na utajutia kwanini magufuli alipita. Ndivyo mlivyo wanadamu..Kwa uzi wako huu nafarijika sasa kuamini ushindi upo Mlangoni mwa CCM.....CCM Oyeeee
Kati ya pumba ya mwaka hii nayo pia. unapata wapi ujasiri wa kusema magufuri rais 2015-2025 God forbid!!!!! nani katuroga sisi? nimeamini kuna watu mpo for your personal interest not country interest watu kama wewe mkoa wa mara Tarime kisu halali yake!!!! til when tutakapokubali upuuzi kufanyiwa maigizo kwenye maisha yetu. ukawa imepata ushindi Dar lakini bado CCM bado imeambulia kura nyingi jambo ambalo halikupaswa kabisa kuna uwezekano watu wa design hii wengi sana mijitu minafiki nafiki mara njano mara nyekundu hebu kuweni na msimamo bwana hata kama wengi wamemchagua sawa atatuongoza na sisi sawa lakini ukweli utabaki kuwa hatumpendi na hatu ukubali uongozi. we join them for eti coz we have to seriously? if we dont join them tutachinjwa, au watatunyima chakula au kazi? potelea mbali vyovyote watufanyie hata kama maalim na mbowe wa join nao better nibaki mwenyewe kuliko kuwa mtumwa wa fikra kabisa.
Nyani: I admired you for constructive criticism but you have failed me this time by not putting down Dr Magufuli's least qualification compared with past presidents. No data keep you speculations with you stacked in your headThe prospect of CCM being in power for almost 60 years makes me sick to my stomach!
Not only that.
The fact that Magufuli is the least qualified of all past CCM presidential nominees and therefore the likely next president for the next 10 years is hard to bear and unforgivably cringeworthy!
Magufuli will be remotely controlled from Msoga..!!! Like Bulldozer...!!!
Naamini 100% kwa uhakika kabisa.....MAGUFULI HAWEZI kamata mali ya ma trillions za JK, Mkapa au Kinana...!!!
Naamini 100% kwa UHAKIKA..!! MAGUFULI HAWEZI fumua mikataba mibovu JK aliyo ingia hata kidogo...!!!
So, WATANZANIA watabakia MASKINI WA KUFA...ufukara hadi wakome...!!!
Watanzania ndio WAKOME... NATAKA WAPATE SHIDA KUU, NA DHIKI KUU... ILI wapate akili na kujua adui wa maisha yao ni CCM...!!!
Na DHIKI kuu kwa wananchi ndio INAANZA...!!!
WATANZANIA WATAJUTIA KUIRUDISHA CCM MADARAKANI...!!!
NEC ni ya CCM 100%... UKAWA, wangetakiwa wakomae kabisa kabisa... wapate TUME HURU YA UCHAGUZI...!!!
HAPA NI WIZI WA KURA TU...!!!
NEC ni ya CCM...!!! So, UPINZANI sasa wakatae NEC na wakiingia tu BUNGENI... WATAKE TUME HURU YA UCHAGUZI...!!!
BILA TUME HURU YA UCHAGUZI NI BUREEEEEEEEEE....!!!
Raisi Pombe kama atatangazwa na NEC atatumia lugha gani atakapokwenda kutembeza bakuli?Trust me! Ikiwa Magufuli atabahatika kushinda, basi ndiye atakayeifuta CCM kwenye ramani ya siasa za Tanzania! Kwa ufupi ni kilaza na wanaotarajia jipya kutoka kwake watavunjika moyo kupita kiasi!! Kazi ya urais siyo kukesha site kutafuta ujiko kwa makelele na kujipa ubora miongoni mwa wenzako!! Kumbuka kuwa urais ni kuongoza hivyo kila dosari unatupiwa wewe!! Sielewi na nasema tena sielewi imani ya watu kwa Magufuli ni yale makelele au kwenda kuchukua nyundo kugongagonga lami au kwenda kwenye mzani wa Kibaha au kutaja idadi na takwimu au kupiga makelele!
Ukijifanya mbabe kwenye urais wakati nchi yako ni masikini wakubwa watakubana tu! Ukiwa kilaza wa kushindwa kubuni mbinu za kuondoa umasikini imekula kwako!! Magufuli ana mbinu gani???
Wanabodi,
John Pombe Magufuli ndiye Mahundi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wga 2015-2025!, Kuna walioshindana naye, waliopingana nae, na waliopingana nae!. Kuna msemo usemao, "if you can't beat them, join them!".
Maria wito kwa wote walioshindana nae,
kwanza kukubali matokeo, Pili kumpatia ushirikiano kwa ku join him.
Wakati wa mchaka to wa kumpata mgombea wa CCM nilipandisha uzi huu, kuhusu baadhi ya wagombea wa CCM wakipita wana hatari ya ku make the worst Dictators, John Pombe Magufuli was number 2 ya Rais who can make the worst dictator this country has ever had!.
Hoja kuwa Magufuli ni dictator haina mjadala, kitu cha muhimu ni kumuombea tuu kwa Mungu, angalau amfanye ni a benevolent one, vinginevyo tutajuta!.
Jakaya Kikwete ukiondoa mambo yake ya Kikwete ya uswahili Swahili, alikuja ni mtu mwenye huruma iliyooitiliza kiasi cha kutafsiriwa ni Rais dhaifu, hivyo CCM ya Kikwete ilikuwa ni CCM dhaifu!, CCM ya Magufuli itakuwa ni CCM sasa kazi tuu, ambayo ni hatari kwa waliozoea CCM lege lege, hivyo akijenga CCM imara sana, huu upinzani mwisho ni 2020!.
JK tumemchekea, tumemdhihaki, tumembeza, tumemkejeli, hadi kumchezea, yeye akicheka tuu na kuwaacha yapite. Kwa Magufuli, hakuna kucheka, wala hakuna mchezo, ni kazi tuu, hivyo hili ni angalizo muhimu sana na hata majaaliwa ya huu Uhuru tulionao humu jf mbele ya unpredictable dictator, ni mashaka matupu unless we join them!.
Thanks God, mimi ni mmoja wa wachache, wanaojua huyu Magufuli aliibukia wapi hadi yeye kuwa ndie mgombea wa CCM na sababu ni zipi!. Hivyo let's hope, only zile sababu, zilizopelekea kwa nini ni Magufuli, ndio the only ones zitakazo mcheck and balance him in between being a real dictator and a benevolent dictator, so to be on a safe side, if you can't beat them, just join them!.
Wana Chadema, Wana UKAWA na Watanzania wenzangu, najua wengi wetu tulimtaka Lowassa, tumemkosa!, tukapewa Magufuli, let's just take him!. If you can't get what you want, just take what you get!.
Sio tumjoin kwa sababu ndio tumemkubali, au kwa sababu ndio sasa tunampenda, no way, we have to join them because we have to!.
Pasco!.
kuna watu wamekuwa wakilia sana kwamba Tanzania tunahitaji dictator; Mungu amewasikia amewapa!!!! Msianze kulia lia hata kabla hajaingia ofisini!!!
Mkuu imagine mtu anakwambie eti tumuombee this is highest level of stupidity!!! kuna watu instead ya kuchakalikaUsipanic!! ndio akili za wabongo wenzio hizo....
Hata ukikataa utaleta tofauti gani mbele ya mtutu wa bunduki,mabomu ya machozi na magari ya washa washa a.k.a vikojozi!Jeshi lao,polisi wao,mahakama zao,unataka akatae tu kwenye keyboard?Katika watu nilokuwa nawakubali humu jukwaani nawe ulikuwa mmoja wapo! Kwahiyo umekubali hayo matokeo??? SAD.
Trust me! Ikiwa Magufuli atabahatika kushinda, basi ndiye atakayeifuta CCM kwenye ramani ya siasa za Tanzania! Kwa ufupi ni kilaza na wanaotarajia jipya kutoka kwake watavunjika moyo kupita kiasi!! Kazi ya urais siyo kukesha site kutafuta ujiko kwa makelele na kujipa ubora miongoni mwa wenzako!! Kumbuka kuwa urais ni kuongoza hivyo kila dosari unatupiwa wewe!! Sielewi na nasema tena sielewi imani ya watu kwa Magufuli ni yale makelele au kwenda kuchukua nyundo kugongagonga lami au kwenda kwenye mzani wa Kibaha au kutaja idadi na takwimu au kupiga makelele!
Ukijifanya mbabe kwenye urais wakati nchi yako ni masikini wakubwa watakubana tu! Ukiwa kilaza wa kushindwa kubuni mbinu za kuondoa umasikini imekula kwako!! Magufuli ana mbinu gani???
Wanasiasa wote ni majambazi na matapeli.Hii mimi nililiona tokea mwanzo. Niliwahi kutoa angalizo humu wakati akina Mbowe wakiangaika na daftari la kudumu. Nikasema cha kwanza kabisa kama wanataka ushindi, wangepigania kuwe na Tume huru ya Uchaguzi.
Bila kuwa na Tume huru ya Uchaguzi CCM itaendelea kutawala milele na milele.
Roho yako inajua unasema uwongo.... Mungu wetu anjua wewe ni Mwongo.....Wakati mpo busy kufarilia viongozi waliopita na kufundisha watu kulinda kura mlikuwa wapi kuwafundisha kuzipiga kuwaomba kuwapigia magoti pia.
Wananchi wamechagua na heshimu hayo. Kura kuibwa basi nanyi mumeiba mliposhinda.
Kumbuka ni wananchi wameamua na hawakulazimishwa kwa kushikwa shingo.
Mwanaume asiekuwa na msimamo ni Janga kwenye jamii... kaa hivyo hivyo ka bendela fata upepo