Ifahamu Al Ahly watakaomenyana naSsimba SC

Wachezaji wenyewe wale mbutembute wahenga wale akina Wawa.Toka lini paschal akacheza soka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du! Mechi ngumu sana inaikabili Simba ila dakika 90 zitaamua
 
Al-ahly watatulia tu panapo majaaliwa. Si umeona wametoa sare na JS saura iliyopigwa 3 na simba.

Kukata tamaa ni mwiko.
Kila la kheri simba mnyama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira haupo hivyo, mbona hao As Vital wamefungwa na Al ahly magoli mawili lakini hao hao As Vital Simba wamekula kiganja? Hao Js Saoura huenda ikawa ni timu nzuri tu ila simba imeweza kupata matokeo mazuri Taifa kutokana na hali ya hewa ya hapa kwetu. Usishangae kuona Simba akapigwa tena mengi wakirudiana nao Algeria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima simba apate bakora nyingine . Algeria kuna baridi inawafeva Saoura sio kama Daressalaam joto kali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…