Ifahamu biashara ya ukusanyaji na uuzaji wa kazi za sanaa ( fine art works collection)

Ifahamu biashara ya ukusanyaji na uuzaji wa kazi za sanaa ( fine art works collection)

Prince Dos Santos

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2016
Posts
1,047
Reaction score
1,321
Ni Kwa muda sasa nimekuwa nikiifuatilia hii biashara ambayo si maarufu hapa nchini kwetu Tanzania .Biashara hii imejikita katika ukusanyaji na uuzaji wa kazi mbalimbali za zanaa za ubunifu mfano : sanaa za uchongaji ,Uhunzi , Uchoraji (paints works ) n.k

Katika nchi za wenzetu biashara hii ni kubwa sana na inawaingizia wafanyabiashara na wasanii wa kazi hizi mabilioni ya pesa kwa mkupuo. Wafanyabiashara kama Steven A Cohen ,Steve Wynn na François Pinault hawa ni wafanyabiashara ( fine art works collectors ) ambao wamekuwa mabillionaire kupitia hii biashara kwa kupitia makampuni kama Kensington fine art services Co n.k

Kwa hapa Tanzania ninayafahamu makampuni machache sana yanayojihususha na kazi hizi ( Fine art works galleries ) au kumbi za maonyesho ya hizi sanaa kama Dr Bulugu Gallery Company - hawa /hili Kampuni linafanya shughuli zake Zanzibar. Kwa hapa Tanzania bara sina uhakika kama kuna hii ( Fine Art works gallery ) Company yoyote

Naamini Tanzania kuna vipaji vikubwa sana vya art (sanaa ya uchongaji na Uchoraji ) vitu kama vinyago na picha lakini inasikitisha sana kuona watu kama hawa wanaishi maisha ya ajabu (umasikini wa kutupwa)

Serikali yaTanzania kupitia wizara ya sanaa na utamaduni sijui hadi leo wamefanya kazi gani ya kusupport kwa nguvu zote vitu hivi .Tuna vivutio vingi vya utalii lakini hâta hiki kinaweza kugeuzwa kuwa kuvutio kukubwa cha utalii unaoingiza mabilioni ya pesa katika nchi yetu

Kuna private art works galleries answer fine art museums Europe na Marekani ambapo watu wanasafiri kutoka kila pande ya Dunia kila mwaka kuja kutalii n'a kununua vitu hivi n'a sasa hivi biashara hii inafanyika pia kwenye mitandao ya Internet kupitia makampuni kama Amazon n.k

Pia naamini ni wakati muafaka sasa wizara iliyokabidhiwa kushughulia mambo kama haya ya sanaa kuwa very active katika hili wahusika wasiishie kukaa tu maofisini bási wanapaswa kuanzisha platform mahususi au kitengo maalumu cha kuwapromote hawa wasanii na kuwasaidia kufanikisha kuuza na kufaidika na kazi zao.

Pia watanzania tubadilike tununue kazi za sanaa kama hizi picha za uchoraji na vinyago ambayo ni mapambo mazuri ya ofsini na majumbani .Kwanza ni vitu ambavyo vinaonesha utamatuni wetu wa kiafrica na pia tunainua sanaa hii .Inashangaza unakuta mtu kapamba mapicha ya ajabu ajabu ya akina Beyonce na Nikki Minaj kwenye vichupi ndani ya kuta za nyumba yake huu ni upuuz tujifunze kupenda kazi za wasanii wetu.

Pia Serikali ihamasishe wawekezaji wa kizalendo ambao wanaweza kinvest na kuanzisha makampuni katika hizi fine art works galleries nchi za wenzetu mtu kutembelea art works galleries ni mtoko kama mtu unavyoweza kwenda night club & stuffs like those ku refresh mind .

Marehemu babu yangu mungu amlaze mahali pema peponi alinifunza kuthamini kazi za sanaa za nchini mwetu humu na alinunua vinyago vingi , mapambo ya kiasili kama vyungu vya kuwekea maua nyumbani n'a picha za ukutani za kiutamaduni hata nguo za kiasili kama vile vitenge nakumbuka âlikuwa ananinzingua sana nikitaka kwenda kuvisit mahali na yeye nikiwa nimevaa vitshirt always alininunulia mashati ya vitenge na Vikoi mpaka basi .

Pia ni muda mwafaka kwa wasanii wa kazi hizi kijiunga vikundi kutoka n'a kupambana n'a kupaza sauti zenu kupitia media na Serikalini ili kupata misaada ya kupromote soko lenu na kufaamika zaidi kimataifa.

Hivi unaweza kuamini vitu kama hivi nchi za ulaya na Marekani vinauzwa pesa nyingi tu and beleive me there are a lot of customers outside of our country who are in need of these cultural antiquities and fine arts artifacts ,but the only hindrance is how to promote and advertise these works for those people to reckon about

.
1509206727751.jpg
1509206812292.jpg
1509206842277.jpg

9eda68df61e590867ef2416ef3949858.jpg
 
Umeandika kitu kizuri na kwa kweli umeandika mashiko haswa. Cha kuniumiza moyo ni ile hali ya soko la vinyago pale mwenge.

Nilienda na wageni juzi ilipopiga ile mvua lile eneo lote lilifunikwa maji tukalazimika kukaa ndani ya mabanda hadi maji yalipopungua.
Wenye showrooms na magereji wanatengewa maeneo ila hawa wa soko la vinyago na mapambo yote ya asili sijasikia kuna eneo limewekwa kwa ajili yao.

Wajengewe hata hall refu kabisa wagawane vizimba mule kuliko kujenga vibanda kila mtu kapiga bati lake mwingine turubai mwingine kafunika viroba jamani watazamwe hawa watu kuna wachoraji na wachongaji wazuri sana ila walivyotupwa kwa style ile ile ya kunufaisha wachache.

Watu wa sanaa hii amkeni jamani mjitambue basi na nyie
 
Ni Kwa muda sasa nimekuwa nikiifuatilia hii biashara ambayo si maarufu hapa nchini kwetu Tanzania .

BIASHARA hii imejikita katika ukusanyaji na uuzaji wa kazi mbalimbali za zanaa za ubunifu mfano : sanaa za uchongaji ,Uhunzi , Uchoraji (paints works ) n.k

Katika nchi za wenzetu biashara hii ni kubwa sana na inawaingizia wafanyabiashara na wasanii wa kazi hizi mabilioni ya pesa Kwa mkupuo .wafanyabiashara kama Steven A Cohen ,Steve Wynn na
François Pinault hawa ni wafanyabiashara ( fine art works collectors ) ambao wamekuwa mabillionaire kupitia hii biashara kwa kupitia makampuni kama Kensington fine art services Co n.k

Kwa hapa Tanzania ninayafahamu makampuni machache sana yanayojihususha na kazi hizi ( Fine art works galleries ) au kumbi za maonyesho ya hizi sanaa kama Dr Bulugu Gallery Company - hawa /hili Kampuni linafanya shughuli zake Zanzibar
Kwa hapa Tanzania bara sina uhakika kama kuna hii ( Fine Art works gallery ) Company yoyote

Naamini Tanzania kuna vipaji vikubwa sana vya art (sanaa ya uchongaji na Uchoraji ) vitu kama vinyago na picha lakini inasikitisha sana kuona watu kama hawa wanaishi maisha ya ajabu (umasikini wa kutupwa)

Serikali yaTanzania kupitia wizara ya sanaa na utamaduni sijui hadi leo wamefanya kazi gani ya kusupport kwa nguvu zote vitu hivi .Tuna vivutio vingi vya utalii lakini hâta hiki kinaweza kugeuzwa kuwa kuvutio kukubwa cha utalii unaoingiza mabilioni ya pesa katika nchi yetu

Kuna private art works galleries answer fine art museums Europe na Marekani ambapo watu wanasafiri kutoka kila pande ya Dunia kila mwaka kuja kutalii n'a kununua vitu hivi n'a sasa hivi biashara hii inafanyika pia kwenye mitandao ya Internet kupitia makampuni kama Amazon n.k

Pia naamini ni wakati muafaka sasa wizara iliyokabidhiwa kushughulia mambo kama haya ya sanaa kuwa very active katika hili wahusika wasiishie kukaa tu maofisini bási wanapaswa kuanzisha platform mahususi au kitengo maalumu cha kuwapromote hawa wasanii na kuwasaidia kufanikisha kuuza na kufaidika na kazi zao.

Pia watanzania tubadilike tununue kazi za sanaa kama hizi picha za uchoraji na vinyago ambayo ni mapambo mazuri ya ofsini na majumbani .Kwanza ni vitu ambavyo vinaonesha utamatuni wetu wa kiafrica na pia tunainua sanaa hii .Inashangaza unakuta mtu kapamba mapicha ya ajabu ajabu ya akina Beyonce na Nikki Minaj kwenye vichupi ndani ya kuta za nyumba yake huu ni upuuz tujifunze kupenda kazi za wasanii wetu.

Pia Serikali ihamasishe wawekezaji wa kizalendo ambao wanaweza kinvest na kuanzisha makampuni katika hizi fine art works galleries nchi za wenzetu mtu kutembelea art works galleries ni mtoko kama mtu unavyoweza kwenda night club & stuffs like those ku refresh mind .

Marehemu babu yangu mungu amlaze mahali pema peponi alinifunza kuthamini kazi za sanaa za nchini mwetu humu na alinunua vinyago vingi , mapambo ya kiasili kama vyungu vya kuwekea maua nyumbani n'a picha za ukutani za kiutamaduni hata nguo za kiasili kama vile vitenge nakumbuka âlikuwa ananinzingua sana nikitaka kwenda kuvisit mahali na yeye nikiwa nimevaa vitshirt always alininunulia mashati ya vitenge
na Vikoi mpaka basi .

Pia ni muda mwafaka kwa wasanii wa kazi hizi kijiunga vikundi kutoka n'a kupambana n'a kupaza sauti zenu kupitia media na Serikalini ili kupata misaada ya kupromote soko lenu na kufaamika zaidi kimataifa.

Hivi unaweza kuamini vitu kama hivi nchi za ulaya na Marekani vinauzwa pesa nyingi tu and beleive me there are a lot of customers outside of our country who are in need of these cultural antiquities and fine arts artifacts ,but the only hindrance is how to promote and advertise these works for those people to reckon about

.View attachment 619288View attachment 619289View attachment 619290

9eda68df61e590867ef2416ef3949858.jpg
Let's take a closer look on some of the ridiculously and mind blowing fine art paintings that have ever sold in the Earth.
1509207996393.jpg
1509208045846.jpg
 
Umeandika kitu kizuri na kwa kweli umeandika mashiko haswa. Cha kuniumiza moyo ni ile hali ya soko la vinyago pale mwenge.

Nilienda na wageni juzi ilipopiga ile mvua lile eneo lote lilifunikwa maji tukalazimika kukaa ndani ya mabanda hadi maji yalipopungua.
Wenye showrooms na magereji wanatengewa maeneo ila hawa wa soko la vinyago na mapambo yote ya asili sijasikia kuna eneo limewekwa kwa ajili yao.

Wajengewe hata hall refu kabisa wagawane vizimba mule kuliko kujenga vibanda kila mtu kapiga bati lake mwingine turubai mwingine kafunika viroba jamani watazamwe hawa watu kuna wachoraji na wachongaji wazuri sana ila walivyotupwa kwa style ile ile ya kunufaisha wachache.

Watu wa sanaa hii amkeni jamani mjitambue basi na nyie
Yah upo sawa kabisa mkuu huwa ninaumia sana kuona watu walio na vipaji kama hivi hawafaidiki na kazi zao wala hakuna anayeonesha kuwajali .

Serikali inabidi ioneshe kwa vitendo kama iko committed ku solve tatizo la ajira kwa nchi yetu hii .naamini tunaweza kupata mamillionaire wazawa kupitia biashara hii na kuajiri maelfu ya watu
 
hizi ndio mada zinazotakiwa hapa jamii forum, sio mambo ya D9
Yah ! sijajua kwa nini vijana wa kitanzania wengi wanapenda shortcuts kwenye maisha n'a kujadili vitu vya kipumbavu kwenye mitandao .

Yani ukijakufuatilia idadi ya watu ambao wanafuatilia hili jukwaa la biashara unaweza ukatoa machozi

Kwa wenzetu huwa wanaconqure potentally rucrative business opportunities kama hizi lakini bongo dah!
 
Juzi nimesoma somewhere TAFCA na Data Vision International wamesaini MoU kuanza activities kama hizo na mgeni rasmi alikua naibu waziri Juliana Shonza. So let wait and see how far will they go
 
Back
Top Bottom