+255787942757 karibuKama unayo namba ya whatsapp boss
Karibu. Fwatilia kwenye timeline yangu tumeshafika sehemu ya 4Mkuu nimependa hili somo,asante kwa mda wako nasubili sehem ya pili.
Nyuzi kama hizi ambazo hazina mambo ya kukojozana huwa na wachangiaji wachache sana
Ila jipange hakikisha fremu inahadh ya kilemba Yani top tierNina plan ya kufanya hii biashara soon, najipanga.
Zingatia soko la hapo ulipo halijachfuka Bado? Pia hakikisha fremu ni Kali kweli kweli Yani location sio uzuri wa chumbaBoss. Hii biashara ninaitamani. Location yangu ni nzuri ila changamoto ni kwamba hakuna eneo langu kwa mbele hakuna space ya kutosha kuweka mafundi. Nasema hivi kwa sababu maduka mengi ya spare za pikipiki zinakuwa na mafundi. Ushauri tafadhali