Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Hawa jamaaa ni balaaaWazungu ni noma sana. Kama unabisha kabishie msikitini kwenu uniletee teknolojia moja tu ya mwarabu.
Wako vizuri sana ila inabidi tupambane sana ili kuweza kuwafikiaKwa hapa walipofikia wazungu sisi tuendelee tu na mambo yetu ya kujenga matundu ya vyoo na tume za kina Jaji Lila
Ngoja tuone ila wenzetu wako mbali kiwamazo mpaka uhalisia daah sio poa โ๏ธ๐ฎ๐ฎNi wazo zuri kwa wapambanaji ambao mwanga hautoshi na kazi lazima iishe
Nadhani mchina atakuja na tech ya 700usd kwa usiku mzima
Siyo kwa hiki kizazi cha kina Makonda na wale watoto wanaosema ficha bwana wako. Labda wazaliwe wengine!Wako vizuri sana ila inabidi tupambane sana ili kuweza kuwafikia
Huo mwanga unakuwa machoni kwangu tu au nikinunua mpaka machawa kama Tlaa na wenzie wanapata mwanga?View attachment 3702182
Hivi utajisikiaje ukawa unanunua ๐ Mwanga wa Jua usiku ili kuweza kupata Mwangaza ?? We Fikiria tu ni saa 2 usiku, lakini bado unaweza kupata mwanga unaofanana na wa jua mchana! ๐ณ๐ฅ
Kampuni ya teknolojia kutoka Marekani, Reflect Orbital, inaendeleza wazo la kutumia satelaiti zenye vioo vikubwa angani kuakisi mwanga wa jua na kuuelekeza kwenye maeneo maalumu duniani hata baada ya jua kuzama. ๐
View attachment 3702183
Teknolojia hii inalenga kusaidia kuongeza uzalishaji wa umeme wa sola, shughuli za uokoaji na maeneo yanayohitaji mwanga wa ziada usiku. ๐๐
Kama huduma hii ingefika Tanzania na ukapewa nafasi ya kununua mwanga wa jua usiku, je, ungekuwa tayari kulipia huduma hiyo? ๐คโ๏ธ
Gharama yake ni Dola ๐ฒ5,000 za Marekani kwa saa ambapo sawa na takribani TSh milioni 13.23M kwa saa.
Tuachie maoni yako โ๏ธ!!!
Hilo jua la AI na hili jua halisi unaelewa tofauti yake?Kama huduma hii ingefika Tanzania na ukapewa nafasi ya kununua mwanga wa jua usiku, je, ungekuwa tayari kulipia huduma hiyo? ๐คโ๏ธ
Uwekezaji wao katika elimu ni mkubwa sana hali inayoshawishi tafiti na bunifu kushika hatamuNgoja tuone ila wenzetu wako mbali kiwamazo mpaka uhalisia daah sio poa โ๏ธ๐ฎ๐ฎ