Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 1,700,000 wanaoishi na virusi vya Ukimwi.
Amesema kati yao, zaidi ya watu 1,500,000 wako kwenye huduma za matibabu na matunzo.
Dkt. Sumba amesema hayo katika mahojiano kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo Desemba Mosi 2025, siku ambayo pia ni Siku ya Ukimwi Duniani.
Aidha, amesema mikoa yenye ushamiri mkubwa wa maambukizi ni mikoa ya Njanda za Juu Kusini, ikiwemo Njombe, Iringa, Mbeya na Songwe, huku Kigoma ikiwa na kiwango cha chini zaidi cha maambukizi nchini.