Ifahamu Al Ahly watakaomenyana naSsimba SC

Mkuu utaua watu kwa pressure
 
Haya sasa kikosi cha Mwarabu ndio hichoooooo!!

Kazi kwenu wale mnaojiita Nguvu moja maana kipigo nakiona kiileeee. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Nawakubali sana mashabiki wao muda wote kushangilia na kuimba wimbo wa timu kama wamechukua ubingwa
 
Kama pesa inacheza real Madrid wasingekuwa na hali ngumu, pia kikosi cha 89 billion je kwenye mashindano ya CAF wanapata kiasi gani kama wakichukua kombe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama pesa inacheza real Madrid wasingekuwa na hali ngumu, pia kikosi cha 89 billion je kwenye mashindano ya CAF wanapata kiasi gani kama wakichukua kombe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mahali duniani zawadi ya kombe itakidhi mahitaji ya uendeshaji wa klabu nzima. Ila unapochukua kombe unajiweka kwenye mazingira mazuri zaidi ya kupata mikataba minono itayoboresha uchumi wa klabu. Usitegemee kurudisha pesa ya usajili kupitia kuchukua kombe. It only works kwa hizi timu ndogo maybe Simba au Yanga maana wao bajeti yao sio ya kutisha sasa inapotokea wakabeba hilo kombe kwao ni kama wameagana na umaskini.
 
Lakini mbona wanatumia pesa nyingi sana inawalipa kweli?

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…