Ifahamu dola ya Maya iliyooneshwa kwenye filamu ya Mel Gibson "Apocalypto"

Ifahamu dola ya Maya iliyooneshwa kwenye filamu ya Mel Gibson "Apocalypto"

Swali la msingi..
Kama mya ilikua Mexico..Mazingira ya muvi ya Apocalypto yanaonyesha Jaguar paw alikua anaishi kwenye misitu iliyopo Amazon. Amazon ipo America Kusini. Je alikimbia kutoka México mpaka brazil au argentina au nchi yoyote ile amabayo kuna msitu wa amazon?

I need Clarification
apocalypto imekuwa filmed kwenye vijiji vya mexico, vingi vilitengenezwa misituni. hawakuwahi kwenda amazon kushoot hata clip moja
 
Back
Top Bottom