KUNA FAIDA GANI YA KUWEKEZA MTAJI MKUBWA KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI?
⚙Watu wengi wamekua wakijiuliza swali hili, kwanini nisiwekeza kiasi kidogo kama inawezekana kijiendeshe hakafu kiasi kingine nifanye mambo mengine?
👉Si vibaya kuwekeza/kufanya biashara ya spea kwa mtaji mdogo (milioni 10 kushuka chini).
Hata hivyo kama una uwezo wa kuwekeza fedha nyingi inashauriwa ufanye hivyo. Hapa mtaji Mkubwa nitaongelea kwanzia 30m+.
FAIDA ZAKE:
🎯Kuwekeza mtaji mkubwa Kuna kupa nguvu kubwa ya manunuzi.
🤔Hii ina maana gani?
Mtaji mkubwa utakuwezesha kupata bidhaa nyingi kwa wingi, kwenye biashara ya spea mfumo wa manunuzi una ngazi, yaani:
A. Kununua bidhaa kwa idadi
B. Kununua bidhaa kwa Carton
C. Kununua Carton nyingi kwa kila bidhaa.
Kwenye Ngazi zote hizi bei hutofautiana, unavyokua na uwezo wa kununua bidhaa kwa Carton, bei hushuka kwa dhamani ya kila bidhaa.
Hata hivyo bei hushuka zaidi pale ambapo utanunua bidhaa moja karton nyingi (mfano. Carton 5 au 10 bei huwa pungufu zaidi kuliko yule aliyenunua carton 1).
Bila kujali biashara yako ni ya jumla au rejareja, hii itakupa bidhaa kwa bei ya ushindani zaidi na suala la kushindanisha bei mtaani haitakuwa issue yako...
Na utakuwa na uwezo wa kuuza Jumla na au Rejareja.
Itaendelea...
Unachohitaji ni kuwa karibu nasi, Utapata Elimu, Tunakuunganisha na Suppliers wa B2B, Tunakushauri n.k. fuatilia makala zetu ni bure,
Au wailiana nasi kwa private sessions, whatsapp +255787942757