Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Tutaskia mengi mpaka lockdown ya corona iisheKumbe hata kuoga ni kipimo cha uanaume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaskia mengi mpaka lockdown ya corona iisheKumbe hata kuoga ni kipimo cha uanaume
Kwa kweliTutaskia mengi mpaka lockdown ya corona iishe
kwa mantiki hii, mateja wanaume wote duniani ni mashababi kweli kweli maana huwa hawapendi kuoga kwa maji baridi." All men hate cold water".
Kama Una mtoto wa kiume na hachukii kuoga maji ya baridi basi kuwa na uhakika kwamba mtoto wako huyo sio mwanaume kamili and probably ana kiwango kikubwa cha hormones za kike au Kwa lugha nyingine ana kiwango kidogo cha hormones za kiume.
It has been scientifically proved that all men from all races fear and or hate to bath in cold water.
Wanaume wote duniani wanachukia ama kuogopa kuoga maji ya baridi toka wakiwa watoto wadogo.
Suala hili ni la kisayansi na limekuwepo toka Enzi za Pontyo wa Pilato.
Utakuwa msagaji.. hormones nyingi za kiume