If you hate football, you are against the world.

If you hate football, you are against the world.

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Mpira wa miguu ni mchezo wenye mashabiki wengi mno ktk dunia hii.

Football hugusa hisia za mashabiki kwa kiwango cha juu mno.

Utani baina ya mashabiki ndiyo chachu ya utamu wa mpira wa miguu unapopatikana.

Hakika anayechukia mpira wa miguu, anapingana kabisa na dunia hii
 
Hakuna ushahidi katika Maandiko unaothibitisha uwepo wa mchezo huo wakati/nyakati za Mitume..

Hii haimaanishi kuwa hakukuwa na Maisha....!!

Hayo maoni yako, ni kuonesha tu kuwa u-mtumwa wa kifikra...!
 
Hakuna kitu kama hiko mkuu,kila mtu na anachokipenda,haijalishi ni wengi au wachache

So toa hyo concept yako kichwani
 
Hakuna ushahidi katika Maandiko unaothibitisha uwepo wa mchezo huo wakati/nyakati za Mitume..

Hii haimaanishi kuwa hakukuwa na Maisha....!!

Hayo maoni yako, ni kuonesha tu kuwa u-mtumwa wa kifikra...!
Nyakati hizo na sasa ni tofauti.
 
Hakuna kitu kama hiko mkuu,kila mtu na anachokipenda,haijalishi ni wengi au wachache

So toa hyo concept yako kichwani
Wewe kama hushabikii mpira, ni kama unapingana na dunia
 
Back
Top Bottom