Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,636
- 6,178
ila nina wasiwasi kama chemist shop/duka za dawa zote nchini zinamilikiwa na wamiliki wenye hicho cheti.
Ni kweli mkuu,watu baki ndio owners wa maduka makubwa makubwa ya madawa,though wanalipa pesa nyingi kwa wafamasia wanaowadhamini kwa vyeti vyao
Ni biashara ya pili halali inayolipa sana baada ya biashara ya silaha