If ....... WERE...... ingependeza zaidi.Hello bosess!
Ikiwa maisha yako toka uzaliwe hadi leo vitu ulivyo fanikiwa, ulivyo poteza, na malengo yako ukiviandikia kitabu utakipa jina gani??
Mm nitakiita
"Journey Of Mysterious Gentleman"
Into the badland(Tanzania)
yeah mkuuMkuu ushawahi Cheki ile series ya "Into the badland"?
Tumie terminologies za kidaktariNi lazima tittle iwe ya kidhungu??
Mana naona mnajiachia tu sisi wa mloganzola A mmetusahau