Naombeni msaada niende kulalamikia wapi?
Nimepanga nyumba leo ni miaka 15
Nalipa kodi vizuri tu hatuna deni
Leo mwenye nyumba anasema nakupa siku tatu uhame. Hakuna notisi wala nini hivi ni haki kweli
Nyumba yenyewe nimeiremba kweli
DuhUnalemba nyumba utafikiri yako [emoji23][emoji23] mwenye nyumba kashakwambia uhame unataka ukashitaki kwa sababu gani? Au unataka umpole mali yake kwa nguvu? Lemba mali yako