Elections 2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!


Wakati mpo busy kufarilia viongozi waliopita na kufundisha watu kulinda kura mlikuwa wapi kuwafundisha kuzipiga kuwaomba kuwapigia magoti pia.

Wananchi wamechagua na heshimu hayo. Kura kuibwa basi nanyi mumeiba mliposhinda.

Kumbuka ni wananchi wameamua na hawakulazimishwa kwa kushikwa shingo.
 

Hata Mimi daah nikiwaza hiyo miaka na mtu mwenyewe ndo huyu daah anyway we will survive there.

God help us.
 
JF si salama, hata sishangai kende za Pasco kurudi ndani kwa sababu ya baridi yabisi. Zangu zilinywea pia.

Kila nilipofungua nilikuta wall yangu iko signed in kwa jina tofauti.
 
Mwanaume asiekuwa na msimamo ni Janga kwenye jamii... kaa hivyo hivyo ka bendela fata upepo
Ni kutakuwa na msimamo au ni kukubali matokeo?. Magufuli akishatangazwa na kuapishwa, yeye ndie rais wetu!, ndie rais wako, ndie rais wangu, ndie rais wa Lowassa ndie rais wa wote!, uwe ukimchagua, hukumchagua, unamtambua, humtambua, its never gonna change a thing kwa sababu urais is a fact!.

Labda nikumbushe nilisema nini 2010 Dr Slaa alivyosusia matokeo na hatimaye Chadema kujidai hawamtambui JK.

Pasco
 
Trust me! Ikiwa Magufuli atabahatika kushinda, basi ndiye atakayeifuta CCM kwenye ramani ya siasa za Tanzania! Kwa ufupi ni kilaza na wanaotarajia jipya kutoka kwake watavunjika moyo kupita kiasi!! Kazi ya urais siyo kukesha site kutafuta ujiko kwa makelele na kujipa ubora miongoni mwa wenzako!! Kumbuka kuwa urais ni kuongoza hivyo kila dosari unatupiwa wewe!! Sielewi na nasema tena sielewi imani ya watu kwa Magufuli ni yale makelele au kwenda kuchukua nyundo kugongagonga lami au kwenda kwenye mzani wa Kibaha au kutaja idadi na takwimu au kupiga makelele!

Ukijifanya mbabe kwenye urais wakati nchi yako ni masikini wakubwa watakubana tu! Ukiwa kilaza wa kushindwa kubuni mbinu za kuondoa umasikini imekula kwako!! Magufuli ana mbinu gani???
 
Nakubaliana na wanaosema Magufuli atakuwa under control kwa 100% ikipungua itakuwa 99.9 na kuachiwa 0.1 kwa ajili ya kum control mkewe na family yake lakini madaraka yake yapo chini ya kimvuli cha mfumo anaokwenda kuutumikia....
Hakuna marefu yasiyo na ncha.....
 
Tupo pamoja

Hapa kazi tu

Nimechoka dharau za wafanyakazi wengi wa serikali kama vile unachotaka wafanye ni kosa huku ni wajibu wao.

Na bado watanyooka tu

Pole kwa kutarajia mabadiliko..huyu mtu hanajipya
 

So painful
 

Aaagh unamuita kilaza aaagghh basi tumia usafiri wa anga maana barabara za kilaza zitakumeza.

Nyie ndio mnaoshinda mnakulwa rushwa kutumikia wananvhi sasa mnalo.
 
Pole kwa kutarajia mabadiliko..huyu mtu hanajipya

Ngoja aanze

Na kumbuka mabadiliko uletwa na wanaoyataka

Wewe na wenzako wengi mmeshapanga mtabadilika nini kuchangia mnayoyataka katika nchi yetu?

Wengi mnakalia kuandika tu humu na kukopi mawaidha ya wengine mitandaoni mkitoka tu humu akili zinakuwa hazina hata fikra ya nitatwngenezaje sh elfu kumi hii mkononi inizalie hata elfu mbili, mnaimwaga yote bwaaaaa

Mnakaa baadae mnalua mabadiliko je wewe na yule na yule mmebadilika?
 


Ni kweli 100%
 


Mkuu hawa wengi ni vilaza mno...

Usimalize maneno... tuombe uhai...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…