Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa kuongezea nyama, japo binafsi sijawahi kukutana na hiyo kadhia ya kubaguliwaWanajinyoga sana mkuu, Japan ni miongoni mwa mataifa yanayoongoza kwa watu kujiua kwa kujinyonga ama kujitoa muhanga wanajirusha sana kwenye matreni yanayooenda kasi (Shikansen)
Kuhusu ubaguzi upo sana inawezekana ukawa hujakutana nao sababu ya labda style ya maisha uliyokua unaishi lkn ukichangamana nao wanaubaguzi sana japo hawaonyeshi hadharani
Kwaufupi ni nchi nzuri sana kuanzia tamaduni na maisha kwa ujumla, hali ye hewa tu ndiyo haikua rafiki kwangu a majanga ya Matetemeko, pamoja na Tsunami na majanga mengineNashukuru mkuu, uliionaje hii nchi?
Pole mkuu hivoo ukaamua kurudi nyumbani?Kwaufupi ni nchi nzuri sana kuanzia tamaduni na maisha kwa ujumla, hali ye hewa tu ndiyo haikua rafiki kwangu a majanga ya Matetemeko, pamoja na Tsunami na majanga mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika hayo yalifanya nikose amani sana nikaamua kurudi nyumbaniPole mkuu hivoo ukaamua kurudi nyumbani?
Ahsante sana mkuuHongera mkuu endelea kujenga nchi
Mkuu kuhusu kuch kuch, Hawa watu sio WAPENDA starehe sana za kujirusha lakini nikuambie hakuna mtu ambae hapendi sex so wanalika tu Kama binadamu wengine.
[emoji2][emoji2] Kuhusu kunyoa vuzi sio kweli mkuu Mimi sijawahi kukutana na hiki unachozungumza.
Kujinyonga? Sijui na sijwahi kusikia Wala kulifuatilia.
Ubaguzi hakuna mkuu na ni kweli ni watu wapole na wanyenyekevu Kama jirani zao wakorea kusini
Mkuu Japan sijawahi kukutana na ishu ya kubaguliwa, Mimi tu Kuna mda nilikuwa nakuwa nao mbali baada ya kuona hatuelewani kilugha natafuta mtu ambae tunaweza kuzungumza na kuelewana
Sure!Kasema $100...Vua hiyo miwani na barakoa
Mkuu mimi ni mwalimu wa kingereza nipo bongo, vp nikienda huko nitapata mchongo au wanapewa kipaumbele wazungu zaidi? Mifumo yetu ya elimu inatambulika huko?. Ahsante.Huu utamaduni wa rush hour nimeshuhudia mara nyingi ukifanyika japo sikutaka kufatilia kiundani binafsi kwanza ulikuwa unaniboa sana, ukifanyika unafanyika mara 2 kwa siku asubuhi na jioni barabara zinafungwa, safari zote zinasimama mpaka wamalize na Kama uko kazini inakubidi uwahi kutoka kabla hawajaanza, kwenye vyakula vyao sikuwa muumini sana Kuna migahama kwa ajili ya vyakula vya kiafrica nilikuwa nakula huko.
Japan haiilipi mishahara mikubwa ukilinganisha na nchi za ulaya labda Kama umeajiriwa na kampuni ya kimataifa nje ya Japan na ukapelekwa pale kufanya kazi tu Mfano:
Kwa mtu asiye na ujuzi yaani kibarua kwa japani unalipwa 1300Yen mpaka 3000Yen kwa saa na masaa ya kufanya kazi inategemea na nguvu zako
Kwa wenye ujuzi wanalipwa vizuri sana zaidi ya 8.28 mill. Yen na miongoni mwa kada zinazolipwa vizuri sana nchini Japan ni walimu wa kiingereza
Kuhusu suala la MAHUSIANO nadhani wajapan mnawachukulia tofauti tu ni Kama Tanzania wapo wenye majivuno na wapo walio wasio na majivuno na tangu niishi Japan sijawahi kuhisi nabaguliwa
Nadhani hukuyaelewa zaidi yaleaandiko
Unajua kijapan na utamaduni wao, maana bila hivo hamtaelewana naoMkuu mimi ni mwalimu wa kingereza nipo bongo, vp nikienda huko nitapata mchongo au wanapewa kipaumbele wazungu zaidi? Mifumo yetu ya elimu inatambulika huko?. Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naskia wajapani wana sku maalum ya kiadhimisha mkuyenge aka dushe na nikila mwaka maadhimisho hayo hufanyika. Yakweri hayo?Unajua kijapan na utamaduni wao, maana bila hivo hamtaelewana nao
Kweli mkuu tena hii ni sherehe kubwa sana na wanapita mtaani na mitaa inafungwa, linakuwa bonge la mkuyenge linawekwa kwenye vigari halafu wadada baadhi wanaushikilia unazungushwa mitaa wakiwaMkuu naskia wajapani wana sku maalum ya kiadhimisha mkuyenge aka dushe na nikila mwaka maadhimisho hayo hufanyika. Yakweri hayo?
Lengo lao ni nn mkuu?Kweli mkuu tena hii ni sherehe kubwa sana na wanapita mtaani na mitaa inafungwa, linakuwa bonge la mkuyenge linawekwa kwenye vigari halafu wadada baadhi wanaushikilia unazungushwa mitaa wakiwa