Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Polygamy is selfish. Only a selfish man would want to have several women belonging to him alone, as wives. It is also primitive. It results from a primitive mindset that a man has to have many cows, children and wives.
Augustine Moshi: Are you trying to suggest that polygamy is a form of sexual abuse?
...Tabia Mbaya kuoa mke wa Pili?...acha uz.... na Genge lenu la TGNP...ni Tabia mbaya kwako, mafeminist wenzako na genge lenu la TGNP...kwetu sisi hio ni Moral Standard za Hali ya Juu na inafaa kuigwa!!!
Kitu gani kinamfanya mume afikie uamuzi wa kuongeza mke ? Nikipata jibu makini kwa swali hili nitakuwa na maswali mawili ya nyongeza. Ninavyojua mimi hakuna mila au dini inayolazimisha hali hiyo bali utashi binafsi.
Kusema tuoe mke mmoja moja sio kupinga Uislamu. Uislamu unaruhusu kuoa mke mmoja. Tena unafundisha ikiwezekana tuoe mke mmoja tu!
Mwalimu Moshi
Mimi nadhani hili swala linategemea mtizamo.
Hivi tunaposema moral standards, tunakuwa tunamanisha standards zipi? tunatumia morals zipi na za nani kama vigezo? Tunaposema "civilized world" tunakuwa tuna maana gani?
Yes, wenzangu hapa wanasema kwamba western standards should not be our benchmarks because we are Africans. Granted. LAKINI si ni sisi hawa hawa waafrika ambao tumekubali kusaini hizo human rights conventions? Kwa nini hatukukataa kwamba zinaenda kinyume na maadili yetu? Talk of hypocricy! Au tulikuwa hatujui tulitendalo wakati tunasaini?
Hebu nionyesheni ambapo TANZANIA tulikataa kwamba hizi human rights za wazungu hazitufai? Infact tumesaini madocuments yote bila hata reservations! Kusema kwamba JK ana wake wawili kwa hiyo ni vibaya, mi nadhani tunajicontradict wenyewe. tunapokubali standards za western countries kwa kusaini hayo matamko ya human rights na baadaye tunakataa kutekeleza yaliyomo kwa vile sisi sio wazungu nk..nadhani ni unafiki wa hali ya juu na UJINGA. Na wao wana haki kabisa ya kudemand accountability kutoka kwetu. Kwa hiyo kuwatukana TGNP au akina Kijo-Bisimba ni kuwaonea..maana wao wanahimiza watu watimize wajibu wao si zaidi ya hapo!
Ni kweli wazungu hawaamini katika ndoa ya mke zaidi ya mmoja. Sasa kama waafrika tunaamini katika hizo ndoa..kwa nini tulikubaliana nao in the first place? Au watu mnafikiri hiyo international community ni jina la mbege? HAPANA NI JINA LA MATAIFA YENYE NGUVU... KWA HIYO UKICHEZA WATAKUENDESHA TUU. JK kama rubani wetu ambaye anakimbia kila siku duniani akituingiza kwenye hiyo mikataba na matamko ya kimataifa kuuonyesha ulimwengu alivyo mstari wa mbele kulinda human rights..basi hana budi kukubaliana na matakwa ya hayo matamko....akijificha chini ya kapeti la uislamu au Uafrika..ni unafiki.
By the way msije mkashangaa Tanzania inasaign mkataba wa kulinda/kukubaliana na ushoga..harafu kesho eti Mashoga wanapigwa mawe ..kwamba vitendo vyao havikubaliki katika nchi yetu...well...mkinyimwa misaada ndo mtajua. Kama kitu hukitaki..say so and stand your ground! No shortcut!
Jamani langu ni hili: Waafrika tuache unafiki. The so called international community ni very dangerous. wao wanatake their rights seriously. Sasa kama nyinyi mnasaini tuu...then mjue kwamba iko siku yatawakuta. Kama hamjui muulizeni Bashir na mkasa wa ICC atawaambieni.
Who is the second wife to JK? her name? Anaishi wapi? Walioana lini?
Mkandara,
Ni lazima tuongee kwa ufasaha humu. Kwa vingine hatutaelewana. Si ni wasomi hawa wana JF? Kama Kinyambisi anataka kuzungumzia sehemu kubwa ya wanandoa wa Tanzania basi asiseme ni sehemu kubwa ya Watanzania. Maana alitaka kusema kwamba kwa misingi ya demokrasia, ni lazima tuendelee kuwa na ndoa za wake wengi kwani majority ya Watanzani wanaafiki polygamy. Huo ni uzushi.
Kuna watu wanafikiri thread hii inahusu president kuwa na wake wawili...wanakosea. Mapema sana nimeona hii ni thread inayoshambulia polygamy
Sasa kujaribu kuassociate polygamy na human rights na kumwingiza rais ni njia ya kuiweka hii thread katika siasa. Ni wazi moderator anaona hili na kwa kuwa na yeye labda anapinga polygamy ameamua kuacha thread hii iendelee hapa.
Marekani na mataifa ya ulaya wanafuata monogamy based on their main religion...Christinianity. Tanzania tumerithi utaratibu huu na kiprotokali bado huwa kunakuwa na first lady mmoja.
Kutumia rais katika kushambulia belief za dini fulani ni very cheap.
As long as the Quran says that Polygamy under the prescribed method is not udhalilishaji, then no muslim will disagreee. If they do, they disagree with the Quran and therefore are not Muslims. That was the point I used to derive the idea that 35% ya Watanzania ni waislam, sasa by that estimate, kusema kwamba ni mambo yakizamani kusupport polygamy basi tutakuwa waongo. And I also talked of the indeginous beliefs that sanction it. Wewe Moshi inaonekana hukuelewa. Who are you to demand rights of others ziwe abolished? That will never happen.
Wewe Moshi inaonekana hukuelewa. Who are you to demand rights of others ziwe abolished? That will never happen
Kinyambisi writes:
So, you feel that you have the right to marry many wives? What about the right of women to have equal dignity with men? That right is incompatible with polygamy.
Kinyambisi anapenda kurudi rudi kwenye Uislamu. Hapa anadai kwa vile Uislamu unaruhusu wake wengi, basi polygamy will always be essential. Not so. Mbona Uislamu uko Ulaya na Marekani na polygamy ni kosa la jinai huko?
Kama ni lazima ujikite kwenye dini, basi let me meet you at that level and argue as follows: Uislamu unaruhusu kuoa mke mmoja. Ukristu hivyo hivyo. Hapa dini zinakutana, tufanye hivyo. Kwa upande mwingne, Uislamu unaruhusu vile vile kuoa wake wengi. Ukristu unakataza. Hapa dini zinapingana. So, monogamy is our common ground. Let us stand there.
kinyambiss: Wewe ndiyo kichwa kigumu hapa:
We are not a country ruled by Isalmic Sharia; Quran is for Muslims, but also the muslims have to obey the law of the Land. We mentioned that this religion is everywhere not only in Tanzania or Africa. Islamic Sharia is used only in Total Islamic countries.
For your information Tanzanian have to obey Tanzanian Laws not Islamic Laws because Islam is not part of Tanzania Law unless Mahakama ya KADHI is established.
Get ur facts straight. No where did I use the word sharia in my posts. Nilichosema nikwamba watu mawao yao yanafuata those verses in the Quran therefore to legislate against that would be wrong where they are of such a great number, 35% ya wananchi. Jamani, mimi sio kichwa kigumu, I understand ur lil' feminist utopia, perhaps I even sympathize at times... lakini nnchatoka ni watu mjue kuwa Tanzania sio marekani or something like that... Waislam hawawezi kuelewa hicho kitu mnachotaka kukisema.. Wewe umeargue kuwa ni practice yakizamani.. Mimi nakwambia in Islam hakuna zamani wala sasahivi.. to them the Quran is timeless so, no government can argue that hiyo practice imepitwa na wakati.. at least not in such a country at Tanzania ambapo kunawidespread practice hiyo until now. Kama tunatoa human rights blindly bila kuangalia society husika basi na Gay marriage nayo iruhusiwe, its competely fair... the only issue nikwamba nihaki ambayo haiendani na jamii kwa wakati huu...
Mbona hilo swala unalikataa.. Wewe unamindset inayokunyima kuwa objective nakuona hali kama ilivyo. Mimi sitoi my personal view on the matter. I just relate things as they are.