Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,321
Ni Kwa muda sasa nimekuwa nikiifuatilia hii biashara ambayo si maarufu hapa nchini kwetu Tanzania .Biashara hii imejikita katika ukusanyaji na uuzaji wa kazi mbalimbali za zanaa za ubunifu mfano : sanaa za uchongaji ,Uhunzi , Uchoraji (paints works ) n.k
Katika nchi za wenzetu biashara hii ni kubwa sana na inawaingizia wafanyabiashara na wasanii wa kazi hizi mabilioni ya pesa kwa mkupuo. Wafanyabiashara kama Steven A Cohen ,Steve Wynn na François Pinault hawa ni wafanyabiashara ( fine art works collectors ) ambao wamekuwa mabillionaire kupitia hii biashara kwa kupitia makampuni kama Kensington fine art services Co n.k
Kwa hapa Tanzania ninayafahamu makampuni machache sana yanayojihususha na kazi hizi ( Fine art works galleries ) au kumbi za maonyesho ya hizi sanaa kama Dr Bulugu Gallery Company - hawa /hili Kampuni linafanya shughuli zake Zanzibar. Kwa hapa Tanzania bara sina uhakika kama kuna hii ( Fine Art works gallery ) Company yoyote
Naamini Tanzania kuna vipaji vikubwa sana vya art (sanaa ya uchongaji na Uchoraji ) vitu kama vinyago na picha lakini inasikitisha sana kuona watu kama hawa wanaishi maisha ya ajabu (umasikini wa kutupwa)
Serikali yaTanzania kupitia wizara ya sanaa na utamaduni sijui hadi leo wamefanya kazi gani ya kusupport kwa nguvu zote vitu hivi .Tuna vivutio vingi vya utalii lakini hâta hiki kinaweza kugeuzwa kuwa kuvutio kukubwa cha utalii unaoingiza mabilioni ya pesa katika nchi yetu
Kuna private art works galleries answer fine art museums Europe na Marekani ambapo watu wanasafiri kutoka kila pande ya Dunia kila mwaka kuja kutalii n'a kununua vitu hivi n'a sasa hivi biashara hii inafanyika pia kwenye mitandao ya Internet kupitia makampuni kama Amazon n.k
Pia naamini ni wakati muafaka sasa wizara iliyokabidhiwa kushughulia mambo kama haya ya sanaa kuwa very active katika hili wahusika wasiishie kukaa tu maofisini bási wanapaswa kuanzisha platform mahususi au kitengo maalumu cha kuwapromote hawa wasanii na kuwasaidia kufanikisha kuuza na kufaidika na kazi zao.
Pia watanzania tubadilike tununue kazi za sanaa kama hizi picha za uchoraji na vinyago ambayo ni mapambo mazuri ya ofsini na majumbani .Kwanza ni vitu ambavyo vinaonesha utamatuni wetu wa kiafrica na pia tunainua sanaa hii .Inashangaza unakuta mtu kapamba mapicha ya ajabu ajabu ya akina Beyonce na Nikki Minaj kwenye vichupi ndani ya kuta za nyumba yake huu ni upuuz tujifunze kupenda kazi za wasanii wetu.
Pia Serikali ihamasishe wawekezaji wa kizalendo ambao wanaweza kinvest na kuanzisha makampuni katika hizi fine art works galleries nchi za wenzetu mtu kutembelea art works galleries ni mtoko kama mtu unavyoweza kwenda night club & stuffs like those ku refresh mind .
Marehemu babu yangu mungu amlaze mahali pema peponi alinifunza kuthamini kazi za sanaa za nchini mwetu humu na alinunua vinyago vingi , mapambo ya kiasili kama vyungu vya kuwekea maua nyumbani n'a picha za ukutani za kiutamaduni hata nguo za kiasili kama vile vitenge nakumbuka âlikuwa ananinzingua sana nikitaka kwenda kuvisit mahali na yeye nikiwa nimevaa vitshirt always alininunulia mashati ya vitenge na Vikoi mpaka basi .
Pia ni muda mwafaka kwa wasanii wa kazi hizi kijiunga vikundi kutoka n'a kupambana n'a kupaza sauti zenu kupitia media na Serikalini ili kupata misaada ya kupromote soko lenu na kufaamika zaidi kimataifa.
Hivi unaweza kuamini vitu kama hivi nchi za ulaya na Marekani vinauzwa pesa nyingi tu and beleive me there are a lot of customers outside of our country who are in need of these cultural antiquities and fine arts artifacts ,but the only hindrance is how to promote and advertise these works for those people to reckon about
.