If you want to destroy any nation without war, destroy their education system

Abuu hanifa

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2021
Posts
256
Reaction score
275
Watz wanawasiwasi na chanjo ya uviko 19 kutoka kwaabeberu.

Hata hivyo vitabu vyote vya elimu mashuleni, vya mitaala, kiada kwa miaka zaidi ya 10 vinafadhiliwa na pesa za mabeberu.

Ukitafakari kwa kina utaona kabisa ule usemi wa kimombo usemao
if you want to destroy any nation without war, destroy their education system

Kwa tz ya sasa unaaply.

Watz si bure....... ndio maana kwasasa hatushtuki kwa tukio lolote lile... Ni sawa na maiti zinazotembea.

Mwanazuoni Prof Qasim Mohammed Hussein naye akapigia msumari wa mwisho hapa, na nanukuu

The enemies use a variety of methods to destroy nation civilizations, but I think all these methods are concentrated in three ways to destroy a civilization:

1) Destruction the family: You must disappear the role of the mother, by making her ashamed of herself, through describe her job as a housewife.

2) Destruction the education: Do not make an importance to the teacher in the society and reduce his status to despise by his students.

3) Dropping the Role Models (Good examples): Stabbed scientists and thinkers, doubt and belittle from opinions of them so that no one would listen to them.

If the conscious mother disappears, the faithful teacher disappears and the role model for young men and boys falls, no one else will raise the new youth to good values

Ndio maana watu aina ya kibwetere kwasasa wana wafuasi wengi kwasababu jamii ishapunguza kupitia elimu. Elimu inayofadhiliwa na mabeberu. Vibwetere wanawaaminisha wafuasi wao kuwa chanjo ya corona imeletwa kuwapunguza waafira. Kumbe watu wanapunguzwa kwa kuharibu mfumo wa elimu.

Kwass ukituma pesa kiasi cha sh 100,000 unalipia 10,000 kama kodi na makato mengine

Ukinunua umeme wa 100,000 utakatwa 10,000 kama kodi na makato mwengine.

Watz kila kitu kwetu ni sawa tu.

Hongera chisiem

Una maoni gn weye
 
Watz wanawasiwasi na chanjo ya uviko 19 kutoka kwaabeberu.

Hata hivyo vitabu vyote vya elimu mashuleni, vya mitaala, kiada kwa miaka zaidi ya 10 vinafadhiliwa na pesa za mabeberu.

Ukitafakari kwa kina utaona kabisa ule usemi wa kimombo usemao
if you want to destroy any nation without war, destroy their education system

Kwa tz ya sasa unaaply.

Watz si bure....... ndio maana kwasasa hatushtuki kwa tukio lolote lile... Ni sawa na maiti zinazotembea.

Mwanazuoni Prof Qasim Mohammed Hussein naye akapigia msumari wa mwisho hapa, na nanukuu

The enemies use a variety of methods to destroy nation civilizations, but I think all these methods are concentrated in three ways to destroy a civilization:

1) Destruction the family: You must disappear the role of the mother, by making her ashamed of herself, through describe her job as a housewife.

2) Destruction the education: Do not make an importance to the teacher in the society and reduce his status to despise by his students.

3) Dropping the Role Models (Good examples): Stabbed scientists and thinkers, doubt and belittle from opinions of them so that no one would listen to them.

If the conscious mother disappears, the faithful teacher disappears and the role model for young men and boys falls, no one else will raise the new youth to good values

Sio maana watu aina ya kibwetere wanapata wafuasi wengi kwa watu...

Hongera chisiem

Una maoni gn weye
This is Tz bwana
 
Mkuu, makala yako ni fikirishi.
Rais wetu wa sasa Mhe. SSH ameturuhusu ku-challenge na kuja na mapendekezo.

Tunatokaje hapa ili mama apate heshima na kuthaminiwa kwa kuwepo nyumbani kama mlezi na mzazi aionekane tena kama "house wife"

Tufanyeje ili mwalimu thamani yake kwenye jamii irejee, enzi zile mwalimu alikuwa kioo cha jamii, ualimu ilikuwa wito na tuondokana na kutegemea watu kama "..." ndio wawe models; watu ambao morally wako corrupt na hawana kitu cha ku-offer/

Tufanyeje ili wanasayansi wetu wafanye vitu kwa kuwa na bajeti ya kutosha kwa tafiti ili kutatua changamoto za nchi hii na tusitegemee grant toka kwa mabeberu kama namna ya wanasayansi wetu kupata mtaji wa tafiti ambazo zitaleta suluhisho kwenye local settings?
 
Siasa safi na uongozi bora virejee,kutanguliza maslahi yawana kijani kwa gharama ya kukandamiza wenye mawazo ya kulitakia mema taifa letu kwa uzalendo wao ikome. Tureteeni Katiba mpya. Yaweza kuwa muarobaini.
 
Mambo kama hayo ndio ya kujadili kitaifa. Iwe ni sijui mwongozo, katiba au jina lolote lakini tuwe na msimamo wetu wa kutuongoza.

Kwa maana nyingine huo mwongozo hata kama upo kwa sasa basi haujitoshelezi au hausababishi watu kuwajibika ipasavyo.
 
Watz wanawasiwasi na chanjo ya uviko 19 kutoka kwaabeberu.

Hata hivyo vitabu vyote vya elimu mashuleni, vya mitaala, kiada kwa miaka zaidi ya 10 vinafadhiliwa na pesa za mabeberu.

Ukitafakari kwa kina utaona kabisa ule usemi wa kimombo usemao
if you want to destroy any nation without war, destroy their education system

Kwa tz ya sasa unaaply.

Watz si bure....... ndio maana kwasasa hatushtuki kwa tukio lolote lile... Ni sawa na maiti zinazotembea.

Mwanazuoni Prof Qasim Mohammed Hussein naye akapigia msumari wa mwisho hapa, na nanukuu

The enemies use a variety of methods to destroy nation civilizations, but I think all these methods are concentrated in three ways to destroy a civilization:

1) Destruction the family: You must disappear the role of the mother, by making her ashamed of herself, through describe her job as a housewife.

2) Destruction the education: Do not make an importance to the teacher in the society and reduce his status to despise by his students.

3) Dropping the Role Models (Good examples): Stabbed scientists and thinkers, doubt and belittle from opinions of them so that no one would listen to them.

If the conscious mother disappears, the faithful teacher disappears and the role model for young men and boys falls, no one else will raise the new youth to good values

Sio maana watu aina ya kibwetere wanapata wafuasi wengi kwa watu...

Hongera chisiem

Una maoni gn weye
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote. KInachoendelea Tanzania sasa hivi ni matokeo ya total colapse of our education system. Hiki kizazi cha sasa hivi ni tofauti kabisa na kizazi cha miaka ya uhuru mpaka 1980. Ukiangalia viongozi wetu, mashujaa wetu na watu wenye influnce sasa hivi ni wale watu wa hovyo hovyo wasio na vision yoyote.
 
I think mleta mada amegusia topic au mada nzito sana.....! Ambayo kuijadili inataka umakini na kutokuwa na akili ya kushikiwa.

Hizi sio mada za mbowe alisema nini bali ni mada mtambuka za kijamii ambazo naona kwa Tanzania hapa tupo very very slow kuzifanya.

Mimi naomba tu niseme tujitahidi kubadili namna tunafanya mijadala yetu. Tutoke kwenye mijadala ambayo ukitazama nyuma ya pazia unagundua ni wazi watoa mada na wachangiaji wanakuwa wapo busy kuwakilisha vyama vyao vya ushabiki wa kisiasa ila wakasahau kuwa wanatoka kwenye jamii yenye changamoto zinazowaathiri wote kwapamoja.

Hii ni mada fikirishi ambayo inatoa nafasi kwa vichwa kufikiria sawa sawa na kuja na majibu very genuine na sio makando makando yenye influence ya vyama vya kisiasa. Tukifanya mijadala kama hii yenye kulenga ukweli na masilahi ya jamii yetu ya kitanzania ya moja kwa moja, tayari tutakuwa tumeanza kupiga hatua kuelekea katiba mpya.

Na hata hawa wanyimi wetu watakosa kisingizio cha kutumia vibaya sheria kandamizi na mamlaka zao vibaya kwenye kuleta upinzani au vikwazo kwenye dhamira yetu ya kutafuta mabadiliko ya kutoka hapa tulipo na kuingia maisha mapya kwa faida yetu, watoto wetu, wajukuu, vitukuu, vining'ina, vilembwe na vidudu vingine vitakavyotokana na uzao wetu.

Taifa letu lilipata uhuru kwa peni so its obvious harakati zozote za kiukombozi zitafanywa kwa peni na hekima. Hakuna haja ya kugombana wala kupigana ngumi.

Askari ni wetu, jeshi ni letu. Hawa wanaoleta jeuri wapo hapo kwa ruhusa yetu kupitia maandishi yanayoitwa katiba. Tukiandika upya yale maandishi then tutaona nani atatuletea jeuri na tumebadilisha utaratibu wa kuongoza.

Kwa hiyo mleta mada nikupongeze tena kwa kuleta mada fikirishi kwa utulivu na lugha safi isiyo na ukakasi wa masuala ya vyama vya siasa na imekwenda straight kwenye vyanzo vya matatizo ya kijamii. Kwa hilo nakupa heko sana .

Kama ilivyo ada, nyuzi kama hii hupata wachangiaji wachache na wachunguliaji wengi ila isikuvunje moyo kuandika tena na tena mawazo fikirishi kama haya kwasababu changamoto tuliyonayo kwasasa ni kuwa na ombwe la Brains active zenye uwezo wa kupambanua hoja fikirishi. Hii imetokana jamii kulea vijana wasiojihusisha na maswala ya kitaifa ila ni starehe, ufuska, magendo ngono ndivyo vimekuwa ni programs kwa vijana katika makuzi yao.

Hapa ungeandika Diamond Platinum anunua tv mpya na kuiweka sebuni kwake then ungeona sasa hivi huu uzi ukipata comment ya 8000 wajumbe wakichangia kwa shauku. Ila mada kama hizi ambazo ni fikirishi huwa hazisisimui vichwa vya hawa viumbe wa sasa.

But still haimaanishi wenye uwezo wa kupambanua hawapo. Wapo ila wamekuwa kimya sababu wameona hawana wenzao humu ndani. Ila kama tukiwa tunapost mada mtambuka kama hizi hapa JF na platforms nyingine huko kama Clubhouse, tutatengeneza uhai wa watu kujadiili mambo ya misingi na kuachana na undezi.

Asante.
 
Ukiangalia ama muda mwingi vijana ama watu wazima ni kupiga picha na kuposti social network ili ku attract attention to his tribe
 
Shukran mkuu kwa uchambuzi wako.

Jana ktk pitapita zangu ktk social media nilkkuta mada inayosema ZIKO WAPI PESA ZA MADINI.

Mada hii ilikuwa inatukumbusha jinsi madalali wetu wa mikataba ya madini walivyowaaminisha watu kuwa huko mbeleni ugumu wa maisha utapungua kwa kuwa pato la taifa litaongezeka kuwa kutegemea zaidi maliasili zikizopo kama madini na si kwa kuwakamua wananchi walio la chini ya mstari wa ufukara.

Kwani matarajio yale kwass ni kama tulikiwa ktk ndoto za alfajiri. Kwani hali iko tofauti kabisa, wanasiasa wanawaangalia zaidi pato kutoka kwa wananchi mafukara huku wawekezaji akiendelea kupata nafuu ya 100%

Ni muda muafa sasa kujadili kwa kina hatma yetu. Ili ikibidi kigeuzwe kisahani.

Achilia mrahaba ambao ni vita kubwa ambayo hata JPM aliipigania na akafeli. Kuna suala la kodi ambapo wekezaji wamepewa msamaha wa 100%.

Mwekezaji ktk madini ananunua diesel chini ya sh 1200/- kepee kwa lita .

Mwekezaji wa ndani wa madini analipa bei ya kawaida ambayo ni zaidi ya sh 2200/- kwa Lita.

Wawekezaji wa nje wamepewa msamaha huu ili waweze kupunguza gharama za uzajishaji na kuweza kupata faida.

Kwani ili serikali iweze kupata kodi kwa pato hutegemea kwanza wawekezaji wa nje wapate faida. Cha ajabu wawekezaji hawa tokea wameanza uchimbaji miaka za 20 iliyopita vitabu vyao vya mahesabu vinaonyesha kupata hasara mwaka hadi mwaka.

Lkn ukijiuliza kama wanapata hasara kwann hawafungi migoni wakaenda kwengine ambapo watapata faida?!?!?

Kwa uoni kwangu naounga na wale wanaosema kuna hajaya kuwaondolea baadhi ya misamaha na misamaha hiyo wapewe walipa kodi wa ndani. Kodi ktk diesel kwa mfano na ingepunguzwa walau nusu tu kodi zilizopo sasa na kuipeleka kwa wawekezaji wa madini.

Hili ni wazo moja tu kati ya mengi ambayo watz tayari kumeshayasahau. Na tunapaswa kutumia mitandao yetu ya kijamii kuyajadili haya badala ya kutumia muda mwingi kujadili Yale ambapo wanasiasa pekee ndio watanufaika nayo.

Else turidhike kwa kusema Our education system fail us.
 
Nkitazama majirani Kenya, Uganda, Rwanda walimu wanaheshimika Sana, nikada inayopewa kipaumbele maana taifa lenye walimu wenye stress kamwe haliendelei.
watoto wanatakiwa kuendelezwa jumla (kifikra, kiutendaji, kiubunifu, kimaono,kidini nk.) sio kumezeshwa wajibuje mtihani ili waufaulu jambo linalofanywa kilashule leohii hapa kwetu nakusifiwa mmmno!!
Tizama haya madhila ya walimu Tz tofauti na nchi nilizotaja hapo juu:
* Mwalimu Tz analipwa mshahara mdogo kuliko nchi nilizotaja hapo
  • Mwalimu huyu hapewi semina wala warsha kunolewa kisa atapata posho.kumbuka teknolojia inabadilika na uvumbuzi ni kilaleo
  • Mwalimu anakatwa mkopo wa bodi ya mikopo miaka isopungua nane. Pamoja na makato mengine mangi.
  • Mwalimu anapaswa kujitegemea pakuishi huku wengi uwezo wa kodi ni vyumba viwili.
  • Walimu huishia kukaa njaa au kula mihogo siku nzima kazini,hakuna mpango wanakulaje
  • Walimu Tz wanaweza kudai mapunjo hata miaka 7 asilipwe na unakuta ni lakitano tuu.
  • Walimu Tz unaweza Kukaa miaka sita hujapanda daraja wala mshahara kuongezeka.
  • Walimu hufanyishwa kazi za ziada bila malipo mf. kusimamia ujenzi weekend nk. Au overtime isolipwa
    • Mwalimu tz hanaposho
    • Mwalimu hasa kijijini ndohusaidia watoto toka familia masikini kununua tuviatu na tuuniform twao tukichakaa sana
    • Mwalimu tz ningumu mishahara kukutana wengi hudaiwa mmno mpaka na vijana wa bodaboda
    • Walimu tz wanaachwa kuingia mikopo mibaya name kandamizi told mabank ya biashara... serikali haiwezi kuwasaidia hata Kuwa na bank yao ya walimu
      madhila yao nimengi lakini hata chama chao CWT hakijielewi na viongozi wamewekwa kuwanyamazisha walimu wanapotaka kuamka.
    ndomana wagunduzi Wengi tz hawajaenda shule... Shule unafundishwa na mwalimu mwenye stress aliye fail Maisha!! Sana atakukremisha ujibuje mtihani na sio general knowledge.
    serikali utahisi imetoka vitani mwakahuu hivyo inajipanga ianzie wapi!! VERY SHAME, VERY WEAK, VERY POOR AND VERY DOMANT!! Utendaji dhaifu utahisi viongozi ni brain disadvantaged leaders kumbe nivile wamepitia elimu ya walimu haooo.... Sass ogopa ukute kiongozi ni wa elimu yakuunga unga!!!
    TUJISAHIHISHE...TUSIKOMOANE!!!
 
Ni wazo jema Sana,taifa lolote haliwezi kuwa imara,Bora na jigambo Kama halina mfumo mzuri wa elimu,leo watoto wa darasani la Saba wanafanya mitihani ya kusiliba na kusahihishwa kwa mashine,ukiuliza kwa Nini wanafunzi wanasiliba ,jibu Ni kuwa usahihishaji Ni gharama kubwa,Yani Kama vile taifa halina mwanga linapokwenda,Elimu haiwezi kuwa sehemu ya majaribio .Kama tumeshindwa kusahihishwa kazi za wanafunzi wetu kwa kuhofia gharama hivi Ni kipi tutaweza? Rasimali za nchi zipo za kutosha lakini tunaandaa watoto wa kusiliba ili wawe wataalam wa kuleta tija kwa jamii.miaka 60 ya uhuru bado tunaogopa gharama za elimu kwa mantiki hiyo hatuwezi kufanikiwa kwa lolote.N
INI kifanyike?
1.tubadili mfumo wa kuwatahini vijana ili kuleta tija katika mitihani yao.
2.kupeleka vitabu vya kutosha katika shule zetu.
3.kuajiri walimu wa kutosha kulingana na uwezo wa shule zetu.
4.shule kukaguliwa Kila wakati.
5.kujengwa kea nyumba za walimu.
6.kuteuwa waziri wa walimu ambaye atashughulikia kero na maslahi ya walimu wake.
7.kuwa na Inservice training kwa walimu.
8.kuboresha maslahi ya walimu.
9.kuongeza idadi ya mitihani o'level na kuwa walau miwili Kila SoMo na mitatu kwa masomo ya sayansi.
Nawasilisha.
 
Simple kabisa kutatua hili,waziri mhusika wa elimu,fika pale HQ ya wizara na fungua lile kabati lenye ripoti ya elimu chini ya aliyekuwa wanasiasa nguli,J.Makwetta(rip) na ifanyiwe kazi now
 
This is Tz bwana
Siasa safi na uongozi bora virejee,kutanguliza maslahi yawana kijani kwa gharama ya kukandamiza wenye mawazo ya kulitakia mema taifa letu kwa uzalendo wao ikome. Tureteeni Katiba mpya. Yaweza kuwa muarobaini.
Siasa safi na uongozi bora haviwezi kuwepo kama kuna ubinafsi
 
Simple kabisa kutatua hili,waziri mhusika wa elimu,fika pale HQ ya wizara na fungua lile kabati lenye ripoti ya elimu chini ya aliyekuwa wanasiasa nguli,J.Makwetta(rip) na ifanyiwe kazi now
Report ya Jackson Makweta (W) Elimu enzi ya mchonga haiwezi kuwa relavant kwa sasa.
Tushaungia kwenye dunia ya uchumi na biashara ambapo technology ni very good tool kutukwamua kwenye ushindani.

Enzi ya Nyerere mpaka enzi ya mzee Ruksa baadhi yetu tulisoma kwa Tanzania pamba inazalishwa Maswa, Chai Mufindi na duniani tulisoma Chai Sri Lanka kwa chai, pamba nayo kuna nchi tulikariri kama top producer

Taarifa za 2019 zanoesha top exports za Sri Lanka ni chai sio chai ghafi, consumable packaged tea (US$811M sawa na TZS 1.878 Tril), vingine ni
nguo za wanawake ikiwa cotton products kutokana na uzalishaji wa pamba za wanawake zenye thamani ya (US$711M sawa na TZS 1.6 tril),
(USD$577M sawa na TZS1.3Tril) mauzo yao (exports) Marekani (US$2.82B),
India (US$974M),
United Kingdom ($850M),
Germany ($839M) na
Italy($474M).

Kumbe ile elimu ya pamba Maswa ilikuwa na haitoshi, ilitakiwa tufikirishwe tunawezaje kuitoa pamba kwenye raw form na kuiuza kama final product na ngapi tunaingiza.

Hii hapa chini ni Dilma tea brand ya Sri Lanka; sisi Watanzania tunauza tea brand ipi ambayo ni utambulisho na kazi ya kilimo na uzalishaji wa tija viwandani; forex kiasi gani zinaingia kwa mauzo ya chai sio raw tea ila basi Chai bora iliyokuwa packaged kwenye tea bags
1629547652873.png

Unfortunate, wataalam wetu wa uchumi, biashara na elimu sijui wanawaza nini kwenye curriculum development ili haya yakifanyika basi kuwa na kuzalisha kazi, kupanua tax base, kuongeza export earnings.
Sri Lanka ina ukubwa wa 65,000 SQKM; ni nchi ndogo kuliko Mkoa wa Morogoro wenye 72,000 SQKM au Tabora ina ukubwa wa 76,150 SQKM ambapo pia wanalima pamba. Suala je twazalisha kiasi gani kwa heka moja na tunaichakata kwa level gani; si ajabu twauza pamba ghafi. Aibu kwetu sote Watanzania.

Nawaza tu.

Weekend njama wanabodi
 
Back
Top Bottom