Ifahamu nchi ya Bhutan na maajabu yake

Ukiondoa Afrika...

Sehemu nyingine zinazovutia kutalii juu ya uso wa dunia ni nchi za Asia...

Huwa kuna vitu vingi sana vya kupendezesha macho, na kuliwaza akili...
 
Hii ndio nchi ya kuishi hakika. Dunia nzima ilipaswa tuishi hivi
 
Hii makala haijabalansi haiwezekani kuwe hamna bia na mabinti wanaojiuza alaf maisha yakawa ya furaha tupu.
 
Nini chanzo cha pato la taifa (kiuchumi)?
Mamebase sana kwenye kilimo na mazao ya misitu, ufuaji wa umeme wa maji, utalii na viwanda vidogo vidogo... Na bidhaa zao nyingi zinauzwa India, Hong Kong na Bangladesh.
 
Hivi pili pili haina madhara ukila kwa wingi?
Ndio lakini siyo kwa ukubwa kama inavyotarajiwa.. Pilipili zina element inaitwa capsaicin ambayo ndio ina muwasho na kuunguza (burning sensation)...wataalam wanasema matumizi kwa wingi yanaweza kupunguza au kuongeza risk ya cancer hasa tumboni, mdomoni au kwenye koo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…