Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya Kwanza)

Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya Kwanza)

Boss. Hii biashara ninaitamani. Location yangu ni nzuri ila changamoto ni kwamba hakuna eneo langu kwa mbele hakuna space ya kutosha kuweka mafundi. Nasema hivi kwa sababu maduka mengi ya spare za pikipiki zinakuwa na mafundi. Ushauri tafadhali
Zingatia soko la hapo ulipo halijachfuka Bado? Pia hakikisha fremu ni Kali kweli kweli Yani location sio uzuri wa chumba
Nb kama location y kawida no fundi no mauzo
Nb pia jipange changamoto za mafund
 
Back
Top Bottom