Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
hahaha kweli mkuu, ndio maana nikiulizwa kwenu wapi nasemaga Moshi na sio KilimanjaroUr the kind of an idiot who can't differentiate btn overall and all over.
Huu Uzi unahusu sayansi au mambo ya spirits? Mambo ya demonic kingdom yana uhusiano VP na sayansi?
Wewe ni aina ya watanzania ambao hawawezi kutofautisha kati ya songea na ruvuma
LIKUD ktk ubora wakeEach time you masturbate, you donate sperm to the demonic kingdom. U are actually donating ur wealth and destiny to the kingdom of darkness.
If you want to prove what am saying : Stop doing masturbation for one year and see how ur life will change.
[emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Mkuu watu wanapiga puli kuanzia wanabarehe hadi wanaingia kaburini na wameacha historia kubwa zaidi ya wachungaji na wapendwa wengi wanaokemea puli..
Mambo ya shetani na hadithi za alfulela olela peleka kule acha watu watafute baby care zilipo na ute ute wa bamia au mayai tulipue kimoja hapa
Dini ndio inayokusumbuwa ila ukimjuwa Mungu wa kweli utajiri ni zawadi nje ya mambo yanakuzunguka.Each time you masturbate, you donate sperm to the demonic kingdom. U are actually donating ur wealth and destiny to the kingdom of darkness.
If you want to prove what am saying : Stop doing masturbation for one year and see how ur life will change.
kweli bwana we ni tajiri sema tu hujitangazi
sure Ila uzuri wa maskini huwa hawafuriiMimi Siyo tajiri, nimesema siyo masikini bro, i can do all this everyday all year, lakini nyeto ninapiga kama kawa, hapo ni samaki samaki hiyo mishkak ni 12k, konyagi ni 10k na hiyo ni ya tatu, masikini hawezi kufanya haya
sure Ila uzuri wa maskini huwa hawafurii
Hawezi kwasababu ka kopi paste mahaliPlease translate.
Pole sana uwo ni mchezo hatari sana na kama umeuaza kuacha ni ngumu sana auwezi acha kiraisi ivyoFrom today I won't going to do that stupiditu habit..
Ndiyo mkuu, naona ma-ushauri juu yao yanatolewa na LIKUD mtu wa watu.Unamaanisha chama cha punyeto Tanzania?
Kuna MTU alisemaga kuwa Wewe nimchumia tumbo kama matapeli wengine tuuNipe hela