Dede 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,182
- 2,248
Habari wakuu!
Mtaani kuna story nyingi kuhusu kampuni ya coca cola kuna wengine wanasema imeanzishwa sijui na watu wawili wanaoitwa Coca na Cola ila hizo sio story za kweli. Kutokana na uchunguzi nilioufanya huu ndio ukweli kuhusu kampuni ya Coca Cola.
Historia ya kampuni hii inatupeleka katika mwaka 1888 katika jiji la Atlanta ambapo muuza duka la dawa katika jiji hilo aitwaye Asa Candler alinunua formula ya kinywaji cha Coca Cola kutoka kwa daktari na mkemia aitwaye Dr. John Pemberton kwa Us dollars 500 ambazo zilikuwa ni nyingi kwa kipindi hicho.
Kwahiyo baada ya Dr. John kuuza formula ya Coca cola kwa Asa Candler, Asa Candler akaanza hatua za utengenezaji wa kinywaji hicho ili atengeneze hela. Na ikumbukwe ya kuwa Asa Candler alikuwa Mayor wa jiji la Atlanta wa kipindi hicho kwahiyo suala la pesa halikuwa tatizo kwake hivyo alianza kutengeneza viwanda na kuwaajiri watu wa kutengeneza Coca Cola in a big scale.
Kinywaji hiki kikaendelea kuwa maarufu na ndipo mwaka 1892 Mayor Asa Candler alizindua Coca Cola Company rasmi . Coca cola Company iliendelea kupiga hatua kiuchumi na kiliendelea kuajiri watu wengi zaidi huku kikimtajirisha Mayor Asa Candler. Na vitabu vinasema ya kuwa Coca Cola company ni moja ya kampuni iliyokuwa imara kipindi cha vita ya kwanza na ya pili ya dunia na haikutikisika hata kipindi cha anguko la kiuchumi la dunia yaani great economic depression.
Kwasasa Coca Cola ipo karibu kila nchi duniani na ni beverage company inayoongoza kwa wateja wengi. Na pia kwasasa Coca Cola Company ni kampuni ya umma yaani inamilikiwa kwa mfumo wa hisa na mtu mwenye hisa kubwa kwenye kampuni hiyo ni Warren Buffet mmiliki wa Berkshire Hathaway na CEO wa kampuni hiyo ni James Quincey.
Kwahiyo kama wewe ni mpenzi wa Coca Cola mshukuru huyu jamaa.
Former Mayor wa Atlanta Asa Candler.
Yangu ni hayo tu.