Ifahamu Nanga ya Meli (Ship Anchor)

Ifahamu Nanga ya Meli (Ship Anchor)

Nje ya mada, hivi inakuaje meli kubwa za kubebea magari au ma container mengi hata elfu 8 wakati mwingn hupigwa na mawimbi makubwa sana ILA hayazami kuna utaalam gani hapo?
Baba hiyo ni physics ya form two.....
 
Physics ndogo tu hio mkuu ya form 2B. Jinsi ilivotengenezwa ndani mule, a ship is hollow therefore ensures much water displacement. Na vile vile being hollow ina maanisha uzito wa meli unakua mdogo zaidi. Vile vile hewa ndani ya meli ni nyepesi zaidi kuliko ilivo ya bahari
Hilo swali watafeli wengi sana
 
Back
Top Bottom