๐—œ๐—ณ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—๐˜‚๐—ฎ ๐—ก๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—จ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Reflect sun_20261031_145028_0000.png

Hivi utajisikiaje ukawa unanunua ๐Ÿ˜ƒ Mwanga wa Jua usiku ili kuweza kupata Mwangaza ?? We Fikiria tu ni saa 2 usiku, lakini bado unaweza kupata mwanga unaofanana na wa jua mchana! ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ”ฅ

Kampuni ya teknolojia kutoka Marekani, Reflect Orbital, inaendeleza wazo la kutumia satelaiti zenye vioo vikubwa angani kuakisi mwanga wa jua na kuuelekeza kwenye maeneo maalumu duniani hata baada ya jua kuzama. ๐Ÿš€

SaveClip.App_745305062_18091164974289995_4560017501592880001_n.jpg

Teknolojia hii inalenga kusaidia kuongeza uzalishaji wa umeme wa sola, shughuli za uokoaji na maeneo yanayohitaji mwanga wa ziada usiku. ๐Ÿ”‹๐ŸŒ

Kama huduma hii ingefika Tanzania na ukapewa nafasi ya kununua mwanga wa jua usiku, je, ungekuwa tayari kulipia huduma hiyo? ๐Ÿค”โ˜€๏ธ

Gharama yake ni Dola ๐Ÿ’ฒ5,000 za Marekani kwa saa ambapo sawa na takribani TSh milioni 13.23M kwa saa.

Tuachie maoni yako โœ๏ธ!!!
 
View attachment 3702182

Hivi utajisikiaje ukawa unanunua ๐Ÿ˜ƒ Mwanga wa Jua usiku ili kuweza kupata Mwangaza ?? We Fikiria tu ni saa 2 usiku, lakini bado unaweza kupata mwanga unaofanana na wa jua mchana! ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ”ฅ

Kampuni ya teknolojia kutoka Marekani, Reflect Orbital, inaendeleza wazo la kutumia satelaiti zenye vioo vikubwa angani kuakisi mwanga wa jua na kuuelekeza kwenye maeneo maalumu duniani hata baada ya jua kuzama. ๐Ÿš€

View attachment 3702183

Teknolojia hii inalenga kusaidia kuongeza uzalishaji wa umeme wa sola, shughuli za uokoaji na maeneo yanayohitaji mwanga wa ziada usiku. ๐Ÿ”‹๐ŸŒ

Kama huduma hii ingefika Tanzania na ukapewa nafasi ya kununua mwanga wa jua usiku, je, ungekuwa tayari kulipia huduma hiyo? ๐Ÿค”โ˜€๏ธ

Gharama yake ni Dola ๐Ÿ’ฒ5,000 za Marekani kwa saa ambapo sawa na takribani TSh milioni 13.23M kwa saa.

Tuachie maoni yako โœ๏ธ!!!
Huo mwanga unakuwa machoni kwangu tu au nikinunua mpaka machawa kama Tlaa na wenzie wanapata mwanga?
 
Sasa inabidi biashara yako iwe inaleta $5,000 after ten minutes au
 
tekinolojia hii ikibadilishwa kua siraha ya kivita itakua siraha hatari zaidi kuwahi kutengenezwa na isiyodhibitika wakati wa maangamizi.
 
Back
Top Bottom