Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Yeah mkuuaiseee kumbe mkuu
Tupo pamoja mkuuYeah mkuu
Nakumbuka ulisema ww ni shabiki wa yanga na asenoTupo pamoja mkuu
Then you love football i guessI am not against the World.!
ONLY YANGA MKUU...ARSENAL HAPANANakumbuka ulisema ww ni shabiki wa yanga na aseno
Nyakati hizo na sasa ni tofauti.Hakuna ushahidi katika Maandiko unaothibitisha uwepo wa mchezo huo wakati/nyakati za Mitume..
Hii haimaanishi kuwa hakukuwa na Maisha....!!
Hayo maoni yako, ni kuonesha tu kuwa u-mtumwa wa kifikra...!
Wewe kama hushabikii mpira, ni kama unapingana na duniaHakuna kitu kama hiko mkuu,kila mtu na anachokipenda,haijalishi ni wengi au wachache
So toa hyo concept yako kichwani
Ni kipi kimebadirika Jua au Mwezi...!!Nyakati hizo na sasa ni tofauti.
So are u trying to say kuwa mpira ni dunia na dunia ni mpira??Wewe kama hushabikii mpira, ni kama unapingana na dunia