Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

Uzi mzuri, lakini hauna kapicha hata kamoja ka Japan?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huku gari sio ishu Wala watu hawababaiki nayo, ni vigumu mtu kumiliki magari 10 wanachofanya ananunua gari anatumia kwa mda akilichoka analipeleka sehemu maalum ama analiuza anapewa pesa anaenda kununua mpya na hizo used nyingi ndio zinaletwa africa
Hawa kupatana sbt, be foward, autorec, tradecarview , qualitex na Al qain wako mji gani?
 
Back
Top Bottom