Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Miaka ya nyuma usafiri ulikuwa changamoto sana huko. Gari nyingi zilikuwa ni lori aina ya fuso, canter, landrover 109, na pickups.

Hivyo ili mpandishe huko, hizo gari lazima zijaze mzigo wa kutosha! Halafu abiria ndiyo mnakaa juu ya mabomba.

Na usafiri huo huo wa malori, ulikuwa pia ni common kwa safari za Ifakara - Mbingu - Mngeta - Chita mpaka Mlimba. Sijui kwa miaka ya sasa. Huenda basi aina ya Tata zikawa nyingi zaidi.
Kwa sasa Kuna Noah kutoka ifakara adi mlimba pia hiace ndogo na basi moja linatoboa adi mafinga ile njia ya kihansi.
Ifakara mahenge Kuna basi mbili erfra na kidinilo pia Kuna hiace baadhi.
 
Back
Top Bottom