Online Pastor
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,948
- 1,523
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni mojawapo ya dini zinazohubiri amani upendo na usawa japo kwa sehemu inaathiriwa na tamaduni za asili ya maeneo ilikoshamirimshana jr karibu ushare na sisi elimu ya dini za kutoka Mashariki ya Kati na Mbali kwani karibu dini zote kubwa zimeanzia huko!
Ok, umeeleweka Pastor.mshana jr na mambo ambayo miye yamenipendeza katika hii dini ni:kuunganisha dini na sayansi.
Wabahai huamini kuwa matatizo mengi yanayoweza kutatuliwa na wabahai kujifunza na kuipenda Sayansi
La pili,wana elimu ya lazima kwa wabahai wote.
Msisitizo wa watu kujisomea umewasaidia kuwapa uelewa wa dini zingine na hivyo wamejijengea uvumilivu wa kidini.
Na mwisho wanaamini hakuna nabii au dini ya mwisho.
Na hii ndiyo inayowafanya wateswe na waislamu hasa wasunni kule Iran.
Wanaamini kuwa kila baada ya miaka 1000,as long as tupo duniani,nabii mpya atakuja kuupdate uelewa wetu wa Mungu.
Na kwamba dini zote zinaevolve kufikia ukamilifu unaomjenga mwanadamu.
Wanaamini religions are paths to God,and not stations or destinatio!
Uko sahihi kabisa lakini kuna makengeza kwenye ile imani kutokana na asili mila na desturi za wanzilishi.... Nitarejea kwa ufafanuzimshana jr na mambo ambayo miye yamenipendeza katika hii dini ni:kuunganisha dini na sayansi.
Wabahai huamini kuwa matatizo mengi yanayoweza kutatuliwa na wabahai kujifunza na kuipenda Sayansi
La pili,wana elimu ya lazima kwa wabahai wote.
Msisitizo wa watu kujisomea umewasaidia kuwapa uelewa wa dini zingine na hivyo wamejijengea uvumilivu wa kidini.
Na mwisho wanaamini hakuna nabii au dini ya mwisho.
Na hii ndiyo inayowafanya wateswe na waislamu hasa wasunni kule Iran.
Wanaamini kuwa kila baada ya miaka 1000,as long as tupo duniani,nabii mpya atakuja kuupdate uelewa wetu wa Mungu.
Na kwamba dini zote zinaevolve kufikia ukamilifu unaomjenga mwanadamu.
Wanaamini religions are paths to God,and not stations or destinatio!
Ibofwee mkuu unaweza share nami kuhusu ubora wa elimu yao?