SPEA MUHIMU ZA KUANZA NAZO KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI REJAREJA.
Mjadala wa leo utajikita zaidi kwenye Spea za umuhimu zaidi kuanza nazo kwenye duka lako jipya kama mfanyabiashara mpya wa spea za pikipiki.
⚙kwanza nimuhimu kufahamu aina ya pikipiki unazohitaji kuuza spea zake kama wateja wako wa awali. Hata hivyo kutokana na uwepo wa pikipiki aina nyingi unahitaji kutambua pikipiki zipi ndio nyingi zaidi kwenye eneo lako.
Piki piki hizo ni kama vile, Boxer (BM), TVs, pikipiki za kichina (GN), Houjue, Yamaha, Honda etc.
⚙Spea 111 Muhimu za kuanza nazo kwenye Duka lako, (Spea hizi ni za BM, Tvs, Na GN):
1. Spocket complete
2. Spocket single
3. Spocket za mbele
4. Spoket za nyuma
5. Chain Single
6. Masikio ya Adjust Chain
7. Panel shaft
8. Stick ya break
9. Selector za break
10. Msumari wa nyuma
11. Msumari wa Mbele
12. Half Axle
13. Break Arm (jembe la break)
14. Bearings (zipo kama aina 8/10)
15. Chain box
16. Clutch cable
17. Throttle Cable
18. Break Cable
19. Speedmeter cable
20. Speedmeter gear
21. Foot rest rubber
22. Foot rest za dereva
23. Footrest za abiria
24. Gear leaver
25. Kick starter
26. Spocket shaft
27. Gear leaver shaft
28. Cam Shaft
29. Oil pump
30. Tensioner rubber
31. Timing chain
32. Valve engine
33. Valve sill
34. Piston kit
35. Ring piston
36. Adjust timing chain
37. Tapet za juu
38. Tapet za chini
39. Adjust za tapet
40. Valve guide
41. Spark Plag
42. Plate clutch
43. Housing clutch
44. Clutch center
45. Magneto Coil
46. Ignition coil
47. Ignition switch
48. Mfuniko wa tank
49. Handle switch
50. Mirror holder
51. Break handles
52. Clutch handle
53. Shock absorber
54. Lock Chain
55. Lock za spocket
56. Bulb za mwang mkali
56. Bulb za mwanga wa kawaida
57. Bulb za indicator
58. Bulb za taa ya nyuma
59. Holder za taa ya mbele.
60. Holder za taa ya mbele
61. Holder za indicator
62. Switch ya break
63. Show case
64. Head case
65. Chain box
66. Ball race (vikombe)
67. Spocket sitting
68. Betry
69. Wiring
70. Cock oil
71. Cock fuel
73. Flasher
74. Relay
75. Starter motor
76. Head lamp
78. Tail lamp
79. Indicator
80. Boot rubber
81. Throttle
82. Kifua cha chini
83. Kifua cha juu
84. Fuse
85. Engine Oil (zipo kama aina 5-15)
86. Mafuta ya break
87. Spray paint
88. Side mirror
89. Speed meter clock (dashboard)
90. Rim (zipo size na rangi mbalimbali)
91. Tires (size mbalimbali)
92. Tube (size mbalimbali)
93. Crank shaft
94. Oko
95. Horns
96. Gasket
97. Gasket maker
98. Alaldite
99. Cylinder block
100. Filter
101. Overall gasket
102. Bendex roller
103. Bendex
104. Brush starter
105. C.D. I
106. Main Ford
107. Cabulator
108. Sapressa
109. Fuel pipe
110. Side covers
111. Chain box
Nb: Spea zote lazima ujue kampuni pendwa zinazouzika sana mtaani, ambazo quality yake ni nzuri lakini pia bei yake ni affordable.
Pia, spea hizi zimeandikwa kwa ujumla. Kila spea moja hutofautiana pikipiki, na model ya pikipiki.
Mjadala wa leo utajikita zaidi kwenye Spea za umuhimu zaidi kuanza nazo kwenye duka lako jipya kama mfanyabiashara mpya wa spea za pikipiki.
⚙kwanza nimuhimu kufahamu aina ya pikipiki unazohitaji kuuza spea zake kama wateja wako wa awali. Hata hivyo kutokana na uwepo wa pikipiki aina nyingi unahitaji kutambua pikipiki zipi ndio nyingi zaidi kwenye eneo lako.
Piki piki hizo ni kama vile, Boxer (BM), TVs, pikipiki za kichina (GN), Houjue, Yamaha, Honda etc.
⚙Spea 111 Muhimu za kuanza nazo kwenye Duka lako, (Spea hizi ni za BM, Tvs, Na GN):
1. Spocket complete
2. Spocket single
3. Spocket za mbele
4. Spoket za nyuma
5. Chain Single
6. Masikio ya Adjust Chain
7. Panel shaft
8. Stick ya break
9. Selector za break
10. Msumari wa nyuma
11. Msumari wa Mbele
12. Half Axle
13. Break Arm (jembe la break)
14. Bearings (zipo kama aina 8/10)
15. Chain box
16. Clutch cable
17. Throttle Cable
18. Break Cable
19. Speedmeter cable
20. Speedmeter gear
21. Foot rest rubber
22. Foot rest za dereva
23. Footrest za abiria
24. Gear leaver
25. Kick starter
26. Spocket shaft
27. Gear leaver shaft
28. Cam Shaft
29. Oil pump
30. Tensioner rubber
31. Timing chain
32. Valve engine
33. Valve sill
34. Piston kit
35. Ring piston
36. Adjust timing chain
37. Tapet za juu
38. Tapet za chini
39. Adjust za tapet
40. Valve guide
41. Spark Plag
42. Plate clutch
43. Housing clutch
44. Clutch center
45. Magneto Coil
46. Ignition coil
47. Ignition switch
48. Mfuniko wa tank
49. Handle switch
50. Mirror holder
51. Break handles
52. Clutch handle
53. Shock absorber
54. Lock Chain
55. Lock za spocket
56. Bulb za mwang mkali
56. Bulb za mwanga wa kawaida
57. Bulb za indicator
58. Bulb za taa ya nyuma
59. Holder za taa ya mbele.
60. Holder za taa ya mbele
61. Holder za indicator
62. Switch ya break
63. Show case
64. Head case
65. Chain box
66. Ball race (vikombe)
67. Spocket sitting
68. Betry
69. Wiring
70. Cock oil
71. Cock fuel
73. Flasher
74. Relay
75. Starter motor
76. Head lamp
78. Tail lamp
79. Indicator
80. Boot rubber
81. Throttle
82. Kifua cha chini
83. Kifua cha juu
84. Fuse
85. Engine Oil (zipo kama aina 5-15)
86. Mafuta ya break
87. Spray paint
88. Side mirror
89. Speed meter clock (dashboard)
90. Rim (zipo size na rangi mbalimbali)
91. Tires (size mbalimbali)
92. Tube (size mbalimbali)
93. Crank shaft
94. Oko
95. Horns
96. Gasket
97. Gasket maker
98. Alaldite
99. Cylinder block
100. Filter
101. Overall gasket
102. Bendex roller
103. Bendex
104. Brush starter
105. C.D. I
106. Main Ford
107. Cabulator
108. Sapressa
109. Fuel pipe
110. Side covers
111. Chain box
Nb: Spea zote lazima ujue kampuni pendwa zinazouzika sana mtaani, ambazo quality yake ni nzuri lakini pia bei yake ni affordable.
Pia, spea hizi zimeandikwa kwa ujumla. Kila spea moja hutofautiana pikipiki, na model ya pikipiki.