Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

Jvei

Member
Joined
Jul 13, 2025
Posts
42
Reaction score
69
Habari, Leo tujifunze kitu hapa. Sehemu ya majibizano ya kujenga uelewa wa biashara ya spea za pikipiki kwa aliyetutafuta kwaajili ya consultation!
 
Kuhusu uhakika wa biashara, mambo ya msingi ya kuzingatia na umuhimu wa fundi!
 

Attachments

  • Screenshot_20251214-114358_WhatsApp.jpg
    497.4 KB · Views: 41
Bado. Mada ni pana sana haiwezi kuisha haraka hivyo. Karibu uendelee kutufwatilia
Kwanini unarudia rudia thread? Weka thread moja halafu unatia madini kuhusu hii biashara kidogo kidogo kuliko kujaza threads namna halafua hamna kitu
 
Kwanini unarudia rudia thread? Weka thread moja halafu unatia madini kuhusu hii biashara kidogo kidogo kuliko kujaza threads namna halafua hamna kitu
Ushauri mzuri, nitaendelea kuufikiria nakuona kama naweza kuufanyia kazi. Karibu uendelee kujisomea!
 
Naweka kambi hapa leta madini hayo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…