata 'nguvu' muendelee

kwa hili nimeshindw akuelewa mwana mama ana shida gani au mwanaume 'hamfikishi'?
 
Sasa huyo jamaa akienda nje na kutafuta nyumba ndogo huyo rafiki yako atakasirika?
 
Back
Top Bottom