If you masturbate, you will be poor forever

If you masturbate, you will be poor forever

Ur the kind of an idiot who can't differentiate btn overall and all over.
Huu Uzi unahusu sayansi au mambo ya spirits? Mambo ya demonic kingdom yana uhusiano VP na sayansi?

Wewe ni aina ya watanzania ambao hawawezi kutofautisha kati ya songea na ruvuma
hahaha kweli mkuu, ndio maana nikiulizwa kwenu wapi nasemaga Moshi na sio Kilimanjaro
 
Each time you masturbate, you donate sperm to the demonic kingdom. U are actually donating ur wealth and destiny to the kingdom of darkness.

If you want to prove what am saying : Stop doing masturbation for one year and see how ur life will change.
LIKUD ktk ubora wake
 
Mkuu watu wanapiga puli kuanzia wanabarehe hadi wanaingia kaburini na wameacha historia kubwa zaidi ya wachungaji na wapendwa wengi wanaokemea puli..

Mambo ya shetani na hadithi za alfulela olela peleka kule acha watu watafute baby care zilipo na ute ute wa bamia au mayai tulipue kimoja hapa
[emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Each time you masturbate, you donate sperm to the demonic kingdom. U are actually donating ur wealth and destiny to the kingdom of darkness.

If you want to prove what am saying : Stop doing masturbation for one year and see how ur life will change.
Dini ndio inayokusumbuwa ila ukimjuwa Mungu wa kweli utajiri ni zawadi nje ya mambo yanakuzunguka.
Umasikini ni Roho. Alafu na utajiri ni Roho.
Puli ni hali ya mwili ila inakwisha as days go. Usipo piga Puli kujikojolea kitandani ni must. Ndio alafu nyege zina washa hivyo mambo mengine tumuombe Mungu atupe neema. Nadhan umesikia wachungaji wanapinga uzinz ila wazinz wakufa mtu. Mungu awape neema. Ila point Namba moja isome uwelewe.
 
kweli bwana we ni tajiri sema tu hujitangazi

Mimi Siyo tajiri, nimesema siyo masikini bro, i can do all this everyday all year, lakini nyeto ninapiga kama kawa, hapo ni samaki samaki hiyo mishkak ni 12k, konyagi ni 10k na hiyo ni ya tatu, masikini hawezi kufanya haya
 
sure Ila uzuri wa maskini huwa hawafurii
 
sure Ila uzuri wa maskini huwa hawafurii

Bro ukishakiri udhaifu kuwa wewe ni masikini utakuwa ivyo maisha yako yote, nimepita huko kwenye umasikini na nilijiona mimi ni bilionea, na sasa ivi I am on my way up, nimepita kwenye iyo level, na sirudi unataka nijiite masikini??
 
POLE SANA MKUU MIMI MUNGU KANIBARIKI KILA KITU NINACHOTA NAPATA NA MAISHA YANGU NI YAKIPATO. CHA KATI NA KUAZIA NIMEBALEGHE MPAKA SASA NIMEOA NA NINA WATOTO WAWILI NAPIGA NYETO NA NIZAIDI YA MIKA 17 napiga Nanimefanikiwa sana acha uongo nakama ukisema niache mwaka mmoja kukaa mwaka bila kufanya utakuwa umemuachisha mtu kijanja ebu jaribbu uone utamu wake kwanza
 
Nipe hela
Kuna MTU alisemaga kuwa Wewe nimchumia tumbo kama matapeli wengine tuu
Kwamba utaleta utapeli ili ufatwe inbox udai hela
Wewe ukakataa hapa umedhihirisha kuwa Wewe ni Kama wale tuu
 
Kuna MTU alisemaga kuwa Wewe nimchumia tumbo kama matapeli wengine tuu
Kwamba utaleta utapeli ili ufatwe inbox udai hela
Wewe ukakataa hapa umedhihirisha kuwa Wewe ni Kama wale tuu
Yeah ni kweli Mimi ni mchumia tumbo
 
Hahahahaa dah watu bwana masterbation inashidah sawa basi tununue artificial vagina
 
Back
Top Bottom