Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

Duuh
Shukrani mkuu kwa kutujuza mambo ya huko Japan,vipi thamani ya pesa yao huko ipoje mfano laki moja ya huku Japan ni kiasi gani?,kwa uwingi wa viwanda huko hasa magari bei ipoje kwa huko?,ubaguzi hasa kwa mtu mweusi je,
Ubaguzi sio tatzo sana huku lakinj lugha na tamaduni zinatafanya wenyewe tu mjitenge maana hamtaelewana, hilo la thamani hebu ingia online ucheki mkuu mbona rahisi
 
Shukran mkuu kwa mara nyingine
 
Vipi bei ya magari yanayoletwa huku Tanzania.Ulikuwa unakula chakula gani sana sana?



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna sehemu special wanapika Africa food, kwa hiyo ugali na wali unapatikana kama kawaida na cha kushangala huku sangara kutoka Tz, Kenya na Ug wako wengi sana tena ni full mnofu tu hamna mifupa..
Gari bei inategemea na aina na mda uliotumika lakini ni bei rahisi sana
 
Mkuu naskia wajapani hawapendelei sana mambo ya kuch kuch kama starehe tuelezee huyo Shem ulimpataje na vipi kuna uwezekno wa kura tunda kimasihara kwa vibinti vya kijapani?

Alafu wanasema eti hawana kawaida ya kunyoa vuzi vipi ni ya kweri hayo au ni stori za kunogesha vijiwe vya kahawa?

machapisho mengi yanasema ni watu kujinyonga sana sababu ya msongo wa mawazo unaliongeleaji hili?

Then naskia ni watu wa kunyenyekea sana na wasio jikweza licha ya akili na utajiri walio nao vipi hili? Coz kuna waziri mmoja alipata skendo akaitisha press akaomba msamaha kwa kulia machozi.

Then hujagusia inshu ya ubaguzi. Ikoje kwa majority ya watu, tolea mfano wew kama wew walikuwa wanakuchukuliaje na mtu kama wew ambae hana status wanamchukuliaje. Numeuliza hili coz nchi nying za Asia mentality ya ubaguzi iko juu.

Asante
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Asilimia mia ya magari used afrika yanatoka japan....kwa kuiangalia tu japan na udogo wake unaweza kataa gari zote hazitoki japan....hebu nifafanulie hapa ina maana huko mtu mmoja anamiliki gari zaidi ya kumi?
 
Yes, nimewahi kupiga tempo kwenye kiwanda cha samaki mwanza, mzigo tuliokuwa tunapck likuwa ya Asia sana sana ni Japan na Singapore.

Umekuwa mtu wa muhim sana kwa swari language ambalo huwa najuliza, malaji wa mwisho estimate sangara 1kg anampata kwa sh ngapi za kitz akiwa huko. Kuna sku niliwahi kudadis kiwandani wakaniambia kibox kimoja cha 6kg kinagharamia vibarua wote wa sku hyo.
 
Mkuu kuhusu kuch kuch, Hawa watu sio WAPENDA starehe sana za kujirusha lakini nikuambie hakuna mtu ambae hapendi sex so wanalika tu Kama binadamu wengine.

πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Kuhusu kunyoa vuzi sio kweli mkuu Mimi sijawahi kukutana na hiki unachozungumza.

Kujinyonga? Sijui na sijwahi kusikia Wala kulifuatilia.

Ubaguzi hakuna mkuu na ni kweli ni watu wapole na wanyenyekevu Kama jirani zao wakorea kusini

Mkuu Japan sijawahi kukutana na ishu ya kubaguliwa, Mimi tu Kuna mda nilikuwa nakuwa nao mbali baada ya kuona hatuelewani kilugha natafuta mtu ambae tunaweza kuzungumza na kuelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…