If your son doesn't hate this thing, he is probably not a real man

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
" All men hate cold water".

Kama Una mtoto wa kiume na hachukii kuoga maji ya baridi basi kuwa na uhakika kwamba mtoto wako huyo sio mwanaume kamili and probably ana kiwango kikubwa cha hormones za kike au Kwa lugha nyingine ana kiwango kidogo cha hormones za kiume.

It has been scientifically proved that all men from all races fear and or hate to bath in cold water.

Wanaume wote duniani wanachukia ama kuogopa kuoga maji ya baridi toka wakiwa watoto wadogo.

Suala hili ni la kisayansi na limekuwepo toka Enzi za Pontyo wa Pilato.
 
wanachukia kuoga full stop hata kwenye maji baridi hakufiki. so wanachukia kuoga unless its really necessary
 
Sielewi hili suala linamahusiano gani na ujinsia...kimsingi hakuna anayependa kuoga maji baridi ila kupata maji ya moto ya kuoga unahitaji process ila kuoga maji baridi haitaji process ndio maana tunaoga ya baridi.

Ingekuwa kupata maji ya moto ni suala la kuchukua tu kama ya baridi sizani kuna mtu ataoga ya baridi.

NB: ni suala la Accessibility.
 
Mm naishi moshi one of the coldest area in Tanzania ila daily naoga maji ya baridi haijalishi ni asubgi au jioni and I have my family and I am straight man

What do you say about?

Mwenye haki ya kuusemea ‘uanaume’ wako ni mkeo, sio wewe... huenda utajipendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…